TAARIFA KWA UMMA
2025 ni mwaka wa Uamuzi na Mageuzi ya Kweli Tanzania.
"Kumekuwa na ongezeko la matukio ya utekaji, kupotea na mauaji ya raia wasio na hatia; watuhumiwa wakubwa wa matukio hayo ni Usalama wa Taifa na @tanpol" -
@MchinjitaIR@ACTwazalendo@ACTBarazaKivuli
Ahsanteni sana chama changu na vyama vyote,watanzania,vyombo vya Habari, Wanaharakati,viongozi wa dini,Azaki kwa kupaza sauti juu ya tukio la utekaji dhidi yangu.Pamoja na Dua zenu kwangu, Mungu awabariki . Tusichoke kupaza sauti na kukemea matukio haya.
KC Mstaafu, Ndugu @zittokabwe amekutana na wagombea wa @ACTwazalendo wa mitaa 68 ya Jimbo la Kigoma Mjini, kwa pamoja wametafakari uchaguzi ulivyoenda. Aidha amewapongeza wagombea na Viongozi wa ACT Kigoma kwa kazi nzuri waliyofanya.
#VijijiVyaWote#MitaaYaWote#MaslahiYaWote

Updates:
Chama cha @ACTwazalendo kimeshinda Kijiji cha Nkoasenga kilichoko Kata ya Leguriki Jimbo la Arumeru Mashariki.
ACT Kura 528
CCM Kura 417
Kwa hivyo Jotsun Mbise ndio Mwenyekiti wa Kijiji cha Nkoasenga.
#VijijiVyaWote#MitaaYaWote#MaslahiYaWote
MUDA WA KUPIGA KURA UMEISHA NUSU SAA ILIYOPITA LAKINI KIGOMA MJINI IPO HIVI
👇🏿
Umati wa watu wakisubiri kupiga kura katika kituo cha shule ya sekondari Jihadi ikiwa imesalia dakika chache kabla ya shughuli hiyo kuhitimishwa, mjini Kigoma, Novemba 27, 2024
MASSIVE TURNOUT
📍Tunduru Kaskazini
Mwenyekiti wa @ACTwazalendo Jimbo la Tunduru Kaskazini, Ndugu Yassin Mohamed Mawila pamoja na Dereva wa Chama Ndg. Dubai Mchondo wamekamatwa na Polisi Kijiji cha Kajima Kata ya Jakika wakizuia kuondolewa kwa mawakala wa ACT vituoni. Tunafuatilia.