Top Tweets for #dssh
Rais wa haki, mlezi wa watanzania,
#kazinaututunasongambele
#matokeochanya
#sisinitanzania
#dssh
#mslac

@1963_Mpekuzi Tupo na wewe Raisi wetu katika kuilinda na kuitetea Amani ya nchi yetu.
#sisinitanzania
#dssh

Idara ya barabara ndio sekta nyeti katika kuchochea maendeleo.
#kazinaututunasongambele
#sisinitanzania
#matokeochanya
#dssh
#mslac

@MsLACampaign Kampeni hii ya msaada wa kisheria imewafikia ata wanafunzi mashuleni .
#sisinitanzania
#matokeochanya
#dssh
#wizarayakatibanasheria
#MSLAC

@NCHIYANGUT @sisiniTanzania @ChademaTz @ccm_zanzibar @vijanathinktank @ACTwazalendo @SuluhuSamia @DiraYaSamia @TanzaniaDigest Vijana ndio nguvu ya Taifa na wanahaki yakimsingi kuweza kuilinda na kuitetea katiba ya Tanzania,
#vijananataifa
#dssh
#matokeochanya

@Sheria_Katiba Kupitia mafunzo haya, dhamira ya Rais Samia ya kujenga Tanzania yenye misingi ya haki, utawala bora na usawa wa kijamii inazidi kuonekana kwa vitendo. Kwa kutoa elimu kwa viongozi wa chini,
#sisinitanzania
#matokeochanya
#wizarayakatibanasheria
#dssh
#mslac

@MsLACampaign Wizara ya katiba nq sheria kupitia MSLAC inathibitisha kuwa si kampeni tu, bali ni harakati ya kitaifa ya kuijenga Tanzania mpya inayozingatia katiba, haki na ustawi wa kila raia.
#hayanimatokeochanya
#sisinitanzania
#matokeochanya
#dssh
#mslac

Ukarimu na busara zako Raisi wetu ndio vinatufanya tuzidi kukupenda na kukutakia baraka.
#dssh
#sisinitanzania
#matokeochanya
#wizarayakatibanasheria

Serikali ya awamu ya sita kupitia wizara ya katiba na sheria inaendelea kuhakikisha kila mmoja anafikiwa na huduma za kisheria.
#sisinitanzania
#matokeochanya
#wizarayakatibanasheria
#mslac
#dssh

@MsLACampaign Tuilinde katiba yetu kwa maendeleo ya taifa letu.
#wizarayakatibanasheria
#sisinitanzania
#matokeochanya
#dssh
#mslac
Mtwara na msaada wa kisheria kila kona za halmashauri zetu.
#sisinitanzania
#matokeochanya
#dssh
#mslac
#kazinaututunasongambele

Elimu bora kwa maendeleo chanya ya Taifa letu
#sisinitanzania
#matokeochanya
#dssh
#mslac
#kazinaututunasongambele

Haki kwa wote bila ya kujali mkubwa au mdogo
#sisinitanzania
#matokeochanya
#mslac
#kazinaututunasongambele
#dssh

@sisiniTanzania Tuulinde muungano wetu.
#sisinitanzania
#matokeochanya
#kazinaututunasongambele
#dssh
#MSLAC

Kilimo cha alizeti kilosa kupitia mvihawiki.
#sisinitanzania
#matokeochanya
#sisinitanzania
#dssh
#mslac
#kazinaututunasongambele

@sisiniTanzania Katika sekta ya sheria kwakweli huko ni mfumo na utandawazi mpana sana
ila mama samia anajitahidi mpaka kuhakikisha kila secta ameigusa kwa namna yake!
SIJUI SHERIA HIZO ZILIZOFANYIWA UREKEBU LA MWAKA 2023 ZITQKWENDA KULETA MATOKEO GANI KWA WANASHERIA NA JAMII??
#mslac
#dssh

@MsLACampaign Mungu ibariki Tanzania lakini kipekee pia mbariki kiongozi wetu Dr.Samia S. Hassan
#wizarayakatibanasheria
#sisinitanzania
#matokeochanya
#dssh
#mslac
@MsLACampaign Migogoro itaondoka labda pia jamii kwa kufanya yafuatayo:
*Kutoa elimu kwa familia kuhusu haki na wajibu wao kisheria.
* Kushirikiana na mawakili au washauri wa sheria katika masuala ya urithi na umiliki.
#sisinitanzania
#matokeochanya
#KaziNaUtuTunasongaMbele
#dssh
#mslac
Last Seen Hashtags on Sotwe
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
240.3M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.3M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.6M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
109.9M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
106.9M followers

Rihanna 
@rihanna
97.5M followers

NASA 
@nasa
92.1M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
90.7M followers

KATY PERRY 
@katyperry
87.3M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
81.1M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
72.7M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
69.6M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
69.3M followers

YouTube 
@youtube
68.6M followers

Bill Gates 
@billgates
63.7M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.5M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
62M followers

CNN 
@cnn
61.9M followers

X 
@x
60.9M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
60.4M followers












