AFCON2023
Hatua ya 16 bora inaendelea leo, bingwa mtetezi Senegal kukipiga na waandaji wa fainali hizi Ivory Coast
Je, timu gani kuungana na Angola, Nigeria, Guinea na Congo katika robo fainali?
Kwa Shilingi 25,000 unatazama michezo hii mbashara kupitia #AzamSports3HD
Askofu wa Kanisa la kiinjili la kiluther Tanzania KKKT Dayosisi ya Morogoro Jacob Mameo amesema kuwa sababu kubwa ya watu wengi kutokuingia kwenye ndoa pamoja na kuvunjika kwa ndoa nyingi ni kukosekana kwa roho ya uvumilivu.
#utvupdates#utv108#ndoa#azamtvburudanikwawote
Hauna sababu ya kukosa kisimbuzi cha AzamTV kwani Dish bado jepesiii
Jipatia full set ya kisimbuzi cha dish kwa shilingi 99,000 na kisimbuzi bila dish kwa shilingi 55,000 huku ukilipia kifurushi cha shilingi 25,000 (Azam Plus)
Bei hii ni kwa Tanzania nzima.
#BurudaniKwaWote
AFCON2023
Mechi za mwisho hatua ya makundi kuendelea leo kwa michezo ya kundi C na D
Kwa kifurushi cha Shilingi 25,000 unatazama michuano hii ya AFCON
Mechi hizi zitaonekana kwa watazamaji waliopo Tanzania Pekee kwenye kisimbuzi na kupitia AzamTV MAX App.
#AFCON2023
Carabao Cup
Mechi ya kwanza Middlesbrough iliibuka na ushindi wa goli 1 - 0 Chelsea yupo nyumbani leo atapindua meza?
Liverpool alipata ushindi wa goli 2 - 1 Fulham watapindua matokeo?
Kwa kifurushi cha shilingi 25,000 unatazama michezo hii mbashara kupitia #AzamSports1HD
MapinduziCup 2024
Robo fainali Mapinduzi Cup kukamilika kuchezwa leo
Je, ni timu gani kuungana na Mlandege na APR katika hatua ya nusu fainali?
Kwa kifurushi cha Shilingi 25,000 unatazama michezo hii.
#SisiNiSoka#MapinduziCup2024#Azamtvsport
Siku Nne zimebakia michuano ya AFCON kuanza ni kupitia AzamTV utashuhudia mechi zote 52 zikiwa katika muonekano ang'avu (HD)
Burudani yote hii ni kwa kifurushi cha shilingi 25,000 kwa mwezi
Mechi hizi zitaruka Tanzania Pekee kwenye kisimbuzi na kupitia AzamTV MAX App
Rais Samia Suluhu Hassan ametunukiwa Shahada ya Heshima ya Uzamivu ya Usimamizi wa Utalii na Masoko yaani Doctor of philosophy in Tourism Management and Marketing (Honoris Causa) na Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA)
#utvupdates
Kongamano la Mito ni Maisha Yetu
Kampeni ya Utunzaji wa Vyanzo vya Maji
Ijumaa tarehe 15.12.2023
Saa 03:00 Usiku
Live UTV - AzamTV
Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Hamidu Aweso atakuwepo.
#MitoNiMaishaYetu#UTV108#AzamTV10DaimaDamdam#10DaimaDamdam
Leo matajiri wa Chamazi Azam FC watakuwa nyumbani katika dimba la Azam Complex ampapo watacheza mechi ya kirafiki ya kimataifa dhidi ya Al Hilal kutoka Sudani
Mechi hii itaruka mbashara kupitia AzamSports1HD kuanzia saa 12:30 jioni.
#SisiNiSoka#Azamtvsport
Msemaji wa Jeshi hilo, SACP David Misime amesema Jeshi hilo limeanza makakati maalum wa kuwasaka na kuwafikisha kwenye mkono wa sheria wanaoeneza habari za uzushi na kuchafua majina ya watu mitandaoni wakiwemo viongozi na kuzua taharuki, hofu na kuhatarisha amani
#utvupdates
Safari ya Manchester United katika michuano ya ligi ya mabingwa barani Ulaya msimu huu imefika tamati usiku wa kuamkia leo mara baada ya timu hiyo kupoteza 1-0 katika mchezo wao wa mwisho wa makundi wakiwa nyumbani dhidi ya Bayern Munich
#utvupdates#utvsport
kwa ufanisi na kuuhabarisha Umma hivyo hawatatoa habari yoyote ili kuishinikiza serikali kufanya mabadiliko. Nacho cha Chama cha SPPG kimetangaza kuunga mkono maandamano hayo kupitia mitandao ya kijamii.
Vyombo vya habari vya Binafsi nchini Guinea vimesusia na kugoma kutoa habari nchini humo vikilalamikia vizuizi vya serikali ya kijeshi ya nchi hiyo ambavyo vinaonekana kuminya uhuru wa vyombo vya habari.
Akizungumza na vyombo vya habari Mkurugenzi wa shirika la habari la Frequence Info Medias (FIM) Talibe Barry amesema kuwa imewabidi kuwaambia idadi kubwa ya wafanyakazi wao kukaa nyumbani na kusubiri siku bora kwani hali ilivyo kwa sasa haiwaruhusu kufanya kazi.
Muongozaji maarufu wa video za muziki za Wasanii wa BongoFleva ambaye pia ni Mtoto wa kwanza wa Muhubiri maarufu wa Arusha wa Kanisa la Ngurumo ya Upako Dr. GeorDavie, Nic Davie maarufu Nisher amefariki Dunia.
Nisher amefariki dunia usiku wa kuamkia leo December 12, 2023.
Bingwa mara mbili wa mbio za Olimpiki kutoka Kenya Eliud Kipchoge ametunukiwa Shahada ya Heshima ya Uzamivu kwa mafanikio yake
Kipchonge ametunukiwa shahada hiyo katika Sherehe za Mahafali ya 41 yaliyofanyika katika Chuo Kikuu cha Kilimo na Teknolojia cha Jomo Kenyatta
Saa 1:00 usiku Wananchi @yangasc watakuwa dimba la Benjamin Mkapa wakiwakaribisha Al Ahly Kwa kifurushi cha Shilingi 25,000 unatazama michezo hii mbashara kupitia AzamSports3HD. Mechi hizi ni kwa Tanzania Pekee. #SisiNiSoka#Azamtvsport#CAFCL
Hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa Afrika Wikiendi hii.
Mnyama @simbasctanzania atakuwa dimba la ugenini nchini Botswana kukipiga na Jwaneng Galaxy
Mechi itakayopigwa kuanzia saa 10:00 jioni.
Umelelewa toka nyumbani unaambiwa mwanaume alii, mwanaume jembe, mwanaume jikaze, mwanaume unashtaki vipi, ...aah lakini si binadamu na nimeumia.. kwa nini nisishtaki, Kwa hiyo watoto wetu wa kiume tunawalea vibaya mlee tu inavyotakiwa kawaida"- Dkt. Anna Henga Mkurugenzi LHRC
Mara nyingi tukuisema ukatili wa kijinsia watu wanafikiria ukatili wa wanawake peke yake kumbe kuna wanaume wanaofanyiwa ukatili pia, na kwa bahati mbaya sana katika jamii zetu wanaume wamelelewa kwa mfumo dume