Top Tweets for #tumerudirasmi
Shirikisho la mpira wa miguu barani Africa CAF ,limethibitisha rasmi kuwa Lionel Andres Messi atakuwa mgeni mwalikwa katika hafla maalumu ya ugawaji tuzo za wachezaji waliofanya vizuri ndani na nje ya Bara la Africa leo December 11.
#tumerudirasmi #kidosportsupdates #cafonline

"Nilikuwa mshambuliaji hatari pale Al Nassr lakini walinifukuza na kumsajili Cristiano Ronaldo bila sababu, Al Nassr hawatashinda taji la Ligi kwa miaka 10 ijayo"
Vincent Aboubakar
#tumerudirasmi
#kidosportsupdates

FULL TIME #nbcpremierleague
TANZANIA PRISONS 1️-0️ DODOMA JIJI FC
⚽️ 77" Elfadhili (p)
#tumerudirasmi #kidosportsupdates #sisinisoka #njookwetu

FULL- TIME #NBCPremierLeague
JKT TANZANIA 1-1 IHEFU FC
14’⚽️ Said Ndemla
16’⚽️ Ismail Mgunda
#tumerudirasmi #kidosportsupdates #SisiNiPipo #sisinisoka #njookwetu #LigiKuu

MTU KABISHIWA MTAANI KWAKE
FULL TIME : CAFCL
SIMBA SC 🇹🇿 1️-1️ ASEC MIMOSAS 🇨🇮
⚽️ 44" Saido (p) ⚽️ 77" Pokou
#tumerudirasmi #kidosportsupdates #simbasctanzania #nguvumoja✊🏽

TAARIFA KWA UMMA kutoka msimbazi
#tumerudirasmi #kidosportsupdates #simbasctanzania #WenyeNchi #NguvuMoja

Mamelodi Ladies, Mamelodi leo wametwaa ubingwa wa Ligi ya Mabingwa Afrika kwa upande wa wanawake.
Full-time
Mamelodi Sundowns (W) 3-0 Sporting Club Casablanca (W)
#tumerudirasmi #kidosportsupdates #masandawana #CAFWCL #CAFWomenChampionsLeague #
@SundownsLadies

FULL TIME : Ligue 1
REIMS 0️-3️PARIS SAINT GERMAINY
⚽️ 1" Mbappe
⚽️ 59" Mbappe
⚽️ 82" Mbappe
#tumerudirasmi #kidosportsupdates

MAYELE YUPO MOTO
FULL-TIME #egyptcup
ZAMALEK 1-1 PYRAMIDS
90+2’⚽️ Nabil Donga
05’⚽️ Fiston Mayele
78 🔴Ahmed Tawfk
Mchezo umeenda dakika 30
#tumerudirasmi #kidosportsupdates #EgyptCup

Vikosi vinavyoanza Coastal Union na @yangasc kwenye mchezo wa #nbcpremierleague
#tumerudirasmi
#kidosportsupdates #timuyawananchi
#daimambelenyumamwiko

MNAMUHESABIA LAKINI
FULL TIME : #nbcpremierleague
IHEFU FC 1️➖️3️ AZAM FC
⚽️ 90+2" Kibaya ⚽️ 36" Feisal
⚽️ 46" Bajana
⚽️ 48" Bajana
#tumerudirasmi #kidosportsupdates

JIONI SANA
FULL TIME : #premierleague
FULHAM 0️➖️1️ MANCHESTER UNITED
⚽️ 90+1" Fernández
#tumerudirasmi #kidosportsupdates

#AFLUpdates:
Vikosi vinavyoanza Al Ahly na Simba sc kwenye mchezo wa mkondo wa pili wa African Footbal League (AFL).
#tumerudirasmi
#kidosportsupdates #AFL #AfricanFootballLeague #SimbaSC #FIFA #CAF #AFLCup #AlAhlySC #SimbaSC #AlAhlySimba

FULL TIME #laliga
SEVILLLA 1️���➖️1️⃣ REAL MADRID
⚽️ 74" Alaba
⚽️ 78" Calvajal
#tumerudirasmi #kidosportsupdates

Kikosi cha @simbasctanzania kinaondoka leo Oktoba 21 kwenda mjini Cairo nchini Misri tayari kwa mchezo wa marudiano wa African Football League dhidi ya Al Ahly utakaochezwa Oktoba 24, 2023.
#tumerudirasmi #kidosportsupdates #simbasctanzania #nguvumoja✊🏽

JOGOO YUPO JUU YA MEZA
FULL TIME : 𝐄𝐏𝐋
LIVERPOOL 2️⃣➖️0️⃣ EVERTON
⚽️ 75" salah (p)
⚽️ 90+7" Salah
#tumerudirasmi #kidosportsupdates #premierleague #liverpool

MMEMUONA MZEE WENGER
Rais wa Shirikisho la Soka barani Afrika (CAF) Patrice Motsepe amelitambulisha rasmi Kombe ambalo atakabidhiwa Bingwa wa michuano ya African Football League (AFL).
#tumerudirasmi #kidosportsupdates #simbasctanzania #nguvumoja✊🏽 #AFL #WenyeNchi #NguvuMoja

NGOMA JUMATATU
Mechi kati ya Yanga SC na Azam FC itachezwa tarehe 23 mwezi huu kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa.
#tumerudirasmi #kidosportsupdates #NBCPremierLeague #yangasc #daimambelenyumamwiko #timuyawananchi #azamfc #timuborabidhaabora

FULL-TIME| #MechiYaKirafiki
Sudan 1-1 Tanzania
(Mussab Ahmed 7’ ⚽
Sospeter Bajana 40’)⚽
#tumerudirasmi #kidosportsupdates #MechiYaKirafiki #FriendlyMatch #TaifaStars #Sudan #InternationalFriendly #SudanTanzania #StarsSaudiArabia

Klabu ya Tz prisons sc imekamilisha usajili wa Mchezaji Salum Kihimbwa (25) kutoka Mbeya City kwa Mkataba wa Mwaka Mmoja.
#tumerudirasmi #kidosportsupdates #kivumbisokalanyumbani

Last Seen Hashtags on Sotwe
loveorsomethinglikeit
Seen from United States
ComunidadEscuela
Seen from United States
senatorwilson
Seen from United States
türk sakso
Seen from Turkey
airportdick
Seen from Germany
unexpected #caughtoncamera
Unexpectedd
QoSbrand
Seen from Belgium
brosis
Seen from Canada
mom masturbation
Seen from United Kingdom
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
240.8M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.7M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.5M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.9M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.4M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.8M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.4M followers

Bill Gates 
@billgates
65.2M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.7M followers

X 
@x
60.6M followers







