Top Tweets for #aphfta
A champion in transforming Tanzania’s private health sector
From advocating for quality standards to empowering facilities with essential tools for growth, APHFTA continues to shape a stronger, more inclusive healthcare system.
#THS2025 #APHFTA #HealthInnovation

#UWAJIBIKAJI: Vyama vya Watoa Huduma Binafsi za Afya (#APHFTA), Kamisheni ya Kikristo ya Huduma za Jamii (#CSSC) na BAKWATA zimeeleza kuwa zitasitisha utoaji wa Huduma kwa Wanachama wa Mfuko wa NHIF kutokana na kutokubaliana na Kitita kipya cha Mfuko huo
Taasisi hizo zimesema kuwa baada ya kufanya mazungumzo na Wizara ya Afya kwa kupitia Kamati iliyoteuliwa na Serikali, zimeshindwa kupata mwafaka kuhusu Bei mpya za Huduma za Afya na endapo Kitita kipya cha #NHIF kitaanza kutumika kitakuwa kinyume na Mapendekezo ya #Bunge lililotaka kuwe na maridhiano
JamiiForums imezungumza na Meneja Uhusiano wa NHIF, Angela Mziray kuhusu barua ya APHFTA, amesema "Tutatoa tamko lingine kwa kuwa tayari Mkurugenzi wa NHIF ameshafafanua kuhusu maboresho ya Huduma ya Kitita cha Mafao kwa Wanachama."
Ikumbukwe tayari Wizara ya #Afya imesema Kitita kipya cha NHIF kitaanza kutumika Machi 1, 2024
Soma https://t.co/u7JSgnrqm8
#JamiiForums #JFAfya #PublicHealth #Governance #SocialJustice #Accountability

Vituo vya Afya vya Binafsi vyanuia kutowahudumia Wanachama wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) kutokana na kinachodaiwa kupinga viwango vipya vya malipo ya huduma vinavyotarajiwa kuanza Januari 2024
Chama cha Vituo vya Afya Binafsi Tanzania (#APHFTA) kimedai #NHIF ilipitisha viwango vipya bila kukihusisha chama hicho na kuongeza hospitali nyingi zitafungwa kutokana na hasara ‘kubwa’ ikiwa viwango husika vitaanza kutumika kama ilivyopangwa. Wakidai kuongezeka kiwango cha malipo kungefidia ucheleweshaji wa malipo kwa hospitali binafsi
Novemba 15, 2023, Mdau wa https://t.co/dDd21Ugmlv alidai Watumishi wa Hospitali Binafsi wanapitia wakati mgumu kwa kutolipwa stahiki zao kwa kuwa Wamiliki wanadai NHIF imechelewesha malipo kwa zaidi ya miezi mitano wakati Sheria ya Mfuko huo inaeleza Mtoa Huduma anatakiwa kulipwa ndani ya Siku 60 tangu alipowasilisha madai
Upande wa Meneja Mawasiliano wa NHIF, Anjela Mziray amesema "Hatuwezi kulazimisha kila mtu kukubali vifurushi vilivyopendekezwa, Wadau mbalimbali walishirikisha wakiwemo wao (APHFTA) kupitia mapendekezo hayo."
Soma https://t.co/KpvjNqtOyp
#JFHuduma #AfyaBoraBilaRushwa #Accountability #PublicHealth #JamiiForums

Representing @ShopsPlus at the @aphfta1 #APHFTA forum to take forward the conversations around better involvement of the #PrivateSector in the #health arena in #Tanzania. #PrivateSectorCounts

Last Seen Hashtags on Sotwe
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.6M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.9M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.6M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.3M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90.1M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.5M followers

Bill Gates 
@billgates
65.2M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.7M followers






