Top Tweets for #bongoFm
#Chelsea Tanzania tutaanza kuongea sa mbili na nusu Asubuhi, #BongoFM
Katika kipindi cha #BaoLaAsubuhi
Leoππ»ππ»ππ»
Tupo live muda huu mpaka saa 12 jioni kupitia #BongoFM huku Ms @NyangubuYessy atazungumzia kuhusu βNafasi ya Binti kwenye Uchaguzi wa Serikali za mitaaβ. Majadiliano haya ni mwendelezo wa program ya #MabintiUchaguzini
Hosted @nikizajr , @airyn_faustin , @yusuphmbogambi

Appreciation tweet kwa DJ wa #bongofm

Unajua ni Kosa Kusambaza Message Moja kwa Watu Wengi Kulingana na Sera za WhatsApp?
Sikiliza Sababu zingine zinazofanya Unafungiwa WhatsApp.
#ThinkDigitalThinkOfUS #BongoFM
Leo kwenye Sports Venue ya @dunia_mpya tunamshusha Daktari wa Soka usikose kuanzia saa 12:00 jioni mpaka saa 02:00 Usiku
@oscarnickson20 @takwimuzamichezo @emmanuelmwayombojr @mwambangoma_tz
#BongoFM #duniampya

"CEO wa sasa wa Yanga alishawahi kuwa BOSS MAZEMBE"
#BongoFM

kwa Aziz hapo sasa ndio tukaanza kuongea nikamwambia Mama Aziz nitamtunza Aziz kama mzazi,β Rais wa Yanga Sc, Mhandisi, Hersi Said akizungumza kwenye kipindi cha #Baolaasubuhi cha #BongoFm
βHapo ndio zile doti sasa nani umemuweka mahali pazuri mfano Mama tulikuwa tumeshazungumza namna gani nitaishi na Aziz Ki hata nje ya dakika 90 za uwanjani,β Rais wa Yanga Sc, Mhandisi, Hersi Said akizungumza kwenye kipindi cha #Baolaasubuhi cha #BongoFm
Sosi #bongofm
βSijawahi kujuta kuwepo Yanga, ni taasisi ambayo ipo kwenye moyo wangu muda wote, challenges ambazo nakutana nazo ni challenges ambazo zinahitaji busara na nimekuwa nikipata ushauri kutoka kwa wazee wangu, viongozi wangu akiwemo Ghalib,β Rais wa Yanga Sc, Mhandisi, Hersi Said.
#WasafiSports

In case you miss the show @dunia_mpya #BongoFM

Bongo FM #duniampya ndio Radio pekee inayosikika Tanzania Nzima , Radio namba moja , Mkoa Mmoja tunazaidi ya Frequency 2
Naanza na Njombe
Njombe Mjini - Bongo FM 97.9
Makete Njombe - Bongo FM 89.9
Ludewa Njombe - Bongo FM 89.9
@dunia_mpya
#duniampya #BongoFM


Wananchi mbalimbali Akita katika hafla ya uzinduzi wa mradi wa usikivu wa kurushia matangazo ya TBC Taifa na Bongo FM wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), leo Aprili 15, 2024, Wasso-Loliondo wilayani Ngorongoro.
#Loliondo #Ngorongoro #BongoFM #TBCTaifa #Miaka60yaMuungano

Mradi huo umezinduliwa leo Aprili 15,2024 na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko ambapo Loliondo - Ngorongoro imezinduliwa kwa niaba ya vituo vingine ambavyo ni Makete, Kyela, Uvinza na Mbinga.
#Loliondo #Ngorongoro #TBC #BongoFM #TBCTaifa
Muonekano wa Kituo cha kurushia matangazo ya TBC Taifa na Bongo FM wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) kilichopo Wasso-Loliondo Wilayani Ngorongoro leo Aprili 15, 2024.
#Loliondo #Ngorongoro #TBC #BongoFM #tbctaifa #miaka60yamuungano

Tunasomana π₯π₯π₯
Ngorongoro, Makete, Kyela, Uvinza na Mbinga.
Code zetu ndio hizi
Uzinduzi wa kituo cha kurushia matangazo ya TBC Taifa na Bongo FM π₯
#Loliondo #Ngorongoro #TBC #BongoFM #TBCTaifa

Ngorongoro! Watu wa maana kabisa
Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC), Emmanuel Mkilia atakuwepo β
Karibu kwenye uzinduzi wa Kituo cha Kurushia Matangazo ya TBC Taifa na Bongo FM Loliondo, Ngorongoro Aprili 15, 2024.
#Loliondo #Ngorongoro #TBC #BongoFM

Maoni ya viongozi na wananchi wa #Loliondo, Arusha kuhusu uzinduzi wa kituo cha kurushia matangazo ya TBC Taifa na Bongo FM (Loliondo #Ngorongoro) Aprili 15, 2024.
Mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko.
#TBC #BongoFM #TBCTaifa
Last Seen Hashtags on Sotwe
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.1M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.1M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
112.5M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.2M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.4M followers

KATY PERRY 
@katyperry
88.8M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
82.7M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
74.2M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
71.6M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.3M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
64.5M followers

Bill Gates 
@billgates
64.5M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
61.9M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.8M followers















