Top Tweets for #knowglobify
MWANADADA CLARA LUVANGA ASAJILIWA KLABU YA DUX LOGRONO NCHINI HISPANIA.
Nyota wa timu ya taifa ya wanawake #TwigaStars Clara Luvanga amejiunga na timu ya Dux Logrono inayoshiriki ligi daraja la kwanza (wanawake) nchini Hispania.
#Globifytz
#Knowglobify
#GlobalSports

Mfano:
Ukipewa nafasi ya kuchagua lugha moja tu ya kuongea maisha yako yote,utachagua lugha gani!?
#knowglobify
#globifytz
#globifylanguagetz

Kati ya mahindi ya kuchoma na kuchemsha, yapi unapendelea kula zaidi na unayaitaje kwa kilugha chenu!?
#knowglobify
#globalvillagetz

#KnowGlobify
si mnaona sasa ukali wetu.?
Pia kwasasa tunapokea nyimbo kutoka kwa wasanii wachanga ambao hajasikika bado.
hatuwalipishi.
tunapokea nyimbo zao bure kabisa kuoitia email yetu
[email protected]
hapa utatuma wimbo wako au wa msanii wako
ukiweka taarifa muhimu za
#KnowGlobify
Kitu cha kipekee unapokuwa unasikiliza Globify Radio ni uwezo wa kuijua playlist ya Dj. yaani unaweza kufuatilia playlist ya siku 7 nyuma mpaka muda huo unapoisikiliza.
Hii inakupa urahisi wa kutokupoteza session flani
mfano sahizi zinapigwa ngoma za zamani duniani

#KnowGlobify
Globify Radio hii radio yetu ambayo kwasasa inayosikilizika online pekee
kabla hatujaendelea tusaidie kuretweet na wengine wafikiwe๐๐ฝ
Radio yetu kwasasa bado haijaanza kuzalisha maudhui.
kwasasa tunapiga mangoma tu 24/7
tuna sessions za DJs tofauti tofauti

inayokusanya habari zote ambazo bado haujazisoma oia ina option ya zile latest contents zinazokua uploaded kwa wakati huo.
hii ina maana kila wewe mtumiaji unaweza kuamuwa. usome habari mpya au uende kwenye blog yako unayoitaka ukasomee huko
#KnowGlobify

#KnowGlobify
Features zinazopatikana ndani ya Globify News App
1. ni urahisi wa kupata habari kutoma vyanzo tofauti tofauti kwa wakati mmoja.
kama uonavyo hapa.
ni wewe tu unachan
gua usome habari kutoka chombo/chanzo kipi cha habari๐
2. Hii App inakupa urahisi wa option

Habari...
kwenye #KnowGlobify leo
tutaizungumzia Globify News App
Tuwe pamoja.
Alika marafiki ambao bado hawajatufollow waendelee kutufollow๐
#KnowGlobify
Kwenye "GLOBIFY TV APP" unayoweza kui download kupitia link hii ๐๐ผ https://t.co/hJM70PMnWY
bado ina features zingine
chini kabisa kwenye navigation bars ukiacha pale upande wa "home" kuna feature imekaa kama messege icon hapo ni public comments
watu naweza kuchat

kwa siku zijazo hii App itakua ni sehemu ya kubata kile unachokihitaji. sio tu Globify bali hata Radio/Tv station zingine zitakua humo ndani
na Nyongeza tu..
tumeweka gemu za kuchangamsha ubingo kido humohumo kwenye iyo App๐
#KnowGlobify

pia App hii inakupa uwezo wa kustream mechi za kimataifa bure kabisa unahitaji kuwa na data tu
1: muonekano unapoifungua App
2: unapoingia upande wa "Live Football"
3: Unapoingia sehemu ya Online Radios na ukawa unasikiliza Globify Radio
Kitu cha ziada katika hii
#KnowGlobify

GoodMorning Comrades..
hashtag yetu ni #KnowGlobify
tunaendelea tulipoishia....
Usisahau kuretweet na kutag raia๐๐ฝ
#KnowGlobify
Link za kutufikia GLOBIFY ni:
WEBSITE: https://t.co/AHS6KxXspC
EMAIL: [email protected]
GLOBIFY TV APP: https://t.co/6FPIV7aA0W
GLOBIFY NEWS APP: https://t.co/k979N6JISR
GLOBIFY RADIO: https://t.co/ZPeBJSLR4Z...
FACEBOOK:
https://t.co/9YJCqVRL74
na magroup yetu ylte yanaitwa Global"X"
X= aina ya group
inaweza kuwa Law, Politics, Jobs, Betting, Marriage, Relationship etc.
na sasa tupo hapa kuendelea kukuletea burudani kama zilizo media zingine hapa Tanzania
#KnowGlobify

#knowGlobify
Licha ya kuwa tuna online radio inayofanya kazi.. (hapo kwasasa hatujaanza kuwa na vipindi bado)
tulijihakikishi tunawaingia raia. na whatsapp ilikuwa ni sehemu yetu ya kwanza kujitangaza.
tuna magroup zaidi ya 500 tuliyoyaanda ili kutengeneza fanbase
#knowGlobify
Globify ni mtandao mkubwa.
tunaunganisha watu,
tumefanya kazi kubwa tukiwa underdog๐.
tuna kila kitu unachokitaka wewe.
sio tu habari.....tuna mpaka misaada binafsi ya ushauri wa kisaikolojia na ile ya kiprofeshno kutika katika kada mbalimbali

Bila shaka Kwa wadau wa Twitter tunamfaham @iamKaga wakati anai build @BandoApps
ndio ilikuwa ni mwaka juzi tu hapo
na sisi tukawa inspired nae.
Tupo hapa kujitambulisha kwenu
usisahau kuretweet uuonapo ujumbe huu๐๐ฝ
hashtag yetu itakua ni #KnowGlobify

Last Seen Hashtags on Sotwe
ๆทฑๅ
ุณูููุณ_ุนุฑูููุจู
monkeyapp #cockflash
darkzadie
Seen from United States
elifkaraarslan
Seen from Turkey
cameronmonaghan
Seen from Italy
เธเธงเธเธเธญเธเนเธเนเธ
Seen from Thailand
incestoconmamรก
Seen from Ecuador
ใขใใๆฐๆ็ฐ
Seen from Jordan
malemoaning
Seen from United Kingdom
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.2M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
112M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.2M followers

KATY PERRY 
@katyperry
88.4M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
82.3M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
73.8M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
71.1M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.2M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Bill Gates 
@billgates
64.3M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
64M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
61.5M followers

X 
@x
60.8M followers












