Top Tweets for #mobileafya
Leo ni siku ya UKIMWI duniani, kuongeza uelewa juu ya mwenendo wa maambukizi ya VVU na UKIMWI ni moja ya malengo ya siku hii @tacaidsinfo Umeshapima afya yako kujua hali yako? #mobileafya #afyayakokiganjani #imarishausawa
Je wajua kila tarehe 14 ya kila mwaka ni siku ya nini?
Kila tarehe 14 mwezi Novemba huwa ni siku kisukari duniani. Tuongeze uelewa hapa kuhusu shida hii ya kiafya.
#MobileAfya
Mobile afya inawapa pole ndugu, jamaa na marafiki wa wahanga wote wa ajali ya ndege ya shirika la Precision Air @PrecisionAirTz ilivotokea tarehe 06 Novemba huko Bukoba mkoani Kagera.
#mobileafya #afyayakokiganjani

#DearNyerere Mimi naitwa @mobileafya najishughulisha na utoaji taarifa sahihi za afya kupitia simu ya mkononi na hata sihitaji 'Smartphone' ili kunipata.
Naamini kinga ni bora kuliko Tiba na kwenye wale maadui watatu (UMASKINI, UJINGA na MARADHI) #mobileafya #nyerereday

Hebu jiulize hapo iwapo mbu angekua anauwezo wa kusambaza Vvu ingekuaje? π
Sasa kila mwaka mwezi Septemba huwa tunaadhimisha wiki ya Magonjwa yasiyoambukiza. #MobileAfya #Afyayakokiganjani

Sisi huku tunaongea kwa uwazi kabisa na βwashikajiβ halafu hatuoni soo wala nini, wewe ilikua lini?
#afyayakokiganjani #mobileafya
'Bodaboda' na mabalaa yao ππΎ
Msaada wa haraka kwa anaevuja damu ni kuzuia damu kwa kitambaa safi na hata baada ya kuloa ongeza kingine juu yake, USIKITOE kile cha mwanzo kabisaaa. #mobileafya mtaani
Ukihisi hata dalili moja tuu ya hizo, sio jambo dogo hilo. Wahi hospitali
#afyayakokiganjani #mobileafya
Umeshawahi kupaka asali ukiungua sio?
Ikitokea umepata jeraha dogo la moto, mwagia jeraha maji baridi ili kupooza na kusafisha ngozi na kupunguza maumivu.
Epuka kuingiza jeraha kwenye maji baridi, unaweza kushusha joto la mwili kiasi cha kuhatarisha maisha. #MobileAfya

Mobile Afya inawatakia Watanzania wote heri ya siku ya Wakulima (NaneNane). Tunajua shambani kuna mambo mengi, dharura za kiafya
ikiwemo na ndio mana tuna kipengele cha huduma ya kwanza halafu unaweza ukaitumia huduma hiyo bila hata kuhitaji internet. Ni #mobileafya pekeeβ

Umeshawahi kujiuliza mtoto akilia huwa ni ishara ya nini? Sikia hii, watoto bwana huwa na tabia za kuzungumza kwa namna wanayoweza ili kupata kile wanachohitaji hususani wanapohitaji kunyonyeshwa maziwa ya mama zao.
#afyayakokiganjani #breastfeedingweek #mobileafya

Tarehe 1 hadi 7 August huwa ni wiki ya unyonyeshaji duniani. Leo ni siku ya tatu na tunapenda kusikia unachojua kuhusu faida za unyonyeshaji kwa mama na mtoto wake, umeshasikia mangapi kuhusu hili?
#afyayakokiganjani #mobileafya #wikiyaunyonyeshaji

Sote tunajua hiki ni kitunguu swaumu moja kati ya viungo muhimu sana jikoni sio?
Lakini leo #mobileafya tunapenda kukusikia wewe unatumiaga kitunguu hiki kwa shughuli ipi nyingine ukiachana na mapishi?
Karibu kwenye comments utiririke sasa

Sisi #mobileafya tunaamini kinga ni bora kuliko tiba lakini kuna muda unafeli kujikinga ukaangukia kupata
tiba.
Haya tuambie wewe unatumia njia ipi kati ya hizo kumeza dawa?
Mtag muoga wa dawa aje hapa kuna zawadi yake π
#afyayakokiganjani #mobileafya

Ukihisi una dalili yoyote kati ya hizo, usichukulie poa, wahi kituo cha Afya kilicho karibu nawe.
Una swali zaidi? Usisite kuuliza na kushare na wengine ili wote tukae kimkakati na tuishi πͺπΎπͺπΎ
#afyayakokiganjani #mobileafya #outbreak
Ikitokea umejikata au una mikwaruzo katika ngozi yako halafu ukaugusa mkojo wa mnyama kama panya, mbwa na ng'ombe alieambukizwa au ukagusa maji,
udongo au chakula kilichochafuliwa na mkojo wao
basi unakua hatarini kupata homa hii ya mgunda.
#MobileAfya
π¨ HOMA YA MGUNDA π¨
Huenda umeshasikia kuhusu mlipuko wa ugonjwa huo nchini na taarifa nyingi zilizoendelea kutolewa na mamlaka husika.
Sasa ni hivi, huu ugonjwa unasababishwa na Bakteria kisha huenezwa kupitia mkojo wa wanyama walioambukizwa.
#Afyayakokiganjani #MobileAfya

Bado tunazungumza kuhusu hedhi kwasababu mtaani kuna mambo mengi ambayo wataalamu wanasema
si kweli.
Kutizama video hi, nenda YouTube na usisahau ku'subscribe, ku'comment na ku'share
#afyayakokiganjani #menstrualhealth #mobileafya
Wiki hi kwenye #afyabox #drafya na Mr #mobileafya wamepiga stori kuhusu mambo nyeti ya hedhi kwa kina dada. Tembelea ukurasa wetu wa Youtube @mobileafya kutizama kipindi hiki cha dakika 10 tuu, usisahau ku'subscribe,comment and share
#afyayakokiganjani #menstrualhealth
Last Seen Hashtags on Sotwe
momson()+filter:media() - filter:images
Seen from Australia
cuckoldtΓΌrkiye
Seen from United States
Blasphemy #porn
Seen from Indonesia
latina
Seen from United States
minichat()**********filter:native_video()
Seen from Netherlands
bop
Seen from Brazil
rescuesf
Seen from United States
minichat
Seen from United States
GRSnaps
Seen from United States
μ§μΈ
Seen from Korea
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.7M followers

Barack Obama 
@barackobama
119M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.4M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.9M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.2M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.4M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
83.9M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.4M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.4M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.4M followers

Bill Gates 
@billgates
65.2M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.3M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.7M followers
