Top Tweets for #macvoice
#ETrending Kwa Mara ya kwanza CEO wa Lebo ya #NextLevelMusic na Staa wa Muziki wa Bongo Fleva #Rayvanny Afunguka kuhusu video iliyosambaa mitandaoni ikimuonesha Msanii wake #MacVoice Akipiga show kwenye Mazingira Ambayo sio rafiki.
.
#Rayvanny amesema kuwa pia ameona kwenye mitandao ya kijamii video hiyo kama watu wengine na uongozi wa Lebo utakaa Chini na kujadili swala Hilo.
.
HII INTERVIEW KWA UREFU IPO KWENYE YOUTUBE CHANNEL RICK MEDIA.
#ETrending Video ikimuonesha Msanii wa #NextLevelMusic ya #Rayvanny, #MacVoice Akipiga show kwenye Mazingira yasio vutia na kuzua maswali kama Bado ni Msanii wa Lebo hiyo kutokana na ukimya.
.
Written by @lankating
.
#RickMedia
#EntertainmentChamber
#BURUDANI Rais wa Bogos Musical Nyoshi El Sadaat akijibu kiutu uzima kinachoendelea kati yake na aliyekuwa member mwenziye wa Bendi ya #FMAcademia Patcho Mwamba.
#FridayNightLive #FNL #Rayvanny #MacVoice #NextLevelMusic
#BURUDANI First Born wa Next Level Music Macvoice TZ anasema anaweza akashindana na Boss wake kutoa ngoma Back To Back kwenye Lebo hiyo.
Unahisi nani atatoa Hit kali wakishandana kutoa ngoma hizo.
#FridayNightLive #FNL #Rayvanny #MacVoice #NextLevelMusic
Edition nyingine ambayo imechaguliwa kuwa favourite! Ni #DahHipHopRemix kutoka kwake @officialnandy🔥
Endelea kuusikiliza kupitia Boomplay app hapa ▶ https://t.co/4a6hvvkgs8
#homeofmusic #boomfresh #macvoice #mkaliwawiki #SOTW

✨MKALI WA WIKI✨
#Niambie kutoka kwake @macvoice_tz ndio wimbo uliochaguliwa na mashabiki kuwa mkali wa wiki hii 🚀🔥
Endelea kuusikiliza kwenye app hapa 🔗▶ https://t.co/VNL6qmCXya
#homeofmusic #boomfresh #macvoice #mkaliwawiki #SOTW

✨BOOMFRESH✨
#Niambie kutoka kwake @macvoice_tz sasa unaweza kuusikiliza kupitia #Boomplay app 🚀🔥
Link 🔗▶ https://t.co/VNL6qmCXya
#homeofmusic #boomfresh #macvoice #nextlevelmusic #newmusic

#BURUDANI Msanii kutoka Next Level Music @macvoice_tz amefunguka kuhusu muziki wa Amapiano kufululizwa kufanywa na wasanii wengi kwa sababu kubwa ikiwa ni kwenda na wakati.
#PlanetBongo #EastAfricaTV #MacVoice
Tarajia Ngoma Mpya Iitwayo #BODY Ya Msanii Wa Bongo Fleva Nchini Kutoka Label Ya #NextLevel @macvoice_tz Kutoka Julai 28 Mwaka Huu 2023
#Macvoice Amethibitisha Hilo Kupitia Ukurasa wake Wa Twitter "#BODY 28/07 NEW SOUND 🔥🔥"
JE, Uko Tayari Goma Hilo Jipya ?
✍:@officialtriggah_
#AfricaIsWatching #WasafiDigital


Rayvanny Ft #Macvoice – #Mwambieni Rayvanny, one of Tanzania’s most prominent and talented artists, has teamed up with Macvoice for their latest hit single, “Mwambieni.”
RELATED: #Rayvanny Ft Phina – https://t.co/8Y0WhoA5Da
Support a bro from #tanzania @Rayvanny he have a new movie 🎬 🎞 called #Senorita .Kindly link in his bio 🙏 🤲
https://t.co/axFyGHUqkW
#support
@rayvanny_news
@macvoice_tz
@Jomojymc46
Jomo Jymc Official Music
#bongomusic
#NextLevelMusic
#MacVoice

Ukinichiti Official Audio lyrics Video
Now available on all Digital platform
Get it Now On Youtube🔥
https://t.co/VHtYNoYCjI
#Ukinichiti #Macvoice #nextlevelmusic
Kwenye Mahakama Kuu ya Burudani #FridayNightLive leo tupo na mkali kutoka @NLM_tz @macvoice_tz anakuja ku'make statement kuhusu game yake ya Bongo Fleva.
Usikose kutazama show kuanzia saa 3:00 Usiku, #EastAfricaTV pia itasikika kupitia @earadiofm
#BongoFleva #Muziki #Macvoice

Leo katika #eNewz utafahamu kwa undani ugomvi kati ya maproduza wawili Sound Boy na @thisiscukie kuhusu kubadilishwa kwa beat ya ngoma ya #Simuachi ya msanii @macvoice_tz
Usikose #eNewz leo kuanzia saa 12:00 Jioni #EastAfricaTV
#Macvoice #SoundBoy #Cukie
Msanii wa lebo ya #NextLevelMusicTz @macvoice_tz amenyoosha maelezo kupitia #eNewz ya #EastAfricaTV kuhusu kukataa mtoto.
Show ya #eNewz ni kila siku ya J3 mpaka Ijumaa saa 12:00 jioni.
#eNewz #MacVoice #NextLevelMusic
Rapper @Rosa_reee anafunguka kuwa yeye ni rapper mkali na bora Afrika nzima kwa sasa, huku @macvoice_tz akiwatemea cheche mashabiki kuchochea bifu za wasanii..
Usikose #eNewz leo kuanzia saa 12:00 Jioni #EastAfricaTV
#RosaRee #Macvoice #BongoFleva
King👑 of New Generation @macvoice_tz ni Moja kati ya wasanii waliopata nafasi ya kufanya Interview mwezi huu wa July,
Macvoice amezungumzia namna alipata deal la kufanya kazi na CHUI 🐯 @rayvanny na mambo mengine mngi kuhusu Muziki wake .
Stay Tuned!
#HomeOfMusic #MacVoice

This Is Real Definition Of NEXT LEVEL MUSIC 30+ Streams on @boomplaymusic_tz 🔥🙌🏽 Congratulations King @macvoice_tz you deserve a 👑
#macvoice #myvoiceep #onlyyou #sara #mamayoyo #nlm 🌎🦅 @ Mbezi Beach https://t.co/WRtlOkbL3b
Brand new!! Ni nyingine mpya kutoka kwa mkali @macvoice_tz 🔥🔥🔥
Pakua #SARA hapa: https://t.co/1XrXSro638
#MdundoTZ #Bongo #MacVoice

Last Seen Hashtags on Sotwe
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
240.7M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.2M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.7M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
110.7M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107M followers

Rihanna 
@rihanna
97.7M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
90.9M followers

KATY PERRY 
@katyperry
87.7M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
81.6M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
73.1M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
70M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
69.8M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Bill Gates 
@billgates
63.9M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
62.7M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

CNN 
@cnn
61.9M followers

X 
@x
60.8M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
60.8M followers














