Top Tweets for #kibadasda
#kibadaSDA choir

Karibu sabato ya Ujirani mwema. (WAGENI) JUMAMOSI HII.
#KibadaSDA
Njoo ushiriki nasi katika ibada takatifu ya Ujirani mwema.

BIG DAY KIBADA SDA CHURCH
THIS OCTOBER 12,2024
#Mchungaji wa Mtaa wa #KibadaSDA Lameck Maiga ikitoa wito juu ya ukaribisho wa wageni kwa wenyeji kujumuika katika tukio hili. Ni jumamosi hii
Karibu sana, BWANA akubariki unapojiandaa kushiriki nasi.
#wito #Mchungaji
#KibadaSDA Choir.
Tembelea kwenye platfoam za kwaya ya #Kibadasdachoir_tz ili ujipatie tumaini la moyo wako kwa kusikiliza nyimbo na video mbalimbali zitakazokupa faraja katika maishani mwako.

Makambi mtaa wa #K/Koo.
#Pr Lameck Maiga mchungaji wa mtaa wa Kanisa la #KibadaSDA yupo tayari kutuhudumia. Bwana amemchagua kuwa miongoni mwa Wachungaji watakaotuhudumia katika Kambi hili.
#Wote tunakaribishwa.

#Jipatie albam ya nyimbo hizi zenye ujumbe mzuri kutoka kwaya ya #KIBADASDA pitia kwenye platfoam zote za mitandao ya kijamii.
@audiomack @iTunes @Deezer @Spotify @AppleMusic @Music

#Wiki ya #Uwakili
Karibuni wote kuhudhuria mafundisho haya ya Uwakili.
#KibadaSDA kila siku za wiki hii kuanzia masaa ya jioni.
Baba wa Mbinguni akibariki!
Nyimbo za sifa na shukrani zitaimbwa tukimtukuza Mungu wetu wa Mbinguni.

#Makambi 2024 - #Nitakwenda na Familia yangu.
Karibu katika hitimisho la makambi ya #Galilaya Jumamosi ya kesho #Agosti, 24.
#Ibada itaanza saa 02:00 Asbh Hadi 11:00 Jioni.
Kwaya ya #KibadaSDA itakuwepo, katika kutoa huduma..

#Kwanini uteseke.
#KibadaSDA
IBADA YA SABATO YA TAREHE 10/08/2024
#MNENAJI: MCH. Sabato Banza
Nyote mnakaribishwa...

#Welcome
#Campmeeting
@2024
#KibadaSDA
Youtube live via our church Channel
Stay tuned, #GOD bless you.

#Familia mpya.
Mwanafamilia mpya #KibadaSDA
Kanisa linawatakia maisha mema yenye mibaraka na mafanikio katika familia yenu.
BWANA awabariki sana, mkawe na Amani, Upendo na Furaha.
#Unyenyekevu #Umoja


Last Seen Hashtags on Sotwe
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.7M followers

Barack Obama 
@barackobama
119M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.4M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.2M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.4M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
83.9M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.4M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.3M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.3M followers

Bill Gates 
@billgates
65.1M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.3M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.7M followers








