Top Tweets for #lowassa
@Sativa255 Safari ya matumaini mwenye ule wimbo wa #BAHATIBUKUKU akimuimbia #LOWASSA naomba aupost hapa nina shida nao geto
President @SuluhuSamia pays her last respects to the body of former Prime Minister Edward Lowassa in Monduli, Arusha. The former premier of Tanzania was buried today.
#Lowassa @ikulumawasliano
#RIP

Here's FAM setting the record straight. No room for upuusi & rewriting history π§π¨π§ππ¨
#Lowassa
πΉ via @KumbushoDawson
Uwezi kuandika historia ya Lowassa bila kutaja CHADEMA. Ni kujidangaya tu. Hili ni taifa letu sote -
@freemanmbowetz


Nakumbuka Maneno machache kutoka kwake wakati nilipomtembelea hotelini alipokuja Iringa kwa ziara binafsi kwa lengo la kumsalimia wakati huo asante kwa Upendo wako na kuja kunisalimia wewe ni Kijana fanya kazi kwa bidhii zingatia nidhamu Pumzi kwa amani Mzee #lowassa

Pumzika kwa Amani Mh. Edward Ngoyai Lowassa.
Agricom Africa tunaungana na watanzania wote katika kuomboleza msiba huu mkubwa. #AgricomAfrica #Buriani #Lowassa

#FromTheArchives: βUnsurprisingly, the β#Lowassa Questionβ continues to predominate public debatesβ¦.ββ https://t.co/Q5hBGP0UDp (PS. In life
as in death.)

R.I.P LOWASSA mwamba kutoka kaskazini Monduli Arusha Tanzania nenda mkuu Umelipambania taifa kwa hali zote historia yako ni kubwa sana na yenye kutukuka kwenye Taifa hili la mzee KAMBARAGE itazidi kujulikana kwa vizazi na vizazi
#Restinpeace
#lowassa

@SuluhuSamia Pole sana Mheshimiwa Rais! Naomba kuungana na wananchi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, @jumuiya na @_AfricanUnion kutoa salaam zangu za rambirambi. Nilibahatika mara kadha kumtembelea Hatyati Mzee #Lowassa nyumbani kwake Monduli Juu 2009-2010. @KagutaMuseveni @ccm_tanzania
Dalali anafikiri uongo aliouamini kila mtu atauamini. #ACT walifanya makosa kumchukua #Membe. #CDM huko nyuma walikosea kumchukua #Lowassa. Nguo ya kuazima haisitiri ......! Dalali ni Agent wa CCM na mfumo wa kijambazi.
#TwitterRepublic βπΏ
#KatibaMpyaNiLazimaSiOmbi

@mdudechadematz Sasa @Nnauye_Nape unakataa kuhongwa na @VodacomTanzania ili ukwamishe #Starlink?. Hakuna jambo unalolifanya sirini na wananchi tusijue!. Kama ulimsema #Lowassa ni mwizi wazi wazi, na sisi tunakusema wewe Nape ni Mwizi na fisadi kama Lowassa. Hufai kuwa kiongozi. #KatibaMpyaNiSasa

@ACTwazalendo @AdoShaibu Video kamili utaikuta youtube channel yetu ya #EastAfricaRadio
Cc @BlydenLevi #MansoorMalick @exaudwamtei @kissadaniel2 #Siasa #Membe #Lowassa #ZittoKabwe #CCM #Chadema
Last Seen Hashtags on Sotwe
wata
Seen from Germany
seguimoselcaminodechavez
Seen from United States
ι»ζηε§
Seen from Indonesia
minichat
Seen from Norway
ΰΈΰΈ§ΰΈ’ΰΈΰΈ±ΰΈΰΈ‘ΰΈ§ΰΈ’
Seen from Thailand
bopgirls
Seen from United Kingdom
shemale indian
Seen from India
miniChat (*)(*)+video
Seen from United States
etekalti()
Seen from Turkey
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.9M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.6M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.3M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90.1M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.6M followers

Bill Gates 
@billgates
65.3M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.7M followers





















