Top Tweets for #hambe
-> we’ll be heading off on the long drive to Harwich, then getting the ferry to Hoek van Holland Thursday morning! Looking forward to playing #KönigsburgSüchteln #Viersen DE Fri, #CelticArtGallery #FolkfestivalHam #Huiskamerconcert #HamBE Sat, Theater ->

🔥The Eastern Backyard is about to Erupt!🔥
Elgon Wolves take on the Plascon Mongers THIS SATURDAY, January 11th at 4 PM!
Can the underdogs pull off the upset? Come witness the battle for rugby supremacy!
#ElgonWolves #EasternBackyard #UpsetAlert
#nilespecialrugby #nilespecial

When you see everyone saying it's the end of the bull market, and that they sold all their coins, that's the perfect moment to buy as much as you can.
Buy the blood, buy OG coins:
#hambe $bitcoin $kekec
#SICCAO23
Rendez-vous ce soir à 21h00 pour la représentation du spectacle I HAVE À DREAM au Centre Culturel Kôrè Ségou et à partir de 23h au Hambé Hotel pour un after/jam session toute la soirée avec les artistes du spectacle.
Info sur l’affiche👇🏾
#maralinke #TADIAZT #Hambe

MIKATABA MIBOVU “Matokeo ya mkataba wa DP World inaathiri watu wengi kama kina wakili Madeleka na wengineo, Mkataba huu unababisha haki za wananchi kuvunjwa, huu si uzalendo” — @Oleshangay #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi VIDEO : https://t.co/2j9Bdiyh26
#Hambe
“Inaonyesha CCM hawana nia ya kabisa ya kukaa na wakosoaji wa mkataba wa bandari na kuchukia maoni mema lakini wazidi kuagiza wabunge na wanachama wake kuzidi kupotosha umma” — Allien #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi VIDEO : https://t.co/OwlUqt5Fyq
#Hambe
“Kama wanasema wakosoaji wa mkataba wa bandari wamehongwa je wao kuleta mkataba ambao umekiuka sheria ya manunuzi na tenda wamehongwa pesa kiasi gani? Hakuna uwazi unaoletwa na katiba bora” — Allien #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi VIDEO : https://t.co/OwlUqt5Fyq
#Hambe
“Serikali isijidai inajua kila kitu kwa kuwa nguvu yao ipo kwa wananchi wanatakiwa kusikiliza wananchi” — Allien #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi VIDEO : https://t.co/10gCc7AApw
#Hambe
“Kwa kupinga mkataba huu ni kupinga utumwa ujao hadi kwa vizazi vyetu ni muhimu tukawajibika” — Allien #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi VIDEO : https://t.co/OwlUqt5Fyq
#Hambe
“CCM wamezoea kuwa huwa tunaongea na jambo linapita kinyemela tuwaambie tu kwa hili tutakula sahani moja na wao mpaka mkataba huu uvunjwe” — @TumainP #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi VIDEO : https://t.co/OwlUqt5Fyq
#Hambe
“Uzalendo ni pamoja na kutetea rasilimali zetu” — @TumainP #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi VIDEO : https://t.co/OwlUqt5Fyq
#Hambe
Moja ya mambo wananchi wametaka katika #KatibaMpya ni uwazi na uwajibikaji, Je tunaweza kusubiria CCM kuhusu uwazi kama mkataba wa bandari mmoja umeleta shida kubwa kiasi hiki? Kukataa #KatibaMpya sio kukataa uwazi na uwajibikaji ? #MariaSpaces #KatibaMpya
#Hambe

Usiri serikalini ni kwa faida ya Nchi? Kama ndivyo kwa nini kuna kasoro kubwa kwenye mikataba inayovuja? Hoja ya usiri kuwa usalama wa TAIFA inakubalikaje kama mikabata yenyewe ina changamoto nyingi kiasi hik? #MariaSpaces #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi
#Hambe

CCM wamepata pigo kubwa ktk sakata hili la MKATABA ndio maana wana utetea kwa nguvu zote. Wanajua MKATABA huu ukiisha vibaya, unaisha nao @Oleshangay
#WenyeNchiWananchi #MariaSpaces #Urewedi
https://t.co/aNAZbQF2kJ
#Hambe
Suala la kuwa na #KatibaMpya ni muhimu hasa ukizingatia tunahitaji kuhakikisha upatikanaji wa haki za binadamu, kuwapa watu uhuru wa kujieleza, kukuksanyika, kupata elimu, maendeleo, huduma za afya na kadhalika. #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi
#Hambe

Utawala bora ni msingi mama katika kutafuta maendeleo ya nchi, misingi hii itakayowekwa katika #KatibaMpya itasaidia wananchi wote kunufaika na rasmimali za nchi, kuheshimiwa na haki zao kulindwa ikiwemo haki ya kumiliki mali na kufanya kazi. #KatibaMpya
#Hambe

Tutapima utendaji wa viongozi wetu kwa kuangalia Tunu na misingi ya utawala bora iliyowekwa kwenye katiba bora, Katiba itafanywa kuwa kipimo cha utendaji na utumishi wa umma. Katika ya sasa ina mapungufu kwa kukosa TUNU za Taifa.
#WenyeNchiWananchi #KatibaMpya
#Hambe

Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
240.6M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.2M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.7M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
110.5M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107M followers

Rihanna 
@rihanna
97.6M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
90.9M followers

KATY PERRY 
@katyperry
87.6M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
81.4M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
73M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
69.8M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
69.8M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Bill Gates 
@billgates
63.9M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
62.5M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

CNN 
@cnn
61.9M followers

X 
@x
60.8M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
60.7M followers











