Top Tweets for #teic2018
Are you a bedsheet retailer? Do you invest in bedsheets?
Call now- 08099975652
.
#bedsheets #business#reselling #retailer #investment##naijabranchick #eventplanner #hustlersquare#amvca2018 #nbctreadefair2018 #teic2018 #merrymen #kingofboys # #triciabiz #lagos#nigeria#abuja#nija

Nchi zilizoendelea na kupiga hatua, ni mafanikio ya pamoja kati ya serikali na Asasi za kiraia "Mh. Medard Kalemani
@HakiRasilimali @HakiMadini2012 @policy_F
#JukwaaLaUziduaji
#TEIC2018
#WikiYaAzaki2018

Matukio mbalimbali ya #WikiYaAzaki2018 katika kuhitimisha #JukwaaLaUziduaji katika Ukumbi wa African Dream hoteli Dodoma.
@HakiRasilimali @HakiMadini2012
#JukwaaLaUziduaji
#TEIC2018
#WikiYaAzaki2018

Mheshimiwa Waziri wa Nishati, Mh Menard Kalemani alipotembelea banda la @HakiRasilimali katika kujionea Kazi mbalimbali zinazofanywa na Azaki hii. Pembeni ni mkurugenzi Mtendaji wa @HakiRasilimali Dada, Racheal Chagonja
#JukwaaLaUziduaji
#TEIC2018
#WikiYaAzaki2018

Mkutano wa wadau katika sekta ya uziduaji wakipitia mswaada wa Sheria wa nchi washiriki wa Afrika mashariki unaolenga kuongeza Ushirikiano baina ya nchi za Afrika Mashariki" @HakiRasilimali @HakiMadini2012
#JukwaaLaUziduaji
#TEIC2018
#WikiYaAzaki2018
The bill also provides a transparent and accountable mechanism for the reporting of mining and mineral related activities in the community
@HakiRasilimali @HakiMadini2012 @African_Media @OxfamEAfrica
#JukwaaLaUziduaji
#TEIC2018
#WikiYaAzaki2018

Adv Dunford Mpelumbe from (EAC Affairs committee) sharing the role of community participation on the extractive industries" @HakiRasilimali @HakiMadini2012 @African_Media @OxfamEAfrica
#JukwaaLaUziduaji
#TEIC2018 @HakiRasilimali
Kama TPDC tuko tayari kufanya Kazi na nchi washirika kuelekea ujengwaji wa BOMBA LA Mafuta kutoka Uganda mpaka Tanzania" Safiel Msovu
@HakiRasilimali @HakiMadini2012
#JukwaaLaUziduaji
#TEIC2018
#WikiYaAzaki2018

Geo politics of the sector
Oil and gas
Mining
To access the progress of the regional projects vs potential socio - economic impacts
@HakiRasilimali @HakiMadini2012
#JukwaaLaUziduaji
#WikiYaAzaki2018
#TEIC2018

Watendaji wa @HakiRasilimali wakifuatilia mawasilisho mbalimbali ya wadau katika #JukwaaLaUziduaji
#WikiYaAzaki2018
#TEIC2018

Ndugu @zittokabwe anashauri juu ya serikali kuwekeza katika elimu ya madini, gesi na mafuta. Lazima tupate wataalamu wa maswala haya ili wawekezaji wasiweze kutuibia kama ilivyozoeleweka " @HakiRasilimali @HakiMadini2012
#JukwaaLaUziduaji
#TEIC2018
#WikiYaAzaki2018

Kwanini Mikataba ya madini haiko wazi na ni ngumu kwa wananchi kuipata?
@HakiRasilimali @HakiMadini2012 @policy_F
#JukwaaLaUziduaji
#TEIC2018
#WikiYaAzaki2018

Je ni mikakati ipi katika kupunguza matarajio ya wananchi baada ya sekta ya madini kutofikia mategemeo ya wananchi "Mdau
@policy_F @HakiRasilimali
#JukwaaLaUziduaji
#TEIC2018
#WikiYaAzaki2018

Ili uweze kuwa na mapato imara, lazima tuangalie namna ya kuwasomesha wataalam katika sekta hii ya uziduaji ili kupambana na Hawa wawekezaji ambao kwa lugha nyingine naweza kusema ni Ukoloni maomboleo " Dr. Kafumu
@HakiRasilimali @HakiMadini2012
#JukwaaLaUziduaji
#TEIC2018

Sheria nyingi zimetungwa kwa mwaka Jana na mwaka juzi kwenye sekta ya uziduaji , tulipenda ushiriki wa Asasi za kiraia katika kuleta mapendekezo yenu "Dr. Kafumu
@HakiRasilimali @HakiMadini2012
#JukwaaLaUziduaji
#TEIC2018
#WikiYaAzaki2018

Unapozungumzia Extractive Revenue, lazima uangalie base kubwa ya kupata mapato katika wawekezaji wa ndani na wa nje. Pia ni lazima tuhakikishe Mazingira Mazuri ya uwekezaji " Dr. Kafumu
@HakiRasilimali @HakiMadini2012
#JukwaaLaUziduaji
#TEIC2018
#WikiYaAzaki2018

Stakeholders participation in revenue management and in the reduction of illicit Financial flows
Panelist
1:Silas Olang (NRGI)
2:@zittokabwe
3:Albert Mkinga (TRA)
@HakiRasilimali @HakiMadini2012 @African_Media @OxfamEAfrica
#JukwaaLaUziduaji
#TEIC2018
#WikiYaAzaki2018

Ni wakati gani ambao tutaweza kuangalia mikataba hii ya madini, gesi na mafuta, Hili ni swali nalileta kwenu ndugu zangu " @williamngeleja
@HakiRasilimali @HakiMadini2012 @policy_F
#JukwaaLaUziduaji
#TEIC2018
#WikiYaAzaki2018

Last Seen Hashtags on Sotwe
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
240.9M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.8M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.5M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.9M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.4M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.8M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.4M followers

Bill Gates 
@billgates
65.2M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.7M followers

X 
@x
60.6M followers















