Top Tweets for #kijini
Jimbo la #Kijini limechangia Tsh 1,000,000/= kwa ajili ya Mkutano Mkuu Maalum wa Taifa wa @ACTwazalendo. Ahsanteni sana Jimbo la #Kijini.
Oktoba #LindaKura
#MuhuniHasusiwi

Uchaguzi wa Kura za Maoni #Kijini
Wagombea wa Nafasi za Ubunge, Uwakilishi na Ubunge Viti Maalum na Uwakilishi Viti Maalum, wakiendelea kuomba kura katika Uchaguzi wa kura za Maoni unaendelea katika Jimbo la #Kijini.
#ZaznzibarMpya
#ZanzibarMoja
#MamlakaKamili


NI ZAMU YA KASKAZINI UNGUJA
#BandikaBandua sasa ni Jimbo la #Kijini, Shehia ya #Muange, Uwanja wa #Chui.
Ni Jumapili, tarehe 18 Agosti, saa 08:00 Mchana. Mwenyekiti Taifa, Ndugu Othman Masoud, Makamu Mwenyekiti (Z), Ismail Jussa na Mjumbe wa Kamati Kuu, Mansoor Yussuf Himid wataendeleza #dozi kama kawaida.
#ZanzibarMpya
#ZanzibarMoja
#MamlakaKamili

#BandikaBandua sasa ni Jimbo la #Kijini, Shehia ya #Muange, Uwanja wa #Chui.
Ni Jumapili, tarehe 18 Agosti, saa 08:00 Mchana. Mwenyekiti Taifa, Ndugu @othmasoud, Mwenyekiti (Z), @IsmailJussa na Mjumbe wa Kamati Kuu, @mansoorhimid wataendeleza #dozi

Ni furaha kubwa kuona @ACTwazalendo kinazidi kuota mizizi katika kila pembe ya Unguja na Pemba. Muda huu Makamu Mwenyekiti wa Chama (Zanzibar) anapandisha bendera kufungua Tawi jipya la Chama katika eneo la #Kijini, #Makunduchi, Mkoa wa #Kusini #Unguja. #TheFutureIsPurple

Uongozi mpya wa Chama cha @ACTwazalendo Jimbo la #Kijini, Mkoa wa Kaskazini #Unguja umeandaa ratiba ya kuyatembelea Matawi yote ya Chama yaliyomo kwenye Jimbo hilo. Hii ilikuwa jana walipotembelea Tawi la Potoa.
#TheFutureIsPurple
#TheFutureIsACT

Mshauri Mkuu wa @ACTwazalendo Maalim
@SeifSharifHamad akiwakabidhi kadi wanachama wapya 113 kutoka Tawi la #Shangani, Jimbo la #Kijini, Mkoa wa Kaskazini #Unguja walioamua kujiunga na Chama cha @ACTwazalendo katika hafla iliyofanyika kwenye Ofisi ya @ACTwazalendo ya Mkoa.

Mshauri Mkuu wa @ACTwazalendo Maalim @SeifSharifHamad akiondoka Ofisi za Chama cha @ACTwazalendo Mkoa wa Kaskazini #Unguja baada ya kuwakabidhi kadi wanachama wapya 113 wa Tawi la #Shangani, Jimbo la #Kijini, Mkoani humo na kuzungumza nao jana.
#TheFutureIsPurple
#TheFutureIsACT

Wazanzibari wameamua kuipa talaka CCM. Mshauri Mkuu wa @ACTwazalendo Maalim @SeifSharifHamad akiangalia baadhi ya kadi za CCM zilizorejeshwa na waliokuwa wanachama wake kutoka Tawi la #Shangani, Jimbo la #Kijini, Mkoa wa Kaskazini #Unguja walioamua kujiunga na @ACTwazalendo jana.

Mshauri Mkuu wa @ACTwazalendo Maalim @SeifSharifHamad akiwakabidhi kadi wanachama wapya 113 kutoka Tawi la #Shangani, Jimbo la #Kijini, Mkoa wa Kaskazini #Unguja walioamua kujiunga na Chama cha @ACTwazalendo katika hafla iliyofanyika kwenye Ofisi ya @ACTwazalendo ya Mkoa.

Mshauri Mkuu wa @ACTwazalendo Maalim @SeifSharifHamad akiwakabidhi kadi wanachama wapya 113 kutoka Tawi la #Shangani, Jimbo la #Kijini, Mkoa wa Kaskazini #Unguja walioamua kujiunga na Chama cha @ACTwazalendo katika hafla iliyofanyika kwenye Ofisi ya @ACTwazalendo ya Mkoa.

Mshauri Mkuu wa @ACTwazalendo Maalim @SeifSharifHamad akizungumza na wanachama wapya wa @ACTwazalendo wa Tawi la #Shangani, Jimbo la #Kijini, Mkoa wa Kaskazini #Unguja walioamua kujiunga na Chama cha @ACTwazalendo baada ya kuwakabidhi kadi za uanachama jana. #TheFutureIsPurple

Ziara ya mshauri mkuu wa @ACTwazalendo Ndg. @SeifSharifHamad katika jimbo la #Kijini Mkoa wa kaskazini Unguja imezidi kuleta mafanikio baada ya wanachama wengine zaid kutoka CCM na CUF kurudisha kadi zao na baadhi ya vifaa vyao na kuchukua kadi za @ACTwazalendo.

Nikiondoka Ofisi za Chama cha @ACTwazalendo za Mkoa wa Kaskazini #Unguja baada ya kuwakabidhi kadi wanachama wapya wa Tawi la #Shangani, Jimbo la #Kijini, Mkoani humo na kuzungumza nao leo mchana.

Nikizungumza na wanachama wapya wa @ACTwazalendo wa Tawi la #Shangani, Jimbo la #Kijini, Mkoa wa Kaskazini #Unguja walioamua kujiunga na Chama cha @ACTwazalendo leo mchana baada ya kuwakabidhi kadi zao za uanachama.

Wazanzibari wameamua kuipa talaka CCM. Hapa nikizikagua baadhi ya kadi za CCM zilizorejeshwa na waliokuwa wanachama wake kutoka Tawi la #Shangani, Jimbo la #Kijini, Mkoa wa Kaskazini #Unguja walioamua kujiunga na Chama cha @ACTwazalendo leo mchana.

Nikiwakabidhi kadi wanachama wapya 113 kutoka Tawi la #Shangani, Jimbo la #Kijini, Mkoa wa Kaskazini #Unguja walioamua kujiunga na Chama cha @ACTwazalendo katika hafla iliyofanyika kwenye Ofisi ya @ACTwazalendo ya Mkoa.

Last Seen Hashtags on Sotwe
unexpected()()()()************* filter:videos
bbw granny
Seen from Turkey
gavat
Seen from Turkey
olderdaddygay
フィメールマスク
Seen from Japan
minichatttt
Seen from United States
afuturisticsumma
Seen from United States
content
minichat filter:videos
Seen from United Kingdom
anxiouspandaa() +filter:native_video
Seen from Netherlands
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
240.8M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.7M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.5M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.9M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.4M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.8M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.4M followers

Bill Gates 
@billgates
65.2M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.1M followers

CNN 
@cnn
61.7M followers

X 
@x
60.6M followers













































