Top Tweets for #mshauri
#DADAZ Toto la Matashtiti #MwanneOthmanKamby amesema akitoa mbinu zake za kuimarisha mahusiano yake huku akitoa ushauri kwa wapenzi.
Show kamili ipo youtube ya #EastAfricaTV
Cc @najma_paul #Ndoa #Kupika #Mshauri
Mshauri wa Masuala ya ndoa Betty Chalo amewashauri wanaume wawe na utaratibu wa kuwasaidia wapenzi wao kwa sababu inaimalisha upendo.
Show kamili ipo youtube ya #EastAfricaTV
Cc @najma_paul #MwanneOthmanKamby #Ndoa #Kupika #Mshauri
Changia mada hii kisha Comment yako itaruka Live kwenye runinga East Africa TV
#Funguka Saa 9:00 - 9:30 Alasiri.
#EastAfricaTv #Ndoa #Mshauri #Maisha

Changia mada hii kisha Comment yako itaruka Live kwenye runinga East Africa TV
#Funguka Saa 9:00 - 9:30 Alasiri.
#EastAfricaTv #Mshauri #Maisha

Changia mada hii kisha Comment yako itaruka Live kwenye runinga East Africa TV
#Funguka Saa 9:00 - 9:30 Alasiri.
#EastAfricaTv #Ndoa #Mshauri #Maisha

Changia mada hii kisha Comment yako itaruka Live kwenye runinga East Africa TV
#Funguka Saa 9:00 - 9:30 Alasiri.
#EastAfricaTv #Mshauri #Afya

@tonytogolani Yaaan hii imentokea juzi tuu, ila nlimbwambia kuwa sitak nkuhaidi ila mamb yakiwa frsh ntakuchek , baasi bwana eeenh ikawa deni na maneno ya kashfa juu pale baadae aliponchek nkamwambja mkuu bado mamb hayapo sawa #mshauri mitano tena
#MSHAURI“Kazi yangu ya kwanza nitakuwa mshauri wa nchi yangu Kitaifa na Kimataifa, kazi yangu ya pili itakuwa ni kupigania demokrasia ya kweli,” Bernard Membe, Aliyekuwa Mgombea Urais kupitia ACT Wazalendo baada ya kutangaza kuachana na chama hicho.

@tonytogolani Mkuu umesahau hashtag ya #Mshauri wa masuala ya Kipumbafu,Anasa na Starehe.
Kujifunika kwenyewe ukute miguu ipo nje.
Huwezi kulifunika jua kwa shuka, utaishia kujifunika wewe mwenyewe.
Maneno machungu huacha makovu katika moyo wa mtu. Ukilazimika kuyatumia dhidi ya mtu, basi yatumie kikamilifu mara moja kisha uachane nayo. Kuyarudia rudia ni kutonesha makovu na maumivu yake huishia kujenga chuki na ikiwezekana kisasi. Usiyarudie maneno machungu, buni mapya!
#Mshauri wa Mipango,Sera na Mbinu za Uweledi
Jitahidi sana hata ukikosa pesa, mali na madaraka, usikose akili, ujuzi, stadi na maarifa. Kama huna cha thamani cha kutoa, kuwekeza au kuwalipa watu, utalazimika kuweka utu wako rehani au kuunadi ikibidi.
#SikilizaTogolani "Kadri unavyowahi kwenye starehe ndio unavyotumia hela nyingi. Fika mida ya kipindi cha pili au lala salama. Wakati wao wanashuka mlima wewe ndio unaupandisha. Sikukuu hii ndefu. Usipojipanga utaishiwa mapema". Mshauri wa Masuala ya Kipumbafu, Anasa na Starehe
@rodrick_sindi Kwangu mimi binafsi sitampatia mtu mwingine zaidi ya @tonytogolani. Huyu bwana anatoa mafunzo makubw ya maisha japo anajiita #Mshauri wa maswala ya kipumbafu, starehe na anasa ila kiukweli anagusa maisha kwa mapana yake. Kwangu ni mtu wa kupewa tuzo. Hongera sana @tonytogolani
#Wale ambao wanakusaidiga hakikisha siku moja moja bila sababu unawapigia tu simu kuwasalimu. Sio kuwapigia tu pale ukiwa na shida mpaka wakiona simu yako wanajua tu kuna ombi linafata.Wataacha kupokea simu zako.
#Mshauri Wa maswala ya #Kipumbafu
#Hanasa_na_Starehe.
Last Seen Hashtags on Sotwe
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.6M followers

Barack Obama 
@barackobama
119M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.2M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.2M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.4M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
89.9M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
83.8M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.3M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.2M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.8M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.2M followers

Bill Gates 
@billgates
65M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.3M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.7M followers













