Top Tweets for #pleaseverify
Kitendo cha jamii kuamini au kuwa 'conditioned' kwamba kila taarifa kutoka redioni,tv na magazetini ndio kweli pasipo wao wenyewe kuhakiki, kinasambaza taarifa potofu nyingi sana kati ya jamii.
Ni vyema KUHAKIKI usahihi wa taarifa hiyo kabla ya kushare na wengine. #PleaseVERIFY

#LSP2024 ndani ya kituo cha Unique Education Center wanafunzi walishiriki katika mdahalo.
Ili kuzuia upotoshaji wa taarifa ndani ecosystem ya habari wadau wote wana wajibu wa kuhakiki usahihi wa taarifa kabla ya kushare na yeyote taarifa hizo,Sio waandishi pekee.
#PleaseVERIFY

Kupitia program ya #LSP2024 wanafunzi wa Unique Education center walijifunza kuhusu #AI
Pamoja na faida zake, #AI ni chanzo kikubwa cha uzalishaji wa taarifa potofu ambazo ni ngumu sana kutofautisha na ukweli.
Ni vyema kuhakiki kila taarifa ili kuzuia upotoshaji #PleaseVERIFY
Program ya #LSP2024 katika kituo cha Unique Education Center.
Wanafunzi walijifunza namna teknolojia ya akili bandia (IA) inavyochangia uzalisha taarifa potofu ndani ya jamii.
Pia njia za kutambua maudhui yaliyozalishwa na AI kwa lengo la kupotosha umma.
#PleaseVERIFY

#LSP2024
Dunia sasa inakabiriwa na matatizo makubwa matatu,moja ya tatizo hilo ni kusambaa kwa taarifa za uwongo,potofu na matamshi ya chuki.
Njia pekee ya kupambana na upotoshaji wa taarifa ni kuhakiki kila taarifa ndani na nje ya vyanzo vya habari.
#PleaseVERIFY
Program ya #LSP2024 katika kituo cha tution cha Siro academy.
Katika wasaa huo wanafunzi walipata kutambua njia za
Kuzuia usambazaji wa taarifa potofu katika jamii.
Wote wamesema watatumia 5W'S ili kuhakiki taarifa katika zama hizi za utata wa taarifa.
#PleaseVERIFY

Katika program ya #LSP2024 wanafunzi wa kituo cha tuition cha sanje academy walishiriki katika mdahalo.
Wanafunzi walisema kama waandishi wa habari hawata chakata vizuri habari kutoka katika vyanzo sahihi basi
Kuna uwezekano mkubwa wa kupotosha jamii.
#PleaseVERIFY

Tangu dirisha la usajiri wa wachezaji kufunguliwa hapa nchini na @Tanfootball
Kumekuwa na taarifa za uongo na potofu nyingi sana.
Ni vyema wapenzi wa soka nchini kuhakiki kila taarifa ili kupunguza taharuki mitaani.
#PleaseVERIFY

Katika program ya #LSP2024 wanafunzi katika kituo cha tution cha Sanje Academy.
Walitambua kuwa kitendo cha kununulika ili usambaze taarifa za uongo na potofu ni hatari kwao, jamii na taifa kwa ujumla.
Hivyo ni lazima kuhakiki kila taarifa kabla ya kuisambaza.
#PleaseVERIFY

Program ya kuwajengea uwezo wa kutambua taarifa potofu katika jamii #LSP2024 wanafunzi wa kituo cha tution cha Sanje Academy.
Wanafunzi walipata kufahamu nini kinasababisha taarifa potofu na madhara yake katika jamii.#PleaseVERIFY

LIKIZO SUMMIT PROGRAM #LSP2024 ni progam inayolenga kuwajengea uwezo wanafunzi ili kutambua taarifa potofu online na offline.
Kuelekea siku hiyo kutakuwa na mdahalo kati ya wanafunzi ndani ya tution centers na hii ndio MADA.
#PleaseVERIFY

“Intellectual Dark Web”
Jordan Peterson, Joe Rogan, Ben Shapiro
Zionist’s…
Rothschild created Israel…
#DarkWeb #IsaacKappy #JordanPeterson #BenShapiro #Zionism #Zionist
@bill_slawski @dsottimano psst.. @premiumbusiness... this is indeed Bill Slawski - he is a pillar of the SEO industry, just ask @dannysullivan @JohnMu @methode #PleaseVerify
@opensea When can we get @CowgirlsNFT #Verified ??? I don’t understand your process anymore. Doesn’t match you written policy… #pleaseverify
@AngryBoarAlin @opensea @angryboars Yes, come on @opensea! It can't be that difficult. The @angryboars team is so hard working, always coming up with new stuff, approachable and trustworthy. IT IS LEGIT!
#NFTcomunity #OpenSeaNFT #NFT #NFTs #PLEASEVERIFY

@opensea - please reconsider verification for @thepxlportraits! They have been in the space for quite some time and are great for the community! Commissioning and collaborating with them on a piece (my current avatar) was a wonderful experience. #PleaseVerify
kinda crazy @opensea won't even consider verifying us because all our volume is on primary (on our contract) and the pixelfam are all diamondhands! 🙈
@MajorPatriot Math: Registered voters in US: 213,799,467; 67% of registered voters voted: 143,245,643; Biden Votes: 81.009.468; Trump Votes: 74,111,419; Total Votes: 155,120,887; Diff between Reg and Voted: +11,875,244 Voted, or 5.6% #PleaseVerify
Last Seen Hashtags on Sotwe
xlii or #exny or #momson or #nolimit() +filter:native_video
محلي_جزائري
Seen from Algeria
男高
Seen from United States
teen
Seen from Germany
แอบถ่ายในห้องน้ํา
Seen from Thailand
รับงานราม2
Seen from Thailand
omegle
Seen from Turkey
son
Seen from Netherlands
tantehot
Seen from United States
bulge gay() filter:videos
Seen from Germany
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
240.9M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.2M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
111.4M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107M followers

Rihanna 
@rihanna
97.9M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.1M followers

KATY PERRY 
@katyperry
88.1M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
82M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
73.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
70.6M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Bill Gates 
@billgates
64.1M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
63.4M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

CNN 
@cnn
61.9M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
61.2M followers

X 
@x
60.8M followers































