Top Tweets for #maongeziupdates
Nakiri kusema kwamba ukitazama mechi za Yanga hautamani mechi iishe kwa raha ya soka tamu la Wananchi
FT | Yanga Sc 3-0 Coastal Union
#MaongeziUpdates

"Ningemshauri Arteta amchukue kwa miezi 6, Ndiyo hicho kitu ndicho tunachokitaka, Cristiano Ronaldo na Gabriel Jesus watasaidia Arsenal kushinda ubingwa wa PL"
- Piers Morgan, Mwandishi maarufu Uingereza
#MaongeziUpdates

Hii tabia ya Yanga kusubiri hadi kipindi cha pili ndiyo waje kupata matokeo, itakuja kuwa gharimu kwenye mashindano haya makubwa
HT | Yanga Sc 0-0 Zaalan Fc
#MaongeziTv #UtamuZaidi #MaongeziUpdates
"Wachezaji wa Kiafrika katika siku zijazo watalazimika kujitolea kwa maandishi kwamba hawatawakilisha nchi zao kwenye AFCON ikiwa wanataka kusaini Napoli"
Amesema rais wa Napoli Aurelio De Laurentiis.
#MaongeziUpdates
"Katika Tanzania hii au Afrika ni mtu ambaye hana akili anaweza kusema hawezi kufanya kazi na Bernard Morrison, nilipambana sana aichezee Yanga nafurahi kuona amerudi nyumbani." - Frederick Mwakalebela
#MaongeziUpdates

๐๐ฅ๐ค๐ก๐ ๐๐ก๐ ๐ ๐ช๐๐๐๐๐๐ง๐๐จ๐๐ ๐ช๐๐ค๐ง๐ ๐ฌ๐๐ ๐, ๐ฝ๐๐จ๐ ๐๐ฉ๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐ช๐ฃ๐๐ ๐ ๐ก๐๐๐ช ๐๐ฃ๐๐ฎ๐ค๐ ๐ฌ๐๐ฃ๐๐ ๐ ๐ช๐๐๐๐๐ฏ๐๐ ๐ข๐จ๐๐ข๐ช ๐ช๐๐๐ค
#MaongeziUpdates
Paulo Dybala amethibitisha kwamba anaondoka Juventus baada ya miaka saba kudumu kwenye klabu hiyo
Dybala atacheza mechi yake ya mwisho akiwa Juventus siku ya Jumatatu kwenye mchezo dhidi ya Lazio
#MaongeziUpdates

Klabu ya Simba kupitia kaimu msemaji wake Ezekiel Kamwaga imethibitisha kumuuza kiungo wao hatari Clatous Chama kwenda klabu ya RS Berkane ya Morocco.
#MaongeziUpdates

Klabu ya Bayern Munich imekamilisha usajili wa winga Ivan Perisic kutoka klabu ya Inter Milan kwa mkataba wa mkopo wa msimu mzima huku kukiwa na kipengele cha kumnunua moja kwa moja.
#MaongeziUpdates

Last Seen Hashtags on Sotwe
ไบบๅๆๅฝฑๅธซ
Seen from United States
ๆญฃๅคช่ง้ข
Seen from Vietnam
MiraculousSeason7
Seen from Poland
wataaaaaaa
Seen from United States
chiomalovv
Seen from Canada
demitrakalogeras
Seen from Italy
เธชเธฒเธงเธชเธญเธเธชเธฒเธงเนเธชเธตเธขเธ
Seen from Colombia
blacksex
Seen from United States
ะฝัะดัะพะผะฐะฝะธั
Seen from Turkey
ipcam sex
Seen from Sweden
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.8M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.5M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.3M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.5M followers

Bill Gates 
@billgates
65.3M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.7M followers

X 
@x
60.7M followers

