Top Tweets for #misitu
FAO yaonya kuhusu kumalizika fursa ya kuhuisha misitu
Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) limeonya katika ripoti yake kwamba fursa ya kuhuisha misitu duniani, ambayo ina mchango.
#FAO #Misitu #UhifadhiWaMisitu #MabadilikoYaTabianchi #MazingiraYanguTanzani

Biashara ya kaboni yatajwa kuwa fursa mpya ya kiuchumi kwa jamii za misitu .
Katika warsha iliyofanyika Dodoma, Prof. Agnes Sirima alisisitiza umuhimu wa mapato ya kaboni katika kuimarisha uhifadhi na kuboresha maisha ya wananchi.
#ClimateAction #Misitu #Tanzania

Tunapofunga mjadala wa Vikindu 🌍, tumekumbushwa kuwa misitu ni ngao yetu dhidi ya mabadiliko ya tabianchi na urithi kwa vizazi vijavyo. 🌱
Ahadi yetu ya kulinda misitu inaendelea kupitia hatua, elimu na mshikamano.
#Misitu #Youth #Nature #Biodiversity
Katika mdahalo wa Vikindu 🌿, Madina Kimaro (Madina Climatic Org.), Lesley Lyimo (Peter’s Tours) na Aksa Brown (Vikindu) walijadili changamoto & fursa za uhifadhi wa misitu na utalii endelevu.
#Misitu #Biodiversity #Youth #Nature
Forests are vital to our planet's health, supporting over 80% of land-based biodiversity and absorbing carbon dioxide.
Collaborative efforts are essential our choices today will determine their future.
#biodiversity #forest #conservation #misitu #forestconservation

mazao yatokanayo na miti sambamba na kupambana na changamoto ya wanyama waharibifu hususani Tembo kwa kutoa taarifa kwa mamlaka husika pamoja na kutumia mbinu walipewa na TANAPA.
#miti #misitu #vikundi #cocoba #bunda #serengeti #tanapa #SerengetiUPDATES
Kinachoendelea kwenye #Bandari ndo hayo hayo kwenye #Misitu …
Yaani lazima kupiga sana kelele - #OkoaBandariZetu #KatibaMpya
Leo ni siku ya 🎉/kuenzi #Kiswahili.
Kama @ACIARAfrica, tunatoa msaada bora 🌍katika utafiti wa kilimo kwa maendeleo, tukilenga #mazao #uvuvi #misitu #uhortikultura #mifugo #maji #udongo na #usimamizi wa ardhi 👉 https://t.co/Wl97pOJw0b
#WorldKiswahiliDay
@ACIARAustralia



Kuchoma moto misitu hovyo ni aina ya ufisadi katika ardhi.
Uislamu unatufundisha kuhifadhi na kutunza mazingira na kutokufanya uharibifu wa mazingira.
@tanzania_forest
#mazingira #quran #misitu #miti #uisamu #maji #dunia #utunzajiwamazingira #tunzamazingira #tvimaan #islamicftz
Did you know that over 50% of charcoal produced in Tanzania is consumed in Dar es Salaam, amounting to 500,000 tons annually? @tzagriculture #maliasili
@HusseinBashe @AnthonyMavunde #forest @rainforrestday #misitu #mazingira #environment

Vizuri kuona watoto wakielewa umuhimu wa misitu Na athari za ukame.Mbegu hii kwa watoto ni bora kwa maendeleo ya taifa Na Mazingira bora.
#misitu #ukame #mazingira #mabadilikoyatabianchi
Wananchi waendelea kuiokoa misitu Kenya baada ya uharibifu mkubwa uliofanywa na wenyeji kuvuna kuni na kulisha mifugo na kukosekana ulinzi ambapo hivi sasa sera mpya imeipa jamii nafasi ya kulinda misitu yao.
#Kenya #sera #Ulinzi #Misitu #Jamii #voa #voaswahili #dunianileo
Mikoko huhifadhi hewa ukaa mara tano zaidi ya misitu ya nchi kavu
Tupande mikoko kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi.
#tabianchi
#mabadiliko
#misitu
#viumbehai

Mgeni akipata akipata maelezo kuhusu utalii katika misitu ya asili ya Pande na Pugu-Kazimzumbwi.
#utaliiekolojia #misitu #utaliiwandani #bodiyautaliitanzania #taliitanzaia

Last Seen Hashtags on Sotwe
SkinTrial
Seen from United States
ENTRENOSOTROSDOS
Seen from United States
cum facial
Seen from United States
รับงานบ้านแพ้ว
Seen from Thailand
momoyaoyorozu
nsfw #wutheringwaves
croycito
Seen from Peru
minichat
Seen from France
JimAbraham
Seen from United States
thedistrictsfbteam
Seen from United States
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.8M followers

Barack Obama 
@barackobama
119M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.6M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.9M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.2M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.4M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90.1M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.5M followers

Bill Gates 
@billgates
65.3M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.3M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.7M followers



























