Top Tweets for #vitukuntu
โถ๏ธVipi Mpwa hii Idea ya hawa jamaa unaiona ni nzuri au wana-mkufuru Mungu..!??
Share na sisi kwenye comment section;
๐๐ผ๐๐ผ
#vitukuntu
โถ๏ธ#vitukuntu
Pichani ๐ธ๐๐พ ni Hannah Rose Dalton akiwa na boyfriend wake Steven Raj wanaojulikana kwa jina maarufu la "Non-Binary Aliens".
๐๐พWawili hawa wanaishi jijini Paris na wanajishughulisha na mambo ya modelling ambapo wanatumia make ups za kuogofya ili kubadilisha....

โถ๏ธJe wajua kwamba Queen Elizabeth alipewa jina la utani (nickname) na mumewe The Late Prince Philip aliyekuwa akimuita "Cabbage" (Kabichi). ๐๐๐พ
#vitukuntu

โถ๏ธKama umeangalia "The Gray Man" hii sura itakuwa sio ngeni kwako kwa balaa alilokuwa akilifanya mule ndani ๐ฅ.
๐๐พJamaa ni mhindu anaitwa "Dhanush Kraja" ni staa mkubwa kwenye movie za Bollywood.
๐๐พKwenye The Gray man ametumia a.k.a ya "The Lone Wolf" ๐บ
Jamaa ni ๐ฅ๐๐พ
#vitukuntu

unaekwenda kufanya nae mapenzi "backstage" muda huo huo ๐๐พ๐๐พ.
๐๐พKundi hili lilianza mwaka 1984 na kufa mwaka 2003 baada ya kushindwana na Record Label yao โ๐พ.
#vitukuntu

โถ๏ธRest in Peace to one of all time Greats in the NBA, Bill Russell who died today at the age of 88. ๐๐๏ธ
#RIP
#vitukuntu

#vitukuntu
Credits: E.K facts
โถ๏ธLeo nimewaletea โThen and Nowโ ya waigizaji mashuhuri walioutikisa ulimwengu kwa movie za mapigano kwenye miaka ya 1990s mpaka kwenye miaka ya mwanzoni mwa karne hii ya 21.
#vitukuntu
#uzi
1. Sylvester Stallone (Rambo)
๐ธ๐๐พ

โถ๏ธHuko nchini China mnamo mwaka 2012, wenzi wawili ambao umri ulikuwa umeenda kidogo (wazee) walikataa kuihama nyumba yao ili kupisha ujenzi wa barabara baada ya kutoa sababu kwamba fidia waliyopewa na serikali ili kupisha ujenzi huo ilikuwa ni ndogo sana kwao.
#vitukuntu

๐๐พMajina yake halisi ni โMalcolm Littleโ, alizaliwa mnamo mwaka 1925 nchini Marekani.
๐๐พAnafahamika zaidi kama mwanaharakati wa kisiasa na kazi yake ya uongozi katika asasi za harakati za kupigania haki za mtu mweusi nchini Marekani.
#vitukuntu

โถ๏ธNimepotea kwa muda sasa, ila nimerudi rasmi twitani.
Enewei kuna habari gani..??
#vitukuntu
#vitukuntu
Credits: E.K Facts
โถ๏ธFAHAMU...!!!
#vitukuntu
๐๐ฝFilamu ya kwanza kabisa kutengenezwa duniani ilikuwa inaitwa โSallie Gardner At The Gallopโ iliyotoka mnamo mwaka 1878, ambapo ndani ya filamu hiyo inamuonyesha jamaa mmoja akiwa amepanda juu ya farasi (ilikuwa ina mfumo wa motion picture)....
๐๐พ๐๐พ

....za kimarekani billion 1.6 apewe mwanawe na mke wake ambaye ni Anna Nicole Smith asipewe chochote ๐.
๐๐ฝYani inshort mzee alikaza yani, aligoma kufanywa mgodi ๐๐๐ฝ.
#vitukuntu
Credits: E.K
โถ๏ธFahamu...!!
Huu unaouona hapo pichani sio mkonga wa tembo ๐, bali ni uume wa Nyangumi wa bluu (Blue whale).
๐ธ๐๐ฝ
#vitukuntu

....mahususi kabisa kwa ajili ya wafanyakazi wa kiwanda chake. Pendekezo hilo lilipitishwa na mpaka sasa sheria iyo inatumika kwenye ofisi nyingi duniani kote.
#vitukuntu

โถ๏ธFahamu..!!
Kangaroo Jike ana sehemu za siri (Vagina) tatu. ๐๐ฝ
#vitukuntu

โถ๏ธMnyama aina ya โPandaโ wanaopatikana kwenye bara la Asia (China) pindi wanapozaliwa wanakuwa na umbo dogo zaidi kuliko panya hawa tunaoishi nao majumbani mwetu ๐.
#vitukuntu
Credits: @king_kibanji
๐ธ๐๐ฝ

Last Seen Hashtags on Sotwe
brosis((((((((((((***********)))))))))))) +filter:native_video
Seen from Canada
minichat()********************************************************************************************************************** **filter:native_video()
Seen from United States
yellowingofskin
Seen from United States
เนเธเธงเธฅเธนเธเธชเธฒเธง
Seen from Thailand
Teenageee(*****)******** video
minichat
Seen from Argentina
anxiouspanda()+filter:videos
Seen from United States
sex wrestling
Seen from Kuwait
snapchat
Seen from Ireland
wileecoyote
Seen from Colombia
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.9M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.6M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.3M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90.1M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.6M followers

Bill Gates 
@billgates
65.3M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.7M followers

X 
@x
60.7M followers
















