Top Tweets for #mrunknowncode
'We cant grow if things are easy' ...
#MrUnknownCode
#DjSelection
"Sina Nyota - Mbosso Khan"
- Bado ndondo Churuuru, ukijaza haijai Kibabababa na Misongosongo msuruuruu 6 haikai 7.
#MrUnknownCode
Duah ya kila Siku .
"Mungu Baba Nipe Mimi Wape Na Wao." ~ Johnbest Mwahaja.
#MrUnknownCode
12.07.2025 |
#MrUnknownCode

Nguvu ya kweli inatoka moyoni amini, weza, timiza. Usisubiri hali iwe sawa, anza sasa safari huanza kwa hatua moja.
#MrUnknownCode
"Kuna wakati unaogopa mabadiliko, ila kukubaliana na mabadiliko wakati mwingine kunakusaidia kukua." ~ Johnie
#MrUnknownCode
Learn to react less.
"When you control your reaction no body can manipulate you."
#MrUnknownCode
."Unapoona aibu kwa niaba ya mtu mwingine, ni kwa sababu unajua wangeweza kufanya vyema lakini walichagua kutofanya hivyo." ~ Mathew Kumbulu
#MrUnknownCode

There's nothing like the satisfaction of completing a task with dedication and passion knowing you gave your best and the results speak for themselves. ~ Mwaisa
#MrUnknownCode

"Hata katikati ya mapambano, kumbuka kuwa Mungu hajawahi kukuacha. Anatoa nguvu mpya kwa kila siku mpya." ~ Mama Johnie
- endelea kuamini.
#MrUnknownCode
"Watu wa kweli na wenye imani huinua wenzao juu, na sio kuwashusha chini." ~ Mtoto wa Mama Msacky (Chuma)
#BakiMkweli
#MrUnknownCode
"Wikiendi ni zawadi ya maisha! Chagua kupumzika, kufanya unachopenda, na kujijaza nishati mpya kwa ajili ya safari mpya." ~ Baraka Maviatu
- Furahia kila dakika hasa ukiwa na Kibunda.
#MrUnknownCode
"Unapoendelea kuomba na kupambana, kumbuka kuwa Mungu hujibu maombi kwa wakati ambao ni sahihi." ~ Mzee Waziri
- Jifunze kuwa na subrah.
#MrUnknownCode
"Mungu ndiye kimbilio lako, na kazi zako za bidii ndizo daraja la kesho yenye matumaini." ~ Mama Johnie
- Tusiache Kuomba na Kushukuru.
#MrUnknownCode
"Kesho yako inaahidi kuwa ya nuru ikiwa leo utaweka imani yako kwa Mungu na juhudi zako kwa bidii." ~ Mwaisa π‘
#MrUnknownCode
"Maisha ni safari yenye changamoto, lakini kwa kumtegemea Mungu na kujituma, kesho yetu inaweza kuwa bora zaidi." ~ Mwaisa π‘
- Hakikisha unaendelea ulipoishia na kumuomba Mungu.
#MrUnknownCode
"Uwezo wa kufanikisha wengine ni baraka; baraka hiyo huongeza maana ya maisha yako na kuacha alama isiyofutika katika safari za wengine." ~ Mwaisa π‘
- Kila mchango wako wa dhati unaumba kizazi kinachoamini katika kushirikiana, na kuleta mabadiliko chanya.
#MrUnknownCode
Last Seen Hashtags on Sotwe
bodypaintingday2015
Seen from United States
η»ΏθΆ
Seen from United States
NatanaSuthradhaari
Seen from United States
κ·ΌμΉ
Seen from Japan
urbabydollxo
momson()
Seen from United States
somno
Seen from Brazil
ΰΈΰΈΈΰΈΰΈ£ΰΈΰΈ±ΰΈΰΈ₯ΰΈ±ΰΈΰΉ
Seen from Thailand
exny #nolimit #momson filter:native_video
Seen from United States
atomicjelly
Seen from Brazil
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
240.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.3M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.7M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
110.3M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107M followers

Rihanna 
@rihanna
97.6M followers

NASA 
@nasa
92.1M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
90.8M followers

KATY PERRY
@katyperry
87.5M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
81.3M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
72.9M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
69.7M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
69.6M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Bill Gates 
@billgates
63.8M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.5M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
62.4M followers

CNN 
@cnn
61.9M followers

X 
@x
60.8M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
60.6M followers
