Top Tweets for #taarifa
#TAARIFA.
Katibu wa CHADEMA Jimbo la Mbeya Vijijini Kamanda Rubela alikamatwa jana yupo kituo Cha Polisi Mbalizi.
Miongoni mwa mambo anayohojiwa ni Pamoja na Kuhusu Maandamano" itakumbuka Rubela ni Mwenyeji wa Kata ya Inyala Jimbo la Mbeya Vijijini Mkoani Mbeya.
#TAARIFA KUTOKA ZELLO CHANNELโผ๏ธ
Polisi wamesema hawagusi mtu na Abduli anatucheka anasema watanzania ni waoga
Arusha pia watu watoke!
#MO29 #OktobaTunatoka
#TAARIFA
Makamu Mwekiti Msitaafu Kanda ya Nyasa Kamanda @JosepMwasote( China wa China) Amekamatwa mchana wa leo majira ya saa 9 Alasiri maeneo ya Mpemba jimbo la Tunduma.

#TAARIFA MTOTO huyu anaitwa AIDAN anakaa Chatembo amepotea tokea tarehe 26.09.2025, eneo la Magereji amevaa tisheti nyeupe na yeboyebo. Ukimuona toa taarifa kupitia katika Kituo chochote cha Polisi, Ofisi yoyote ya Serikali ya Mtaa au NAMBA hii 0653527783

#TAARIFA
Kupatikana kwa PADRI aliyedai kutekwa

#TAARIFA
UFAFANUZI WA TAARIFA MJONGEO INAYOSAMBAA KWENYE MITANDAO YA KIJAMII KUHUSU MADAI YA KUUWAWA KWA MTOTO WA DARASA LA TATU MKOANI MBEYA

๐ด #TAARIFA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Mpango amewasili Jijini Addis Ababa nchini Ethiopia, jana tarehe 07 Septemba 2025 kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. @SuluhuSamia katika Mkutano wa Pili wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Nchi za Afrika kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi.
๐ | O/Makamu wa Rais

#TAARIFA, kwa imani yangu na kwa tamaduni za mila yangu ya ki-Maasai, nimechunguza na kutafiti juu ya kesi ya mh @TunduALissu ambapo nimebaini kinachoendelea ni uhuni na uonevu hivyo nachukua hatua ya kupasua CHUNGU, kwa yeyote aliyeratibu na anayefaham juu ya uhuni huu itamkuta.

#Taarifa ya Ufafanuzi #kuhusu uzushi kwamba kampuni ya usafirishaji ya majini ya #saudia๐ธ๐ฆ (BAHRI) inapeleka shehena ya silaha israel๐ฎ๐ฑ๐๐ฆ
>> taarifa hizo za uzushi zimeenezwa na website moja ya kishia kwa jina la #DROPSITE
๐ซดambayo moja wa wamiliki wake na waandishi wake ni MSHIA KWA JINA LA #MURTAZA HUSSEIN
๐น๏ธni kawaida kwa mashia kuzusha urongo dhidi ya #saudia๐ธ๐ฆ na masunni kama ambavyo wamekua wakifanya dhidi ya maswahaba
MAELEZO YA KAMPUNI (BAHRI)
Kufuatia yale yaliyosambazwa kwenye baadhi ya vyombo vya habari na mitandao ya kijamii kuhusu madai ya kusafirisha shehena kuelekea Israel, Kampuni ya Usafirishaji wa Baharini ya Saudi Arabia "Bahri" inathibitisha kwa uwazi kuwa madai haya hayana ukweli wowote na hayana msingi kabisa.
Kampuni inabainisha kwamba inajitolea kikamilifu kufuata sera thabiti za Ufalme wa Saudi Arabia kuhusu suala la Palestina, pamoja na kufuata sheria na kanuni zote za ndani na kimataifa zinazodhibiti shughuli za usafirishaji baharini, na haijawahi kusafirisha bidhaa au shehena yoyote kwenda Israel, kwa namna yoyote ile, katika nyakati zote.
Aidha, "Bahri" inathibitisha kuwa shughuli zake zote za kibiashara zinakaguliwa kwa ukali na kupitia taratibu madhubuti za uhakiki ili kuhakikisha kufuata kikamilifu kanuni husika. Kampuni pia itachukua hatua za kisheria dhidi ya madai ya uongo yanayolenga kuchafua sifa yake au kudhuru sera na mwelekeo wake.
Kampuni inatoa wito kwa vyombo vya habari kuhakikisha usahihi wa habari na kuchukua taarifa kutoka vyanzo rasmi.
mwisho wa taarifa yao;
MASHIA NA MASUFY ACHENI UZUSHI NA PROPAGANDA ZA KIZAYUNI ๐ฎ๐ฑ
๐น๏ธWAONGO HAWAFAULU HATA SIKU MOJA
๐ซดeti mtu anazusha kwamba meli ya saudia yakamatwa italia ikipeleka silaha israel๐ฎ๐ฑ๐ ...yaani badala wapeleke silaha moja kwa moja israel ambako ni karibu ..eti wakapitishie italia maili elfu
@BinKombo3
@IsaRouhan13797 @khilafah8 @Matallahkhamis @BlackWolfBeast @Rahim_Meghji

