Top Tweets for #boipusupdates
@yangasc1935 imesaini mkataba mpya na Kampuni ya Michezo ya Kubashiri ya @TZSportPesa wa miaka mitatu wenye thamani ya Sh. Bilioni 12 milioni 335. Hii ina maana Yanga itavuna zaidi ya Bilioni 4 kila mwaka.
#BoipusUpdates
#SportpesaTanzania
#YangaSC

@SimbaSCTanzania imetangaza safari ya kwenda nchini Misri Julai 14 kwa ajili ya kambi ya maandalizi kuelekea msimu mpya wa msimu mpya wa Ligi Kuu ya NBC 2022/23.
Kikosi kitarejea nchini Agosti 5 tayari kwa maandalizi ya Simba Day na mechi ya Ngao ya Jamii.
#BoipusUpdates

@SimbaSCTanzania imetangaza kukamilisha usajili wa nyota Nassor Kapama kutoka @kagerasugarfc kwa mkataba wa miaka miwili.
#BoipusUpdates
#simba
#dealdone✍️

Nyota wa Zamani wa @SimbaSCTanzania @IamRallyBwalya akiwa kwenye uzi wa timu yake mpya ya Amazulu FC ya Afrika Kusini.
#BoipusUpdates

Klabu ya @azamfc imefikia makubaliano ya pande mbili ya kuachana na aliyekuwa kipa wao, Mathias Kigonya.
Mara baada ya kumalizika kwa msimu huu, Kigonya alikuwa amebakiza miezi sita kwenye mkataba wake na akaomba kutaka kuondoka.
#BoipusUpdates

Klabu ya @yangasc1935 imemaliza msimu wa 2021/22 bila kupoteza mchezo wowote. Yanga imeshinda mechi 22 na kutoka sare michezo nane.
#BoipusUpdates
#NBCPLUpdates
#YangaSC
@BoiplusMedia

Klabu ya @SimbaSCTanzania imetangaza kuwa Kocha wake wa makipa Tyrone Damons hatakuwa sehemu ya kikosi hicho msimu ujao baada ya kupata kazi @orlandopirates
#SimbaSC
#BoipusUpdates #tyrondamons
@SimbaSCTanzania

Klabu ya @SimbaSCTanzania imetangaza kukamilisha usajili wa mshambuliaji Moses Phiri kutoka Zanaco FC, kwa mkataba wa miaka miwili.
#BoipusUpdates
@BoiplusMedia

Klabu ya Manchester City imemtambulisha Erling Braut Haaland baada ya kukamilisha masuala ya usajili na kusaini mkataba wa miaka mitano.
#BoipusUpdates

Kiungo mshambuliaji wa @SimbaSCTanzania @IamRallyBwalya mkataba wake unamalizika Julai na taarifa zinasema tayari amesaini mkataba wa miaka miwili na klabu ya Amazulu FC inayoshiriki Ligi Kuu nchini Afrika Kusini.
#TetesiZaUsajili
#BoipusUpdates

Pablo Franco wa @simbasctanzania amechaguliwa Kocha Bora wa Ligi Kuu ya NBC wa mwezi Machi.
#BoipusUpdates
#NBCPLUpdates
#simbasc #PabloFranco

Kiungo mshambuliaji wa @SimbaSCTanzania @ClatousCC amechaguliwa mchezaji bora wa Ligi Kuu ya NBC wa mwezi Machi.
#BoipusUpdates
#NBCPLUpdates

Last Seen Hashtags on Sotwe
男大
Seen from United States
TamannaahBhatiahot
Seen from India
minichatt
Seen from United States
Smallpenis
Seen from Korea
mgai()*********************************************************************************************** +filter:native_video
Seen from Sweden
charliebhustle
Seen from France
BOKEP
Seen from Indonesia
minichat((((*)))) t.co video
Seen from Brazil
amwf #nsfw
Seen from United States
anxiouspandaaaa
Seen from United States
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
240.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.7M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.4M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.4M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.8M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.3M followers

Bill Gates 
@billgates
65.2M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.1M followers

CNN 
@cnn
61.7M followers

X 
@x
60.6M followers
