Top Tweets for #daf2024
Nilipata fursa ya kusherehesha (MC) na kuunganisha sauti za wakurugenzi vijana wanawake kupitia jukwaa adhimu #DAF2024
Nguvu yetu kuu ipo katika kujengana, kujifunza pamoja, na kufurahia mafanikio yanayotokana na juhudi zetu za pamoja ili tusonge mbele zaidi kama @dadasrisetz πͺπΎ

Kiongozi ni mtu ambaye anaonesha njia na ili uoneshe njia lazima uijue njia.
#DAF2024

At #DAF2024 on Tuesday, we held a session titled:
"Critical Conversations; Strengthening Young Women Leadersβ Ability to Engage in Critical Dialogues and Influence Change". The discussion was moderated by @RahmaMwita, with panelists including @secyrose, @RebecaGyumi & @udamela

Moderating a session at #DAF2024. Session ilihusu: "Provide a platform for collective organization and advocacy within the feminist movement"
#DAF2024 #SisterhoodAndSolidarity

Siku ya jana tuliweza kumpatia Tuzo ya heshima dada yetu @RebecaGyumi kwa kuthamini na kutambua mchango wake mkubwa katika kuimarisha na kulea mtandao huu. Tunakupenda β€οΈ
#DAF2024 #SisterhoodAndSolidarity

Siku ya Jana tuliweza kuungana na wanachama wenzetu wa mtandao wa viongozi wanawake vijana @dadasrisetz katika uzinduzi rasmi wa mtandao huo ambao unalenga kuwainua na kuwalea viongozi vijana wanawake.
#DAF2024 #SisterhoodAndSolidarity

Wageni waalikwa wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wanawake vijana hapo jana. Umemtambua nani kwenye picha? π
#DAF2024 #SisterhoodAndSolidarity

Jana nimeshiriki kwenye uzinduzi wa Dadas Rise Coalition @dadasrisetz muungano wa vijana viongozi wa taasisi wanawake. Nimefurahi kupokea cheti kama mmoja wa waanzilishi wa umoja huu wenye lengo la kuwajengea uwezo na kuimarisha mashirikiano katika kupaza sauti.
#DAF2024

πͺπΊ The European Union (EU) was happy to be present at the launch of the βDadas Rise Coalitionβ, @dadasrisetz an initiative aimed at empowering young women leaders. #DAF2024
π« The EU is dedicated to supporting and advancing women in leadership roles across diverse sectors πΈπ½βοΈ
πͺπΊ Umoja wa Ulaya (EU) inayofuraha kushiriki kwenye uzinduzi wa βDadas Rise Coalitionβ @dadasrisetz mpango unaolenga kuwawezesha viongozi wanawake vijana #DAF2024
π« EU imejitolea kusaidia na kuendeleza wanawake katika majukumu ya uongozi katika sekta mbalimbali πΈπ½βοΈ

πͺπΊ Umoja wa Ulaya (EU) inayofuraha kushiriki kwenye uzinduzi wa βDadas Rise Coalitionβ @dadasrisetz mpango unaolenga kuwawezesha viongozi wanawake vijana #DAF2024
π« EU imejitolea kusaidia na kuendeleza wanawake katika majukumu ya uongozi katika sekta mbalimbali πΈπ½βοΈ

Moja ya kitu muhimu kwa kiongozi ni pamoja na SELF CARE. Na Katika mtandao wetu tunasisitiza Kujipenda na Kujijali. Pichani(πΈ) ni washiriki wa #DAF2024 siku ya jana wakiwa wanaburudika na kusherehekea kwa pamoja.
Mtag kiongozi unaemfahamu βΊοΈ
#DAF2024 #SisterhoodAndSolidarity

Pia tulifurahia uwepo wa mama Helen Kijo-Bisimba ambaye alikuwa mmoja wa wageni wetu maalum siku ya Jana.
#DAF2024 #SisterhoodAndSolidarity

About an official launch of @dadasrisetz mapema leo. Thank you @unwomentanzania and @EUinTZ for gracing our event.
#DAF2024

"Mabinti kwa wengi tulivyokuzwa unakuta hana ujasiri sababu ya kuambiwa tangu nyumbani utotoni kuwa acha kimbelembele acha kuongea mbele za watu inawarudisha sana." - Dr. Hellen Kijo Bisimba #DAF2024
"Mtu yeyote anaweza kuwa kiongozi haijalishi ni mtoto, mkubwa au jinsi yake kwani kuna ambao wamezaliwa kuwa viongozi. Lakini wengine wana uongozi ndani yao jambo kwa nje huwezi tambua bali kwa matendo yake." - Dr. Hellen Kijo Bisimba #DAF2024


"Mabinti kwa wengi tulivyokuzwa unakuta hana ujasiri sababu ya kuambiwa tangu nyumbani utotoni kuwa acha kimbelembele acha kuongea mbele za watu inawarudisha sana." - Bi Hellen Kijo Bisimba
#DAF2024
"Kiongozi ni mtu ambaye anaonesha njia na ili uoneshe njia lazima uijue njia."
#DAF2024
"Mtu yeyote anaweza kuwa kiongozi haijalishi ni mtoto, mkubwa au jinsi yake kwani kuna ambao wamezaliwa kuwa viongozi. Lakini wengine wana uongozi ndani yao jambo kwa nje huwezi tambua bali kwa matendo yake."
- Bi Kijo Bisimba #DAF2024

"Mabinti kwa wengi tulivyokuzwa unakuta hana ujasiri sababu ya kuambiwa tangu nyumbani utotoni kuwa acha kimbelembele acha kuongea mbele za watu inawarudisha sana."
Dr Helen Kijo Bisimba | #DAF2024
Last Seen Hashtags on Sotwe
Ψ³ΩΨ³_ΨΉΨ±Ψ§ΩΩ
Seen from France
ε·ηͺ₯
Seen from Indonesia
Unexpected()**********************************************filter:videos
wrestlingsinglets
Seen from Australia
ΨͺΨ§ΩΩΩ
Seen from Germany
YehHaiChahhatein
Seen from United States
stw
Seen from Indonesia
monkeyapp
Seen from Mexico
ometv video....................
Seen from United Kingdom
snapchat
Seen from United States
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
240.8M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.7M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.5M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.9M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.4M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.8M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.4M followers

Bill Gates 
@billgates
65.2M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.7M followers

X 
@x
60.6M followers
































