Top Tweets for #eLimu
Watu wenye nidhamu hawategemei hamasa kila siku. Wanategemea utaratibu. Mafanikio hujengwa na tabia ndogo zinazojirudia kila siku.
#Elimu
Kila mtoto anastahili kusoma, kucheza & kukua kwa usalama.
Ajira hatarishi kwa watoto huathiri afya, elimu & mustakabali wao.
Mtoto si mfanyakazi. Mtoto ni mwanafunzi, mtoto ni ndoto ya kesho.
Jifunze Zaidi: https://t.co/yB0kFBBqNA
#TokomezaAjiraKwaWatoto #Watoto #Elimu #UNTZ

Maendeleo ya Kweli Hujengwa kwa Kujitegemea
Kauli ya Shahid Ayatollah Ali Khamenei inasisitiza kuwa maendeleo ya taifa hayapimwi kwa majengo marefu au miundombinu pekee, bali kwa uwezo wa taifa kujisimamia kupitia elimu
#MaendeleoYaKweli
#Kujitegemea
#Elimu
#Uongozi
#Heshima
Mhe. Prof. Adolf F. Mkenda (Mb), Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, leo ametembelea GKEDC jijini Swoul akiwa ameambatana na Mhe. @NEKAGANDA na Maafisa Waandamizi wa Wizara kujifunza kuhusu mafanikio ya maendeleo ya kijamii na kiuchumi ya Korea tangu mwaka 1945.
#Elimu

@MaxTz255_ The same kwenye sector ya #Elimu.
Tunaweza tukaona wakoloni walikosea kutuachia #syllabus ambazo tunazitumia hadi leo.
Hapana, walikua sahihi, zilikua na umuhimu mara baada tu ya kupata uhuru, sisi tunazitumia mpaka leo.
Sisi ni Wajinga tena tunaelekea kwenye #Upumbavu.
Tunapozungumzia pembejeo za kilimo tunataja mbegu, mbolea, dawa, mitambo na nguvu kazi.
Lakini kuna pembejeo moja ya msingi inayoweza kuamua mafanikio au kushindwa kwa zote: 👉TAARIFA.
#TaarifaSahihi + #MaamuziSahihi
#Elimu + #Uzoefu

Mdau, wewe uliitwa jina gani la utani shuleni? Mtag rafiki yako wa shuleni tucheke pamoja😃
Kuona maoni ya Wadau JF tembelea https://t.co/OmxWNak6GE
#JamiiForums #JFChitChat #Elimu

Yeah, ni kweli katika kila biashara kuna changamoto zake na tunapaswa kujua namna sahihi ya kuhandle
👉Personally, hali kama hii cha kwanza sipaswi kumjibu huyu mteja kwa haraka kuhusu kwanin bidhaa zangu ni bei tofauti na sehemu zingine
#Elimu📚
Assume Wewe ni Salesperson wa kampuni X, mnauza huduma au bidhaa, kisha mteja akauliza;
Mbona bei iko juu sana?
Ungemjibuje, bila kumpoteza mteja na bila kuhisi kuwa anapigwa?
Tuandikie tujifunze na namna ya ku-handle objections!
Unaweza kutolea mfano kitu chochote.
✅ Inafungua milango ya fursa za kazi 👩💼👨🔧
✅ Inachangia maendeleo ya jamii kwa ujumla 🌍
📌 Hesabu = Ujuzi wa Maisha!
#Hesabu #Elimu #Maendeleo #UjuziWaMaisha

Usistress na mambo ya back to school. Tunakupea up to 1 Million na interest ya 1% p.m. pekee!
Use iConnect, or contact our team uone vile mambo inakuwa rahisi.
#QonaSacco
#Elimu
#BackToSchool

@TheRealJongwe Kuna mtu anaandaliwa mazingira ya kudondoshewa zigo la uchafu hapa, na kwa kua #Elimu kisoda haelewi chochote 😂


Mathare lights up for change 🥳...join us as we walk and dance for #Elimu @CMETrust
#CMETrustAt19
#Wezeshakike
📢🎊 Join us this December for the CMETrust Walkathon and help make education accessible for all. 💪
Together, we can walk so others can learn. 📚
Donate today and be part of the change.
To support: https://t.co/ZCANXpD0ky
#CMETWalk2025 #WezeshaKike #SDG4 #CMETrustAt19 #SDG5
Grâce au projet #ELIMU, nous avons distribué des fournitures scolaires aux enfants victimes de guerre.
Un geste simple, mais porteur d’espoir et de dignité. Continuons à rallumer les rêves là où la guerre a semé la peur. 🌍
#BelAvenir #EducationPourTous

Tellement fier de voir ce que nous construisons pas à pas 💛
Chaque sourire d’enfant, chaque regard plein d’espoir nous rappelle pourquoi nous agissons.
#Elimu n’est pas juste un projet, c’est un engagement pour la dignité et l’avenir de toute une génération. 🌍
#ELIMU Polisi Kata wa Kata ya Ruanda Mkoani Mbeya Mkaguzi wa Polisi Fatma Hamdan Oktoba 7, 2025 akitoa elimu ya kupinga ukatili wa kijinsia kwa wanafunzi wa Shule ya Msingi Azimio.

#ELIMU Polisi Kata wa Kata ya Ruanda Mkoani Mbeya Mkaguzi wa Polisi Fatma Hamdan Oktoba 7, 2025 akitoa elimu ya kupinga ukatili wa kijinsia kwa wanafunzi wa Shule ya Msingi Azimio.
https://t.co/FAL7Qor9BS

Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.2M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
111.9M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107M followers

Rihanna 
@rihanna
98M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.2M followers

KATY PERRY 
@katyperry
88.4M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
82.3M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
73.8M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
71.1M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.1M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Bill Gates 
@billgates
64.3M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
63.9M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
61.5M followers

X 
@x
60.8M followers



































