Top Tweets for #urongo
KISA MAARUFU CHA #URONGO KWAMBA ABULAHABI ATAPUNGUZIWA ADHABU MOTONI KISA "#MAULIDI"📚💦
>>masufy kuweni na adabu na Moto wa Allah
🫴Kwamba eti abu lahaby alipopata taarifa ya kuzaliwa mtume muhammad basi alimwachia mtumwa wake huru kwa furaha
🔹️kwahiyo kwa ajili hiyo basi atapunguziwa adhabu ya moto kila siku ya #jumatatu na kupewa kinywaji kwa sababu ya kutukuza mazazi ya mtume
KISA CHENYEWE NI CHA URONGO MAANA KIMESIMULIWA NA "#KAAFIRI"
PILI; kama alifurahi basi alifurahia kaka yake aliyekosa watoto kwa mda mrefu kupata mtoto na sio kwamba alifurahia kwa ajili ya #dini
🫴maana alikua ndio adui namba moja wa mtume na uislamu wakati dini inaenezwa
🔹️SASA TUJAALIE KWAMBA KITENDO CHAKE HIKO NI "KIZURI" KAMA WANAVYODAI
JE, KAFIRI ATANUFAIKA KWA #MATENDO YAKE MEMA⁉️
Allah keshasema MATENDO MEMA YA KAFIRI HAYANUFAISHI KITU
Sūrat al-Furqān 25:23
> وَقَدِمْنَا إِلَىٰ مَا عَمِلُوا مِنْ عَمَلٍ فَجَعَلْنَاهُ هَبَاءً مَنْثُورًا
“Na tukayaendea yale waliyoyafanya ya vitendo, tukayafanya kuwa #mavumbi yaliyoenea.”
Sūrat at-Tawbah 9:69
> أُولَٰئِكَ حَبِطَتْ أَعْمَالُهُمْ فِي الدُّنْيَا وَالْآخِرَةِ ۖ وَأُولَٰئِكَ هُمُ الْخَاسِرُونَ
“Hao vitendo vyao #vimeharibika duniani na Akhera, na hao ndio wenye hasara.”
Sūrat az-Zumar 39:65
> لَئِنْ أَشْرَكْتَ لَيَحْبَطَنَّ عَمَلُكَ وَلَتَكُونَنَّ مِنَ الْخَاسِرِينَ
“#Ukishirikisha (Mwenyezi Mungu), hakika #vitendo vyako #vitabatilika, na bila shaka utakuwa miongoni mwa wenye hasara.”
🫴kisa hiki hakina usahihi katika elimu ya hadithi, bali ni simulizi dhaifu na baadhi yake limepokelewa kwa njia zisizo sahihi. Wataalamu wa hadithi wamebainisha kwamba:
Abū Lahab ametajwa wazi katika Qur’an (Sūrat al-Masad) kwamba ni miongoni mwa watu wa Motoni, na Qur’an inathibitisha kuwa hatapata kheri yoyote.
Simulizi la kupunguziwa adhabu ni miongoni mwa hadithi dhaifu na ngano zilizozushwa, na haziwezi kupingana na Qur’an wala na itikadi ya Kiislamu kwamba makafiri hawapati rehema wala msamaha.
Kwa hivyo, kisa hicho cha kumwachia huru Thuwayba kwa furaha ya kuzaliwa Mtume ﷺ ni urongo uliotungwa, si jambo sahihi katika Uislamu.
#MASUFY NA #MASHIA TETEENI BIDAA YENU YA MAULIDI KWA QURAAN NA SUNNA NA SALAF SWALEH NA SIO VISA VYA KUPITIA ABU LAHABY KAAFIR NA MTU WA MOTONI
@daudajerry53
@HabiibYahyaa @IsaRouhan13797 @khilafah8 @Matallahkhamis @BlackWolfBeast
its just a day away from the @PrinceKaybee_SA new song #urongo ... can't wait! #lowkeyrecords @CalxureMagZim @realnigelndlovu @TheVoiceknotPod @jeffchivheya @Awakhiwe19 @sakhemusic @Muroyi @TshisaMlilo @Dj_Stavo @Cosmo_byo
sure ... he never disappoints! ngiyakwazi lokho. aziwe my deejay #urongo @PrinceKaybee greetings from Bulawayo Zimbabwe https://t.co/SgFgQoMa44
So we decided to drop song and video same day. 31st January 2020 #Uwrongo
These back up dancers served leg for days!🙌🏽and don’t get me started on the performance 😭😭🙌🏽🙌🏽 #Urongo!

Yazi East London people are sleepin on very nice songs, @Malumzondecks #ShayiNumber and @Busiswa's #Urongo are heats qha caba umculo aniwazi #EastLondonMetroHeatwave
#BackToBasics #GetsGetsa20 on repeat ke tletse @CassperNyovest 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥Ka be ka gopola #Xpressions #Urongo
My selection today #Elukwatini stadium. #Mdlwembe by @RealZola7 #SisterBhetina by @RealMgarimbe #Urongo by @ntsikimazwai #Izinja by @Mapaputsi_Orig
😎🌴 #likeforlike #treehouse #urongo #life #iphone #instacool #instagood #iphonesia #latepost… https://t.co/GQ4ebxRrSr
#welcome #to #urongo #treehouse #tondano #like4like #followme #adventure #iphonesia #instapic… https://t.co/6lwAgg4gm1
beautiful nature, the work of God's amazing #treehouse #urongo #beautiful #views #tondano #lake… https://t.co/SnSQ5Knv1O
Now u know what I meant when I said 'Heroes are born in adversity.' #uRongo
Sorry hehehe eish end of feb m bk "@Zenzele_013: @ntsikimazwai ja it was amazing mara #Urongo to live without saying goodbye"
"@ALIST_GENEIOUS: @ntsikimazwai. . #Ndiyazifela nge Poetry yakho,Xhosa&ngesingesi.#YouDoAlot of Dj's justice. . . #URONGO." Smile
I agree with all scenarios in the new supa loaf ad, except when the lady gets into a PSV and accepts a sandwich from a stranger. #urongo!
Last Seen Hashtags on Sotwe
omegle
Seen from Turkey
益田アンナの成長日記
Seen from Japan
forzahorizon5
Seen from Brazil
nolimit filter:native_video
Seen from Turkey
Live bugil
Seen from Turkey
adanaeskortbayan
Seen from Turkey
ometv argentina
Seen from Indonesia
PassionGay
Seen from Canada
golddimes
Seen from United Kingdom
NoLimit
Seen from Turkey
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
240.3M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.3M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.6M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
109.9M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
106.9M followers

Rihanna 
@rihanna
97.5M followers

NASA 
@nasa
92.1M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
90.7M followers

KATY PERRY 
@katyperry
87.3M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
81.1M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
72.7M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
69.6M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
69.3M followers

YouTube 
@youtube
68.6M followers

Bill Gates 
@billgates
63.7M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.5M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
62M followers

CNN 
@cnn
61.9M followers

X 
@x
60.9M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
60.4M followers

















