Top Tweets for #kuntu
#UJUMBE #KUNTU
Maisha ya hisia yanawatesa watu wengi kuliko maisha ya uhalisia.*
Mwenzako akiondoka akachelewa kurudi unahisi kachepuka,moyo unakuuma kweli! Kumbe yawezekana kala nauli akitegemea kusongesha, ikagoma. Shukuru kuna msamalia kamsaidia.
Unampigia simu hapokei unahisi anacheat unaumia kweli! Kumbe maskini ya Mungu wakati unampigia simu ilikuwa kwenye silent, amekuja kuiona hana salio hata la *kubipu
Unamsalimia haitiki, unahisi amekudharau unaumia kweli! Kumbe ni kiziwi.
Unamuomba pesa anakwambia hana unahisi amekunyima unaumia kweli! Kumbe ni kweli hana hata jero.
Unamuona mwenzako yuko online mpaka saa nane za usiku lakini hachati na wewe unahisi kakudisi, unaumia kweli. Kumbe mwenzako kasinzia muda, ni vile tu alisahau kuzima data!
Unamtumia nauli, halafu haji unahisi amekataa unateseka kweli. Yawezekana hakuja kwa sababu nauli ile amenunua chakula nyumbani maana walishinda njaa!
*Achana na hisia upunguze Kuteseka.
#UJUMBE #KUNTU #WA #LEO
Jifunze kupenda na kuheshimu kile ulicho nacho, Kabla ya maisha Hayajakufunza Kupenda kile ulicho Kipoteza
Si lazima akupende na usijaribu kumlazimisha
Lakini usiache kumpenda mtu na hii itakupa thawabu kwa Mungu.
Asali ni tamu sana ila jinsi inavyoandaliwa ndo changamoto
Jifunze kwa nyuki, Nyuki ni nzi aliye na ufahamu
Sio tu ukubali na kutii Sheria za Mungu ndio utakuwa umetimiza yaliyo mema.
Upendo ni amri kuu,itokayo kwa Mungu maana kwa upendo tu,Sheria zingine na amri zote zinafuatwa ukijua kuutumia upendo vyema wewe umepona
Usipende kusubiri wakupende nawe penda wengine ili upokee Baraka zako
Jifunze kuacha aende usikubali kumng'ang'ania mtu asie kutaka
Mapenzi ni hisia ila wengine hawana hisia na mapenzi
Jali hisia za wengine, hifadhi aibu zao , epuka kukanyanga riziki zao, kisha ongeza matumizi ya neno samahani na shukrani kwenye kauli zako..
Made this beat and which artist go fit 🔥🔥🔥 am? Ma a dey hear @kadi_shor
Hala at me if you need a dope beat or dope production #trapbeats #traplord #slimdrumz #slimdrumz_gh #kuntu
🎬INAUGURACIÓN DEL XI FESTIVAL KUNTURÑAWI🎬con la proyección-foro de la película IWIANCH de José Cardoso, 90 min.
Sinopsis:Una enigmática presencia ronda la profundidad de la selva amazónica, donde un adolescente indígena Achuar ha desaparecido.
#Salcedo #TeatroCentenario #Kuntu

Yaacross Won video ft @MagnomBeats is out now on @YouTube. Kindly tell a friend and go run it up.
https://t.co/XmMBuaZ5q7
#yaacrosswon #kuntu #slimdrumz #trapmusic #traplord
Yaacross Won video ft @MagnomBeats is out now on @youtube. Kindly tell a friend and go run it up.
https://t.co/uh6AsvlGWW
#yaacrosswon #kuntu #slimdrumz #trapmusic #traplord
I owe myself an apology for letting the industry get too comfortable treating me like I’m average. #yaacrosswon #kuntu #traplord #slimdrumz #trapmusic

I owe myself an apology for letting the industry get too comfortable treating me like I’m average. #yaacrosswon #kuntu #traplord #slimdrumz #trapmusic



Dreams are not what you see in your sleep. Dreams are things which don’t let you sleep. #yaacrosswon #kuntu #trapmusic #traplord #slimdrumz
@unlmtdgh @eazybest_

Dreams are not what you see in your sleep. Dreams are things which don’t let you sleep. #yaacrosswon #kuntu #trapmusic #traplord #slimdrumz

Dreams are not what you see in your sleep. Dreams are things which don’t let you sleep. #yaacrosswon #kuntu #trapmusic #traplord #slimdrumz

A print of CLUB BEER Clubbeer has less CALORIES than A print of ORANGE JUICE.
#yaacrosswon #kuntu #slimdrumz #trap #traplord #trapmusic

A print of CLUB BEER @clubbeer has less CALORIES than A print of ORANGE JUICE.
#yaacrosswon #kuntu #slimdrumz #trap #traplord #trapmusic

Pursue your passion and you’ll never work a day in your life #yaacrosswon #kuntu #traplord #trapmusic #slim

Last Seen Hashtags on Sotwe
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
240.3M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.3M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.6M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
109.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
106.9M followers

Rihanna 
@rihanna
97.5M followers

NASA 
@nasa
92.1M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
90.7M followers

KATY PERRY 
@katyperry
87.3M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
81.1M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
72.6M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
69.6M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
69.3M followers

YouTube 
@youtube
68.6M followers

Bill Gates 
@billgates
63.7M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.5M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
62M followers

CNN 
@cnn
61.9M followers

X 
@x
60.9M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
60.4M followers














