Oktoba 21 ya mwaka 2019 ndio ilikuwa siku ya kwanza kwa GEORGE AMBANGILE kuhamia Wasafi Media nikiwa " Football Analyst " . Nilipokelewa vizuri , nikapewa platform ya kuonesha kipaji changu , nikakua zaidi .
Baada ya miaka takribani Saba , cycle yangu imefikia tamati ndani ya Wasafi Media . It was quite a journey na najivunia , nashukuru , na kuthamini kila dakika niliyotumikia Wasafi Media .
Naishukuru sana Kampuni , imenipa vitu vingi sana ,moyo wangu umejaa shukrani .
Kipekee kabisa namshukuru CEO @diamondplatnumz kwa thamani uliyonipa , i will never forget it . Asante sana Boss .
Bila kusahau nawashukuru wafanyakazi wenzangu wote ambao tumefanya kazi kwa pamoja Wasafi Media kuanzia kipindi cha michezo mpaka wa vipindi vingine na wafanyakazi wa idara tofauti , mchango wenu kwangu una thamani kubwa sana . God bless you all .
Wale wote ambao walinipa thamani ya muda wao , masikio yao kusikiliza kazi yangu Radioni , cha kuwalipa sina maana bila nyie ngumu kuwa na George Ambangile bora , nawashukuru sana tena sana . Ambangile hayupo tena Wasafi Media lakini naomba muendelee kuwa " LOYAL " kwa Wasafi Media . ASANTENI SANA
THANK YOU SO MUCH WASAFI MEDIA AND GOODBYE
" The World is Yours "
GEORGE AMBANGILE 🤝
“Sina Hofu ya Kupoteza chochote kwenye mapenzi , sio kwa sababu siwekezi hapana ni kwasababu nina amina ninauwezo wa kupata chochote ninachokitaka” @mzeewakaliua
Happy New Year to me, Miongo Kadhaa iliopita 20/08/ nilipata Neema ya kuingia duniani, Asante mwenyezi Mungu kwa Kibali na baraka, asante wazazi wangu na ndugu zangu wote waliofanyika kiwezeshi kwa kila hatua yangu hapa duniani, Happy New Year to Oscar Nickson Christopher Nkembo
Beki bora wa Ligi Kuu ya NBC msimu ujao 2025/26 atakuwa Jonathan Ambukege Mwaibindi kutoka Mbeya City , huyu mtu anaakili kubwa ya mpira, anakasi kubwa, ni kiraka anaweza kucheza beki wa kati au beki wa Kulia, hakupata nafasi tu ila sioni beki kama Mwaibindi hapa Tanzania
Msimu ujao wa Premier League utakuwa msimu mgumu sana kwa liverpool tofauti na wengi wanavyodhani na naiona Manchester United na Chelsea zikiwa na Msimu bora sana 2025/26 , tunza maneno yangu
🚨 BREAKING NEWS: Msanii wa Bongo Fleva Foby hatatumbuiza kwenye sherehe za ufunguzi wa CHAN2024 katika uwanja wa Benjamin Mkapa, Foby ndiyo msanii pekee nchini Tanzania aliyetengeneza wimbo maalumu wa CHAN
Staa huyo mwenyeji wa kusini anatamba na ngoma tofauti za kuhamasisha Timu za Taifa ikiwemo wimbo wa Taifa Stats na Twiga Stars na wiki hii alikuwa sehemu ya watu mashuhuri waliokuwa wakizunguka jiji la Dar es Salaam kuhamasisha watu kujitokeza Viwanjani kwenye fainali za CHAN2024.
@oscarnickson20
kuchochea uzalendo kwa watanzania kuzipenda timu zao za Taifa kupitia muziki, na wiki hii alikuwa sehemu ya watu , mashuhuri waliokuwa wakizunguka jiji la Dar es Salaam kuhamasisha watu kujitokeza Viwanjani kwenye fainali za CHAN2024
BREAKING NEWS. Msanii wa Bongo Fleva Foby hatatumbuiza kwenye sherehe za ufunguzi wa CHAN2024 katika uwanja wa Benjamin Mkapa, foby ndiyo msanii pekee nchini Tanzania aliyetengeneza wimbo maalumu wa CHAN
“nimepewa taarifa kuwa sitatumbuiza, imenivunja moyo sana
wimbo wenyewe wa CHAN nchi nzima uko mmoja tu sijui imekuaje mwanzo niliambia nitaperform jana mambo yamebadilika”
Staa huyo mwenyeji wa kusini anatamba na ngoma tofauti za kuhamasisha Timu za Taifa ikiwemo wimbo wa Taifa Stats na Twiga Stars amekuwa akijitolea kuhamasisha na
🚨 EXCLUSIVE: Manchester United make improved bid to sign Bryan Mbeumo from Brentford. New offer for 26yo forward worth £65m fixed + £5m add-ons. #MUFC awaiting #BrentfordFC response as they work to close deal for Cameroon int’l & top target @TheAthleticFC https://t.co/lStJ9k1fch
Mjini FM wamefanikiwa kupata walichokitaka wao ni redio ndogo inayopambana kujitambulisha kwa watu, wametafuta upenyo wa kutokea nina amini wamekubaliana na Paten wamefanya jambo limekubali kila kona wanajadiliwa na kuzungumziwa kwenye mitandao, wakati watu wanatune kuwaskia
ni redio ya aina gani wanakutana na Content za maana wanageuka kuwa mashabiki wa Mjini FM, Mpaka redio nyingine na watangazaji wa Redio nyingine wanaipa Promo Mjini FM
Hiyo Gentolk ni show kali sana ya Vijana inacontent nzuri, Jamaa wanapita njia za #duniampya@mjinifm
Bara la Afrika linatoa ushuhuda mkubwa kwa ulimwengu mzima. Asante kwa kuishi imani yenu katika Yesu Kristo. Ni jinsi gani ilivyo muhimu kwamba kila mbatizwa ajisikie kuitwa na Mungu kuwa ishara ya matumaini katika Ulimwengu wa leo.
🚨 Manchester United have now met terms of £62.5m release clause in Matheus Cunha contract at Wolverhampton Wanderers - so #WWFC have given #MUFC permission to conclude deal with 26yo Brazil int’l forward, conduct medical & complete transfer @TheAthleticFC https://t.co/LduUGuwZ4O