Top Tweets for #nacongo
Mkurugenzi wa @womenfund_tz Rose Marandu akichangia mada katika mjadala kuhusu upungufu wa rasilimali fedha na athari zake katika harakati za haki za wanawake na maendeleo ya Taifa.Mjadala huo umefanyika katika #NGOForum2025 inayoendelea huko Dodoma.
#ngoforum2025
#NaCoNGO

Katika jukwaa la #NGOForum2025 linaloendelea mkoani Dodoma, @WomenFund_TZ leo tunashiriki katika mjadala kuhusu upungufu wa rasilimali fedha na athari zake katika harakati za haki za wanawake na maendeleo ya Taifa kwa ujumla.
#ngoforum2025
#NaCoNGO
#FundingWomensRights

Today we attend the forum that opened by Deputy Permanent Secretary for Community Development, Gender, Women and Special Group
Hon Amon Mpanju who emphasized Integrity and Patriotism should be criteria in the functioning of NGOs across the country
#nacongo #masafa #integrity

Mashirika Yasiyokuwa ya Kiserikali leo wameandaa mkutano na waandishi wa habari uliofanyika jijini Dar es salaam hii ni Kuelekea jukwaa la mwaka la mashirika yasiyo ya kiserikali #NGOSForum2024
#NACONGO
@ladiesjoint @maendeleoyajami @nacongotz

Ule wakati wa kukutana na kujadiliana mambo yetu sisi mashirika yasiyo ya kiserikali umewadia. Tujiandae, tuna jambo letu hapo mwezi Oktoba.
Tukutane pale Dodoma!!
#NaCONGO
#HakiHainaJinsia

Tunaishukuru ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Tanga kwa kutambua mchango wetu katika utoaji wa huduma ya msaada wa kisheria kwa wanawake.
Tunaahidi kuendelea kufanya kazi kwa karibu na wadau wa haki za binadamu hususani ofisi yenu katika kupigania haki na usawa wa kijinsia.
#NaCONGO

Mkoani Tanga tumepata fursa ya kuwa sehemu ya Baraza la Mashirika Yasiyokuwa ya Kiserikali (NaCONGO) na hivi karibuni tulipata wasaa wa kushiriki kwenye kongamano la siku 2 la jukwaa la NaCONGO mkoani Tanga.
#NaCONGO
#HakiHainaJinsia

Ardent Youths Organization iliwakilishwa na ndugu Zephania Mwaifuge, ambaye ni Mhazini wa Taasisi yetu katika jukwaa la mashirika yasiyo ya kiserikali lililofanyika ukumbi wa Maktaba Mpya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
#ArdentYouths #Tanzania #NaCONGO #NGOs #Youths

Nilipata fursa ya kuiwakilisha @globalpeacetz katika jukwaa la NGOs za Dar es Salaam ambapo tulikumbushwa;
πKuandaa miradi inayotatua changamoto zenye kugusa jamii mfano maendeleo ya watu, usafi wa mazingira na mabadiliko ya tabia nchi, kuimarishwa mifumo kandamizi,
#nacongo

π Exciting times at the 2023 NGO Forum! ππ€ Dr. Sesilia @secyrose, CEO of Young & Alive Initiative @youngandalivetz, is making a difference.
Currently at the University of Dar Es Salaam Library, thanks to #NaCoNGO @nacongotz and partners. Let's create a positive impactπͺ!

One day to go.
#SingidaAnnualNGOsForum2023
Theme: Our NGOs, Our Values, Our Nation
Meet the invited guests.
#Singida #NGOs #NGOsForum #NaCoNGO #Azaki
@maendeleoyajami @nacongotz @rcsingida @THRDCOALITION @EstlTanzania @pjserukamba

Singida welcomes all stakeholders to this year's NGO Forum.
π 03-04 July 2023
π KBH Hotel
β²οΈ 8:00 AM
@nacongotz @maendeleoyajami @rcsingida @tratanzania @pjserukamba
#NGOs
#TaxCompliance
#EmpoweringCommunities
#SustainableDevelopment
#NaCoNGO

π¨ TANGAZO
Wadau wa Sekta ya NGOs tafadhali pokea Mawasiliano ya Wawakilishi wa Baraza la Taifa la Mashirika Yasiyo ya Kiserikali - NGOs #NaCoNGO Kimkoa na Makundi Maalum.
#NaCoNGO ni chombo muhimu cha NGOs hivyo niwasihi NGOs zenu zitambulike.
Kwa maelezo zaidi @nacongotz

Ukipata nafasi unaweza kupitia katika banda letu hapa ukumbi wa Jakaya Kikwete, Dodoma.
Tupo tunasikiliza wananchi.
karibuni sana
#NaCoNGO
#HakiHainaJinsia

Mkurugenzi wa @TawlaTZ Wakili Tike Mwambipile pia alikuwa moderator kwenye mjadala uliojikita kwenye sera sheria na kanuni za uratibu wa NGOs kwa upande wa Tanzania bara.
#NaCoNGO
#HakiHainaJinsia

Mkurugenzi wa @TawlaTZ Wakili Tike Mwambipile ni mmoja wa wadau muhimu wanaoshiriki katika jukwaa la mwaka la Mashirika Yasiyo ya Kiserikali(NGOs) yanayofanyika Dodoma kuanzia tarehe 3 hadi 4 Oktoba ambapo mgeni rasmi ni Waziri Mkuu,Mh. Kassim Majaliwa.
#NaCoNGO
#HakiHainaJinsia

NGOs Sustainability, 9 MAY 2022 at NATIONAL MUSEUM DAR ES SALAAM TANZANIA. Thank you team for your powerful contributions on the topic we had, Karibuni sana Morogoro @tesifa_tanzania #tesifatanzania #ngos #sustainability @SuluhuSamia #nacongo @Pungutijascar @MagomaAbraham #NGO

Did you know that more than 11,000 NGOs are registered in Tanzania? Our team is actively participating in the National Council for NGOs(NaCoNGO) meeting in Dodoma to learn and share the contribution of NGOs in the national development.
#thepinkboxinitiative #NaCoNGO #dodoma

Last Seen Hashtags on Sotwe
bursagay
Seen from Turkey
onlyfans
Seen from United Kingdom
ΰΈ§ΰΈ±ΰΈΰΈ«ΰΈ’ΰΈΈΰΈΰΈΰΈ΅ΰΉΰΈΰΉΰΈ²ΰΉΰΈΰΈ·ΰΉΰΈ
Seen from Thailand
ΰΈΰΈ§ΰΈΰΈ«ΰΈΰΈΰΈΰΈΰΈ²ΰΈ’
Seen from Thailand
ΩΨΩΩΩ
Seen from Saudi Arabia
pantsed
Seen from Brazil
ΰΈ«ΰΈ₯ΰΈΈΰΈΰΈΰΈ§ΰΈ΄ΰΈ
Seen from Thailand
δΌͺε¨
gaycest
Seen from United States
ζδΊΊηε§
Seen from Japan
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.2M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
111.8M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107M followers

Rihanna 
@rihanna
98M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.2M followers

KATY PERRY 
@katyperry
88.3M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
82.2M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
73.7M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
70.9M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.1M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Bill Gates 
@billgates
64.3M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
63.8M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
61.4M followers

X 
@x
60.8M followers






