#Taarifa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imepokea barua kutoka katika vyama vya siasa 14 vikieleza tarehe na muda ambao wanachama wao waliopendekezwa kugombea nafasi ya Urais na Umakamu wa Rais watafika kuchukua fomu za uteuzi katika ofisi za Tume zilizopo eneo la Njedengwa, Dodoma.
๐ Ratiba ya Utoaji wa Fomu:
๐
09 Agosti, 2025
CCM โ Saa 11:00 Asubuhi
NRA โ Saa 8:00 Mchana
AAFP โ Saa 10:00 Jioni
๐
10 Agosti, 2025
4. MAKINI โ Saa 3:00 Asubuhi
5. NLD โ Saa 6:00 Mchana
6. UPDP โ Saa 9:00 Jioni
๐
11 Agosti, 2025
7. ADAโTADEA โ Saa 3:00 Asubuhi
8. UMD โ Saa 6:00 Mchana
9. TLP โ Saa 9:00 Jioni
๐
12 Agosti, 2025
10. CCK โ Saa 3:00 Asubuhi
11. CHAUMMA โ Saa 6:00 Mchana
12. ADC โ Saa 9:00 Jioni
๐ณ๏ธ Vyama vingine vilivyowasilisha taarifa lakini bado havijapangiwa tarehe ni:
13. Democratic Party (DP)
14. NCCR โ Mageuzi
๐ Zoezi la utoaji wa fomu litaendelea hadi tarehe 27 Agosti, 2025.
๐ Mahali: Ofisi za NEC โ Njedengwa, Dodoma.
Tembelea https://t.co/kwAYTrP3RO kusoma gazeti lako au wasiliana nasi ๐+255 745 -700 710 au 0677- 020 701 kwa maelezo zaidi.
#NipasheDigital #NipasheMwangaWaJamii #miaka30yakupashahabari
#NEC #Uchaguzi2025 #TumeYaUchaguzi #TanzaniaDecides #Urais2025 #FomuZaUteuzi

#TAARIFA KWA UMMA Nchi hii inaongozwa na Watu waliokatwa VICHWA...
Nchi hii Masikini ndio Wanaobebeshwa Mizigo mikuubwa ya KODI huku Matajiri wakila Kuku kwa Mrija..
Serikali ya Samia kuanzia AUGUST 1 itashughulika na Wafanya Biashara wa Mtandoni Wasio lipa KODI.
Uwe-unauza...
#Taarifa za Kutoweka kwa Mwenyekiti wa Bazecha Jimbo la Babati Vijijini na aliye kuwa Diwani wa kata ya Endakiso Jimbo la Babati Vijijini Tarehe 16/07/2025 Eneo la Shekilango Alipoenda kupanda Bus La Abood Baada ya kutoka Mahakamani kwenye kesi ya Mh. Tundu lissu.
#Taarifa
Jeshi la Polisi linamshikilia Leonard Magere kutokana na tuhuma za jinai zinazomkabili

#TAARIFA
Jeshi la Polisi latoa ufafanuzi kuhusu madai ya Katibu Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo

#TAARIFA
Jeshi la Polisi latoa ufafanuzi kuhusu madai ya Katibu Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo

Last Seen Hashtags on Sotwe
minichat filter:videos
Seen from United States
ุฏููุชู_ุจุฏูู
Seen from United States
bleached pmv
Seen from United States
ใใฃใผใในใญใผใ
Seen from Australia
ๅ้
Seen from United States
randomchat
Seen from United States
ุฃูุชุญุฑ
Seen from Germany
BigWhiteCock
Seen from Saudi Arabia
flash() mom() *filter:native_video
Seen from Netherlands
NationalSunflowerDay
Seen from United States
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
240.9M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.7M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.5M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.9M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.4M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.8M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.4M followers

Bill Gates 
@billgates
65.2M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.7M followers

X 
@x
60.6M followers






















