Top Tweets for #ripcaptain
என்றும் உங்கள் நினைவுகள்
#Captain #Vijayakanth Sir 2nd Year Death Anniversary
#RIPVijayakanth #RIPCaptain #DMDK #RIPCaptainVijayakanth

This guy actually knew too much! It's very possible he was murdered.
#RIPCAPTAIN
Adani agrifresh wataanza kutuuzia sukuma wiki na nyanya lini kwa masoko yetu?

We then proceeded to Opoda Farm to visit the Odinga family. Standing in solidarity with Canon Mama Ida Odinga in remembrance of Baba - a man whose life of courage was devoted to justice, sacrifice, and service to our nation. #RIPCAPTAIN

என்றும் உங்கள் நினைவுகள்
#Captain #Vijayakanth
#RIPVijayakanth
#RIPCaptain #DMDK
#RIPCaptainVijayakanth

Moment of Silence (Ukimya wa Muda Mfupi) kuwakumbuka wanahabari wenzetu waliotangulia mbele za haki GADNER G HABASH & ZUCH ZUCHERO.
Zoezi liliendeshwa na @Salym kwenye usiku wa Chalinze Waukae usiku wa kuamkia leo. #ripcaptain #ripzuchy
மறைந்த கேப்டன் விஜயகாந்திற்கு மே 9ம் தேதி பத்ம பூஷன் விருது டெல்லி குடியரசு தலைவர் மாளிகையில் வழங்கப்பட உள்ளதாக தகவல்...
#Captain #Vijayakanth #ripcaptain #PatmaBhooshan #Remembering #CaptainVijayakanth #Jayatv

“Wingi huu wa watu (Gadner) angeuona kwa macho angemshukuru Mola wake na angepata nguvu,
- Siku nyingine tupeane taarifa mapema mwenzetu anapokuwa kwenye hali ihitajiyo msaada ili tutoe michango kuokoa uhai wake”
- Albert Chalamila, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam
#RIPCaptain
“Mungu ameanza kugusa generation ya miaka ya 70, TUJIANDAE! na namna pekee ya kujiandaa ni usimalize siku bila mtu kukwambia ASANTE,
- Clouds FM mmepoteza JIWE, mimi naamini Gadner bado anaishi”
- Mhe. @Kasesela Mwakilishi Chama Cha Mapinduzi (CCM) #RIPCaptain
“Tunapoishi duniani tuwe baraka kwa wengine, Gadner, maisha yake yote yamekua ni baraka kwa wengine”
- @MsigwaGerson Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo na Mwana Habari. #RIPCaptain
“Huwezi zungumzia tasnia ya habari nchini bila kumtaja Gadner, Gadner alikua mvumbuzi kwenye kutoa habari, alikua anatoa edutainment kwenye kipindi chao, habari ngumu zilikua zinaburudisha kwenye Jahazi”
- Bakari Mwapachu (Mwakilishi Mwananchi Communications
#RIPCaptain
“Asilimia 90 ya matangazo ya DSTV amefanya Gadner, sisi DSTV tumepoteza mtu muhimu sana, pole kwa familia na Clouds Media”
- Baraka Shelukindo (Mwakilishi DSTV)
#RIPCaptain
“Gadner alikua mtangazaji aliyekamilika, Sauti yake ilikua ni sauti ya biashara, ndio maana alitumika kwenye matangazo mengi.
Akikaa nyuma ya mic 🎤 unajua kabisa huyu ni mtangazaji anazungumza”
- Deogratius Rweyunga (Mwakilishi IPP Media)
#RIPCaptain
“Sisi Times tutamkumbuka siku zote Gadner G Habash, alifanya kazi kwa miaka miwili na nusu Times FM kisha akaondoka,
- Aliondoka kwa vizuri na hata alipoondoka tuliendelea kuazungumza”
- Rehure Nyaulawa (MD, Times FM)
#RIPCaptain
Last Seen Hashtags on Sotwe
bnwoiran
Seen from Malaysia
CHARTOLOGY
UdacityIntersect
Seen from United States
Callingsarasara
Seen from United States
lilith
Seen from United States
lovetrumpsWins
Seen from United States
bait files
Seen from Germany
geology
Seen from United States
omeglehot
Seen from Turkey
BubbilooBoutique
Seen from United States
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.1M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.1M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
112.3M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.1M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.3M followers

KATY PERRY 
@katyperry
88.6M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
82.5M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
74M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
71.4M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.3M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Bill Gates 
@billgates
64.4M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
64.3M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
61.7M followers

X 
@x
60.8M followers

















