Top Tweets for #flashbackzone
#FlashbackZone #FBZJ4
VITA YA MUDA MFUPI KUWAHI KUTOKEA
Leo nakusogezea hii kutoka History Vid
Vita vifupi zaidi vilivyorekodiwa katika historia vilitokea kati ya Uingereza na Zanzibar mnamo Agosti 27, 1896. Vita hivyo vilidumu takriban dakika arobaini, ambapo Uingereza .

#FlashbackZone #FBZPJ3
PACHA WA SANJU BAGHAT ALIISHI DANI YA SANJU KWA MIAKA 36
Leo tuflashback hadi 1963, Anaitwa Sanju Bhagat jamaa aliyenjifunza kuishi na tumbo lililomfanya aonekane kama mtu mjamzito aliyeshindwa kupumua, alilazimika kwenda hospital madaktari walimweleza

#FlashbackZone Mnamo 1971, Nike iliajiri mwanafunzi kubuni nembo yao. Alilipwa $35 kwa ubunifu wake wake. Pungufu kidogo ya 100k za madafu

#FlashbackZone ANAITWA ALAN SHURGAT FOUNDER WA FLOPPY DISK ZIKAPEWA JINA LA SHURGAT LEO KAZALIWA
Mwaka 1930 kama Leo Mhandisi (Engineer)wa Marekani, mjasiriamali na aliyekuwa mtendaji mkuu wa kampuni ya Alan Shugart alizaliwa, mwanzilishi wa Teknolojia ya Shugart. Jamaa ndiye

That time I was taking a picture of a beautiful house off Haight St. and realized the Pepto Bismol Palace/Shut Up Little Man house was right behind me. #FlashbackFriday #FlashbackZone #FBFriday #FBF

#FlashbackZone ANAITWA MARY BELL MUUAJII WA MIAKA 11 ALIYESABABISHA UWEPO WA WAZO LA MAHAKAMA ZA WATOTO (JUVENILE CRIMINAL)
Leo tunamzungumzia Mary Bell binti wa enzi hizo ambaye alipatikana na hatia ya kuwaua watoto wawili nchini Uingereza mwaka wa 1968, alipokuwa na umri wa

🤣🤣 watoto wanajaribu Sana mood
#FlashbackZone
#FlashbackZone amepata kinachomstahili wizi sio kitu cha kushikamana nacho
https://t.co/arIfOZjMOu "Queen of Ices" Inventor of Modern Ice Cream Cone English Culinary Entrepreneur, Inventor and Celebrity Chef #FlashbackZone lived in Pinner #Author #Chef #Celebrity #Entrepreneur #Pinner Pinn River #Cook #Cookery #Receipes #History #Vintage #Wednesdayvibe
#FlashbackZone NAKUSOGEZEA PICHA 5 ZA WWI
Shuka nazo
Wanajeshi wa Jeshi la Uingereza, waliopofushwa na gesi, wanasaidiana hadi kwenye kituo cha kuvaa huko Croisilles, Ufaransa wakati wa Vita vya Albert, 1918. Colour by Julius Colorization.

#FlashbackZone WATU WALIANZA KITAMBO KUUMIZA VICHWA
Leo tunafunga na hii flashback ya gari la nishati ya umeme.
Unaambiwa ni vigumu kubainisha uvumbuzi wa gari la umeme kwa mvumbuzi mmoja au nchi. Badala yake ilikuwa ni mwendelezo wa mafanikio kutoka hatua moja kwenda nyingine

#FlashbackZone INAITWA MOTOROLA DYNATAC 8000X MOBILE PHONE YA KWANZA
Leo ukimwambia kijana mwenyewe umri WA miaka 26 kushuka chini kuwa, zamani simu zilikuwa Hadi uende ofisi za Posta zamani hizo zilikuwa zimeunganishwa posta na TTCL ili upige au vinginevyo utazikuta kwa wale

#FlashbackZone unaambiwa miaka hiyo ya 1960s Mashine ya kutoa pesa iliwataka wateja kuweka hundi iliyoambatanishwa na kaboni kwenye droo kabla ya kuweka PIN yako. Hii ni Kwa mujibu WA Barclays

#FlashbackZone unaambiwa enzi hizo ukisema Una PC inayobebeka walimaanisha hivi sasa 🤣🤣🤣🤣
#FlashbackZone ATM YA KWANZA KUFANYA KAZI DUNIANI
Ilikiwa tarehe 27 Juni 1967, wakati ATM ya kwanza duniani (mashine ya kuhesabu pesa) ilizinduliwa kwa sherehe katika tawi la Benki ya Barclays huko Enfield, kaskazini mwa London. CEO msaidizi wa wakati huo wa Barclays

#FlashbackZone
Hii tunarejea nyuma mnamo 26 October 1984, Legend alisain na Nike deal ya miaka mitano matarajio ya mauzo ya Jordan yangefikia dola milioni 3 kwa miaka 4.
mwaka uliopita, chapa ya Jordan ilizalisha dola bilioni 6.6 kwa mauzo. Hiyo ni $3 milion kila saa 5.
#FBZJ3

#FlashbackZone YA LEO NI MICHAEL JACKSON 2009 AKAMTOLEA NJE MSANII CHAMILLIONAIRE KUPIGA PICHA PAMOJA
Yaani ni kama hapa Bongo usikie legend Sunday Manara ampotezee Ben Paul pale Ben anapohitaji PICHA ya kumbukumbu toka Kwa Legend, utaichukuliaje hapo?
Hii ni hadithi mbaya zaid

#FlashbackZone ni mjaluo aliayeamua kujiita Jay z HAPA alikuwa kwao Wagire panyakoo mitaa ya Maomao miaka hiyo kabla hajaenda maandishi matatu😛😛
Oyaa Have a blessed week may family

Last Seen Hashtags on Sotwe
amelians
Seen from Malaysia
candid since:2026-10-04 until:2026-10-12 filter:videos
snapchat
Seen from United Arab Emirates
blueberry inflation
Seen from United States
طقاع
Seen from Saudi Arabia
glope
Seen from United States
latina
Seen from United States
sex hidden camera
Seen from Oman
konyaesc
Seen from Turkey
cousinsex
Seen from Portugal
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.7M followers

Barack Obama 
@barackobama
119M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.6M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.9M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.2M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.4M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90.1M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.5M followers

Bill Gates 
@billgates
65.2M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.3M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.7M followers






