Top Tweets for #utv108
CHAPA ZA LEO: Haya hapa mapitio ya magazeti leo kama yanavyosomwa na @GoodluckPaul14 kwenye #MorningTrumpet inayoendelea mbashara muda huu kupitia #UTV chaneli namba 108 #AzamTV
Mhariri: @abuuyusuftz
#UTV108 #MapitioYaMagazeti
Mapinduzi makubwa ya #Habari utayashuhudia kuanzia Jumatatu, Julai 15, 2024 Mbashara #UTV108 na #AzamTVSports1HD
Siku hiyohiyo utashuhudia uzinduzi wa vifaa vipya na vya kisasa kabisa vya kurusha matangazo ya televisheni pamoja na uzinduzi wa VAR kwa ajili ya msimu ujao wa SOKA.
#LindaRimoti #AzamNews #MshikeMshike #AzamTVXpose #GameOn
#AzamNews #MshikeMshike zitakuwa za tofauti.
Mapinduzi makubwa ya #Habari utayashuhudia kuanzia Jumatatu, Julai 15, 2024 Mbashara #UTV108 na #AzamTVSports1HD
Tumefanya maboresho makubwa ya #TaarifaYahabari na kipindi cha #MshikeMshike
#LindaRimoti #AzamNews #MshikeMshike

#HitsKitaani Je, unadhani ni 'noma' au 'fresh' kuishi na mwenye nyumba eneo moja, 'kipengele' au awepo tu 'sio kesi' π
#UTV108 #Kawe
Usikose kutazama kipindi cha #MorningTrumpet kesho Mei 7, 2024 ambapo tutakuwa na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Amos Makalla. Ungependa aulizwe jambo gani?
Kipindi kitakuwa Mbashara ndani ya #UTV kuanzia saa 1.15 asubuhi.
#MorningTrumpet #UTV108 #AzamTV

Kwenye #MorningTrumpet ya #UTV108 kesho Machi 18, 2024 tutakuwa na mahojiano na Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC), Gilead Teri.
Una maswali? au jambo lolote linakutatiza kuhusu uwekezaji nchini? usisite kuacha maoni yako hapa kwenye comment na yatamfikia na atatoa majibu.
Ni kesho, Machi 18, 2024 ndani ya #MorningTrumpet kuanzia saa 2.00 asubuhi.

