Top Tweets for #jarida

SHAJARA: Je, ni kwa nini huduma za afya nchini ni hafifu licha ya mabilioni ya pesa kutengewa kaunti mbalimbali? Toa maoni.
#JARIDA
#SHAJARA
#RadioNumberOne

SHAJARA: Je, vituo vya afya vinafanya vya kutosha kuhamasisha kuhusu unyonyeshaji wa maziwa ya mama?
#JARIDA
#SHAJARA
#RadioNumberOne

SHAJARA: Je, unadhani kuwa waathiriwa wa mizozo kati ya wanyamapori na binadamu wanashughulikiwa vilivyo?
#SHAJARA
#JARIDA
#RadioNumberOne

SHAJARA: Je, wauguzi wana haki ya kushiriki mgomo kushinikiza maslahi yao kuangaziwa?
#JARIDA
#SHAJARA
#RadioNumberOne

Unadhani Naibu Rais Kithure Kindiki ana nafasi gani kisiasa katika kipindi kijacho? Sema nasi.
#Jarida
#Shajara
#RadioNumberOne

Maoni yako ni yepi kuhusu mapendekezo ya Rais Ruto kufadhili elimu kwa asilimia 100?
Je, itawezekana?
#jarida
#RadioNumberOne

SHAJARA: Je, unaunga mkono wazo la wananchi kusaidia wanasiasa kukusanya pesa za kampeni?
#JARIDA
#RadioNumberOne


SHAJARA: Je, ushirikiano wa ODM na UDA utaziba pengo la kura za Mlima Kenya?
Toa maoni.
#Shajara
#Jarida
#RadioNumberOne

SHAJARA: Je, ni sababu zipi zinazochangia wahudumu wa afya kukosa malipo yao na kusababisha migomo kila mara?
#JARIDA
#SHAJARA
#RadioNumberOne

SHAJARA: Unapendekeza nini kifanywe kumaliza vurugu za kisiasa uchaguzi unapokaribia nchini?
#JARIDA
#SHAJARA
#RadioNumberOne

SHAJARA: Ol Kalou imezua mjadala wa kisiasa. Je, unadhani ni ishara ya kile kitakachotokea mwaka 2027?
#JARIDA
#SHAJARA
#RadioNumberOne


SHAJARA: Je, unadhani IEBC inathibiti vyema kampeni za uchaguzi mdogo wa Ol Kalou?
#JARIDA
#SHAJARA
#RadioNumberOne

SHAJARA: Je, una imani kuwa IEBC itaweza kuthibiti pesa zitakazotumiwa na wanasiasa kwa kampeni za uchaguzi mkuu wa 2027?
#SHAJARA
#JARIDA
#RadioNumberOne

SHAJARA: Je, ni vyema miradi ya maendeleo kutumiwa katika kampeni za chaguzi ndogo nchini?
#SHAJARA
#JARIDA
#RadioNumberOne

Je, kuna uhuru wa vyombo vya habari hapa Kenya na Afrika mashariki?
#RadioNumberOne
#jarida
#shajara

SHAJARA: Leo tunaangazia changamoto ya dawa za kulevya- ikiwemo uraibu.
Tumalize vipi changamoto hii katika jamii?
#Shajara
#Jarida
#RadioNumberOne


Last Seen Hashtags on Sotwe
Amatuer
Seen from United States
baitrequest
Seen from Germany
ShareYourWeather
Seen from United States
تانجو_برايفت
Seen from United Kingdom
nolimit()************************************* filter:native_video
Seen from Italy
PhoenixMarie
Seen from Turkey
momson((()))*+filter:native_video
Seen from Ukraine
NoLimits video ,,..,
Seen from India
architecture
Seen from United States
ดาวทวิต
Seen from Thailand
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.2M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.1M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
112.7M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.2M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.4M followers

KATY PERRY 
@katyperry
88.9M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
82.8M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
74.3M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
71.8M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.4M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
64.7M followers

Bill Gates 
@billgates
64.6M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
62M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.8M followers
