@SuluhuSamia Hongera kupata fursa hii nzuri sana..Kazi tuliyonayo ni maandalizi..tuandae kila eneo lenye fursa, lakini zaidi tuandae timu yetu iweze kufanya vizuri tukiwa sie ndiyo wenyeji
@SuluhuSamia Asante sana kwa kututahia heri ya siku hii ya ibada na mapumziko. Ningependa sana Mheshimiwz katika suala la uhusisno na suluhisho tupe fursa watanzania tuandike katiba yetu. Wewe ukilidimsmia hili utakuwa umetupa furaha zaidi wanawake. Tuachane na ule mkataba wa DPW.
Mwambukusi na kundi lake ni WAHAINI. Watu waliofadhili hii kesi ni WAHAINI na ndiyo walioko nyuma ya kauli hizi za kutaka kuangusha serikali kwa maandamano yasiyo na kikomo.
Tukipokuwa tunasema nyuma ya watu hawa kuwa wafadhili akina GSM kuna watu hawakuelewa.
Kesi imeamuliwa mahakamani na mahakama imetoa hukumu na ufafanuzi wa kina lakini bado Mwambukusi anadhani yeye anaweza kuangusha hii serikali na kumuondoa Rais madarakani.
Sasa jeshi la polisi bila kuchelewa watu hawa ni wa kufunguliwa kesi ya uhaini na uchochezi na wafadhili wao akina GSM ni watu wa kushughulikiwa mwa kuwa ndiyo chanzo cha haya yote na wanajificha nyuma ya mawakili hawa.
Yaani wanataka kufanya maandamano nchi nzima bila kikomo kwa lipi? Hawa watu si walisema hii kesi ni ya kujitolea lakini jana Mwambukusi kasema wateja wake wamemuagiza kukata rufaa! Sasa wateja anaowazungumzia ni akina GSM na bahati mbaya sana GSM anamtumia kiongozi fulani wa Yanga kupeleka hela kwa watu hawa mbaya zaidi ni mtu aliyeko ndani ya serikali. Inasikitisha sana na kufadhaisha kuona watu walioaminiwa na kupewa teuzi wanashirikiana na GSM kufanya na kufadhili upinzani na sasa UHAINI.
Muda huu hawa mawakili wakiongozwa na Mwambukusu wanatakiwa wawe wamekamatwa na bila kuchelewa hawa ni wa kufunguliwa mashtaka na kupelekwa jela kwa kuwa lengo lao la kumuondoa Rais madarakani na kuangusha serikali ni UHAINI na hakuna kuleta mzaha hata kidogo
#KigogoMediaUpdates
Hongera wanawake wa Kiafrika kwa siku ya mwanamke wa Kiaftika 31 July. WiLDAF walituongoza Mgeni rasmi Hon Makinda Mwenyekitinwa WiLDAF Dr Monica Mhoja na ED Anna Kulaya
Hukumu iliyosomwa Leo na Mahakama Kuu ya Tanzania Arusha mbele ya JAJI BADE, licha ya KUFUTA PLEA BARGAIN Kati ya DPP na PETER MADELEKA, ilikuwa IMESHAJUKANA Kwa POLISI na DPP KABLA YA KUSOMWA na Mahakama ikasaidia MAZINGIRA ya Mimi KUKAMATWA.
@DonnieAlex4@EduTalkTz Nadhani shida ni huyo.mke ambaye ana mume anaenda kutembea na mtu.mwingine. ukiona hivyo.mke hakuheshimu na haoni kuwa unamfaa badala yakugombana hadi kuua mwanamume mwenzako.mwambie mkeo shame kabisa kwa huyo.mtu maana hakustahili
@EduTalkTz Mke wa mtu mwenye kukubali kutembea na mwanaume mwingine hastahili utetezi wakutoa maisha ya mtu mwingine. Kama mtu ametembea na mke wako.msusie abaki naye.kuua mtu haikubaliki kwa sababu yoyote ile .hilo.ni.kosa lakiutu utu wa mtu unathamani zaidi ya uzuri wa mke.
@alvinjr02@millardayo Mi nadhani wazazi wake walitokana na mchanyiko huo.penhine mmoja wa babu alikuwa amechanganyika na Scotland na Mali akaoana na meenye mchanganyiko wa Nigeria na Togo aliyezaliwa katika mchanganyiko huo akaoa mwenye mchanganyiko wa Congo na nchi nyingine hadi ipomkuta huyo.