Usipitwe na sehemu ya kwanza ya kipindi kipya na cha kwanza nchini chenye kukuletea yale unayotamani kuyafahamu kupitia #BAHARI na vilivyomo!
Ni leo kuanzia saa 1:00 usiku ndani ya #UTV108
Safiri, ukitafuta upepo wa miamba ya matumaini na vyumba vya maisha ya baharini. Karibu tuvumbue kwa pamoja mipango ya uhifadhi na umuhimu wa bahari.
Marudio ya kipindi hiki ni kila Alhamis saa 3:30 usiku na Jumapili saa 7:00 mchana, huku vipindi vipya vikiruka kila Jumatano saa 1:00 usiku.
#Tanzania #BahariTVShow #Zanzibar #nature #oceanlife #sealife
ππππππ ππππ πππ ππππππππ: Na leo @Wcbwasafi_ wamevunja rekodi yao tena baada ya kumruhusu D Voice kufanya mahojiano yake ya kwanza nje ya Wasafi kama ilivyokuwa kwa @officialzuchu mwaka 2020, #DVoice ameweka baraka zake kwenye #MorningTrumpet ya #UTV108 ndani ya #AzamTV
Hii ni mara ya pili baada ya Mtangazaji na Mwandaaji wa maudhui @abuuyusuftz kuvumbua jina #ZuchuDay mnamo mwaka 2020, wakati msanii Zuchu akitoka na kufanya ziara yake ya kwanza #AzamMedia, leo pia tumeibariki #DVoiceDay π₯
#AzamTVBurudaniKwaWote @diamondplatnumz
SALUNI YA MAMA KIMBO: Kwenye kioo chako tena kwa mara nyingine na safari hii, mzigo mzima utakuijia kupitia #UTV108 inayopatikana ndani ya kisimbuzi chako cha #AzamTV kuanzia Desemba 11 hadi 31 saa 3:00 usiku.
#SaluniYaMamaKimbo #UTV #AzamTV #IpoNawePopote #AzamTVBurudaniKwaWote
Mapitio ya #MagazetiLeo Oktoba 27, 2023 kwenye #MorningTrumpet ya #UTV108
#AzamTVUpdates #Magazetini
Mapitio ya #MagazetiLeo Oktoba 26, 2023 kwenye #MorningTrumpet ya #UTV108
#AzamTVUpdates #Magazetini
Unaweza kuusikiliza wimbo mpya wa @phina__tz 'Do Salale' kupitia mitandao mbalimbali ya muziki ikiwemo chaneli yake ya #YouTube
#AlasiriLounge #UTV108
Pengine hata wewe umekuwa ukijiuliza ni kwa namna gani #TikTok inawasaidia wasanii katika kuchagiza maendeleo ya kazi zao za sanaa...msikilize hapa hitmaker wa 'Do Salale' @Phina__tz akieleza namna wasanii wanavyofaidika na mtandao huo.
#AlasiriLounge #UTV108
Hitmaker wa 'Upo Nyonyo' @Phina__tz ameeleza namna changamoto wanazokutana nazo wasanii wa kike kwenye harakati za kutoka kimuziki nchini na pengine ni changamoto kote duniani.
#AlasiriLounge #UTV108
Unadhani ipi ni siri ya mafanikio ya mwanamuziki @Phina__tz ikiwa ana miaka miwili na nusu kwenye tasnia ya muziki wa #BongoFleva na tayari amefanya mambo makubwa.
#AlasiriLounge #UTV108
Ngoma Kali ya Wiki kwenye kona yetu ya burudani wiki hii inafunguliwa na #Joto kutoka msanii bora chipukizi kwenye tuzo za #TMA2022, #Official_Gachi
Unaweza kuitazama kupitia YouTube chaneli yake au kwa kutazama kipindi cha #Playlist cha #UTV108 @utvtz1 kwenye kisimbuzi chako cha #AzamTV, unaweza kuiomba kwenye vipindi vya burudani #Mtaa107 na #FlashlightFriday vya @ufmradiotz
#AzamTVBurudani #NewMusic #Joto #JotoChallenge #OfficialGachi
Usikose kutazama kipindi cha #Dibaji leo kuanzia saa 1:00 usiku kupitia #UTV108 kwenye kisimbuzi chako cha #AzamTV pekee.
Leo tumemuweka kati #Lolita mwenyewe si mnajua shughuli yake inaanza Jumatatu ijayo ndani ya #SinemaZetu ? Habari wanayo π₯
#AzamTVBurudaniKwaWote
Kuanzia saa 3:00 usiku Jumamosi utapata kujua yanayoendelea kwenye shindano la #Mahanjumati #MkaliWaJiko ikiwa ni msimu wake wa nne kupitia #UTV108 kwenye kisimbuzi chako cha #AzamTV pekee.
#MahanjumatiMkaliWaJiko
Usikose kutazama #Showcase kuanzia saa 11:00 jioni kupitia #UTV108 kwenye kisimbuzi chako cha #AzamTV, ambapo leo tutakuwa naye #TAWA #Kontawa mmoja kati ya watunzi na marapa bora kwenye 'game' ya Bongo Hip Hop.
Ungana nao IK The Host na Timothy Chelula bila kumsahau Meneja wa Kontawaa, Kinoge Zungu akiwa na stori kibaoooo!!!
#AzamTVBurudaniKwaWote
Last Seen Hashtags on Sotwe
sex mom
Seen from Indonesia
omegle
Seen from Malaysia
publicflashing
Seen from Qatar
gaybreeding
Seen from United Kingdom
ageplay #lxli
Seen from Netherlands
ιε ζ―η
Seen from Japan
TBLvsTOR
Seen from Vietnam
tekirdag
Seen from Turkey
realmomson
ΰΈΰΈ±ΰΈΰΉΰΈ’ΰΉΰΈΰΉΰΈΰΈ’ΰΉ
Seen from Thailand
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
240.6M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.3M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.7M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
110.4M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107M followers

Rihanna 
@rihanna
97.6M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
90.9M followers

KATY PERRY 
@katyperry
87.6M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
81.4M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
72.9M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
69.7M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
69.7M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Bill Gates 
@billgates
63.8M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.5M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
62.4M followers

CNN 
@cnn
61.9M followers

X 
@x
60.8M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
60.6M followers

