Top Tweets for #cocoextra
Mwanamume, kufunguka na kutafuta msaada kwa watu si unyoge!~ Habel Zobe
#COCOExtra
#COCOFM
#ladhayapwani
Tusiyalazimishe maisha. Kila jambo litatokea kwa wakati wake; subira nayo ni sehemu ya mafanikio.~ Habel Zobe
#COCOExtra
#COCOFM
#ladhayapwani
Tumeanza kuzungumza tu sasa hivi, halafu unaniambia nije kwako⦠naja kufanya nini?~ Habel Zobe
#COCOExtra
#COCOFM
#ladhayapwani
Ukipewa nafasi, usichemshe! π₯ itumie vizuri huenda ukahitajika tena kesho!~ Habel Zobe
#COCOExtra
#COCOFM
#ladhayapwani
Unavyotesa mjini, hakikisha mzazi kijijini hateseki! Kumbuka ulipoanzia. π«΅~ Habel Zobe
#COCOExtra
#COCOFM
#ladhayapwani
Mwisho wa uongo mwingi ni kujisahau ipo siku utanaswa tu!~ Habel Zobe
#COCOExtra
#COCOFM
#ladhayapwani
Wasanii ni watu wa kawaida kama sisi. Hizi aibu ndogondogo, tuwafichie tu!~ Habel Zobe
#COCOExtra
#COCOFM
#ladhayapwani
Msichana, usidhani maisha ya mjini ni mchezo. Usipojua unachotafuta, utatumika vibaya. Akili kichwani!~ Habel Zobe
#COCOExtra
#COCOFM
#ladhayapwani
Kutumika si vibaya lakini je unatumika vizuri au unatumika vibaya?~ Habel Zobe
#COCOExtra
#COCOFM
#ladhayapwani
Mtu akishachoka na wewe, hata jambo dogo analitumia kama sababu ya kuondoka. ~ Habel Zobe
#COCOExtra
#COCOFM
#ladhayapwani
Kwa nini mtu asiyekujua anaweza kukusaidia zaidi kuliko mtu wako wa karibu anayekufahamu zaidi?~ Habel Zobe
#COCOExtra
#COCOFM
#ladhayapwani
Watu single, mbona hatupendani? Tunapenda watu ambao tayari wako kwenye mahusiano!~ Habel Zobe
#COCOExtra
#COCOFM
#ladhayapwani
Hatua ya mwisho ya kukua kwa mwanamume ni anapoanza kuelewa kwanini mzazi wake alifanya vitu flani.~ Habel Zobe
#COCOExtra
#COCOFM
#ladhayapwani
Kama pesa haitoshi kufanya sherehe, ifanya online tu! Usitutatize!~ Habel Zobe
#COCOExtra
#COCOFM
#ladhayapwani
Mtujuze jamaa zetu mapema! Tuko huku nje kutafuta wachumba. Kidogo tu makosa ifanyike mahali!~ Habel Zobe
#COCOExtra
#COCOFM
#ladhayapwani
Usijichoshe ukisahau kujitunza. Thamini sana afya yako kuliko kazi.~ Habel Zobe
#COCOExtra
#COCOFM
#ladhayapwani
Sio kwamba anathamini sana privacy yenuβ¦ huenda ukweli ni kwamba βmtu wakoβ ni wa wengi!~ Habel Zobe
#COCOExtra
#COCOFM
#ladhayapwani
Ukipata nafasi ya kusamehe, samehe. Watu huondoka bila taarifa!~ Habel Zobe
#COCOExtra
#COCOFM
#ladhayapwani
Last Seen Hashtags on Sotwe
γγͺγγγ¨γ
Seen from United States
lowlvl
Seen from Indonesia
ΰΈ«ΰΈ₯ΰΈΈΰΈΰΈΰΈ±ΰΈΰΉΰΈ£ΰΈ΅ΰΈ’ΰΈ
Seen from Thailand
ΰΈΰΉΰΈΰΈΰΉΰΈ«ΰΈ‘ΰΉΰΈΰΈ
Seen from United States
γγͺγ«γ
Seen from Brazil
omegle()* filter:videos
Seen from Colombia
Mortysmindblowers
Seen from United States
kidsoas2016
Seen from United States
ΕelalegΓΆsterisi
Seen from United States
rajawadiHospital
Seen from United States
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
119M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
113.8M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.2M followers

Rihanna 
@rihanna
98.6M followers

NASA 
@nasa
92.3M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.7M followers

KATY PERRY 
@katyperry
89.6M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
83.5M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
72.8M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.7M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
65.7M followers

Bill Gates 
@billgates
64.9M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
62.7M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.3M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.7M followers
