Top Tweets for #stepup2026
Airtel Kila Kona imefika Nane Nane - Dodoma ๐
Usikose fursa ya kujiunga na ulimwengu wa kidijitali karibu nawe. Pakua My Airtel App leo, fanya miamala, zungusha gurudumu na shinda papo hapo!
Karibu tukuhudumieโฆ
#AirtelTanzania #NaneNane2026 #AirtelKilaKona #StepUp2026/27

Kutoka Mtwara (Chungu), hadi Geita (Nyaruyeye), kutoka Dodoma (Zoissa & Kondoa) hadi Tanga (Pangani), tunaendelea kuimarisha mawasiliano na kuongeza ujumuishi wa kidijitali nchini.
Tunaunganisha Tanzania, kona hadi kona!
#AirtelTanzania #StepUp2026/27 #AirtelKilaKona

Airtel Tanzania imeungana na wanafunzi wa Shule ya Msingi Kiromo โ Bagamoyo kuadhimisha Siku ya Mazingira Duniani kwa kupanda miti ya matunda na kuacha alama ya kijani kwa manufaa ya vizazi vya leo na kesho.
#AirtelMoney #AirtelKilaKona #StepUp2026/27

Huhitaji kula bata kwa stress wakati sisi tupo...
Lipa Namba ya Airtel Money imefika hadi batani.
Sasa unaweza fanya malipo ya bili za batani kupitia Lipa kwa Simu na Airtel Money.
Kitambaa Cheupe washajiunga rasmi! Lipa bili kidigitali.
#AirtelMoney #LipaKwaSimu #StepUp2026/27

Mwanza ehhโฆ.kona yenu hii hapa!
Airtel Tanzania tumefungua duka jipya jijini Mwanza ikiwa ni sehemu ya ahadi yetu ya kuwafikia Watanzania #AirtelKilaKona.
#AirtelTanzania #StepUp2026/27 #AirtelKilaKona

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Mhe. Charles Makongoro Nyerere ametembelea ofisi za Airtel Tanzania na kukutana na Mkurugenzi Mtendaji Airtel Tanzania, Bw. Charles Kamoto, katika ziara iliyolenga kuimarisha ushirikiano kati ya sekta binafsi na Serikali.
#AirtelTanzania #StepUp2026/27

Mkurugenzi wa Airtel Tanzania amekutana na wataalamu wa teknolojia kutoka Huawei kujadili namna ya kupanua zaidi huduma za mawasiliano kupitia maboresho makubwa ya miundombinu ya teknolojia nchini.
Airtel Kila Kona!
#AirtelTanzania #StepUp2026/27 #AirtelKilaKona

Shangwe la ushindi limetanda Wilaya ya Hai kupitia Airtel Tanzania na Airtel Money.
Mwalimu Geofrey Pascal kukabidhiwa rasmi zawadi ya Mazda CX-5, akiwa ameambatana na walimu wenzake, ishara ya mshikamano na pongezi za dhati kutoka kwa jamii yake.
#AirtelTanzania #StepUp2026/27
Msikilize Mwl. Geofrey Pascal Paul akielezea matarajio yake kabla ya ushindi, pamoja na furaha aliyopata baada ya kuibuka mshindi wa gari aina ya Mazda CX-5.
#AirtelTanzania #StepUp2026/27
Shangwe na nderemo zilitawala katika Shule ya Sekondari Hai, Kilimanjaro wakati wa mapokezi ya kipekee ya Mwalimu Geofrey Pascal Paul.
Mshindi wa gari aina ya Mazda CX-5 kupitia kampeni yetu ya โMwaka Umenyooka na My Airtel Money Appโ
#AirtelTanzania #StepUp2026/27
Tunajivunia kuwa sehemu ya kubadilisha maisha ya wateja wetu kila siku. Kampeni yetu ya โMwaka Umenyooka na My Airtel Money App.โ ilifanikiwa kufika wilaya ya Hai na kumzawadia Mwl. Geofrey Pascal Paul gari aina ya Mazda CX-5.
#AirtelTanzania #StepUP2026/27

Airtel Tanzania tumefanya kikao cha utekelezaji wa mipango ya kimkakati ya 2026/2027, kinachoadhimia kuweka bayana mipango inayolenga kuimarisha teknolojia na kuboresha utoaji wa huduma bora kwa wateja wetu kikiwa na kauli mbiu ya Step Up.
#AirtelTanzania #StepUp2026/27

Thinking of applying for #stepup2026? Take a look!
Learn more about the programme through this year's participants & team
https://t.co/4sBeCZkQxK
๐๐ฒ๐ฎ๐ฑ๐น๐ถ๐ป๐ฒ ๐ณ๐ผ๐ฟ ๐ฎ๐ฝ๐ฝ๐น๐ถ๐ฐ๐ฎ๐๐ถ๐ผ๐ป๐ | ๐ง๐ต๐๐ฟ๐๐ฑ๐ฎ๐ ๐ฎ๐ฌ ๐ก๐ผ๐, ๐ฑ ๐ฝ๐บ ๐๐ฆ๐ง
https://t.co/GDP9t5bprr
Last Seen Hashtags on Sotwe
zanimm_
Seen from Thailand
ๆจ็นๅไธป
Seen from Egypt
MGAI()************************** filter:videos
backshots
Seen from Turkey
ensest
Seen from Turkey
ูุจู_ุนุจุฏุงูุฑุญู
ู
Seen from Israel
ๆๅ
Seen from Japan
ุฏููุช_ุจุฏููููู
Seen from Pakistan
ู
ูุงูู_ุจุบุฏุงุฏ
ahegao
Seen from Turkey
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
240.6M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.7M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.5M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.9M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.4M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.8M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.4M followers

Bill Gates 
@billgates
65.2M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.1M followers

CNN 
@cnn
61.7M followers

X 
@x
60.6M followers



























