Top Tweets for #walibora
Mahojiano🎙️ yangu ya 2017 kupitia Idhaa ya Kiswahili ya Sauti ya Amerika, @VOASwahili, na marehemu Professa. Ken #Walibora, baada ya Mkenya Professa #Ngugi wa Thiong’o kukosa Tuzo ya Fasihi ya #Nobel.
‘Mimi sioni la ajabu wala sishangazwi na jopo linaloteua washindi wa tuzo ya Fasihi ya #Nobel kutompa kwa mara nyingine Mkenya Prof. Ngugi wa Thiong’o. La msingi ni kwamba tuzo ya fasihi ya Nobel hutolewa kwa mwandishi ambaye anaandika yale ambayo lile jopo linataka.
Wale ambao hupewa ni wale ambao huandika mambo mazuri kuhusu Ulaya kuhusu Magharibi. Kwa hiyo mtu kama maandishi yake anapondaponda ukoloni, anapondaponda ukoloni mamboleo, anapondaponda utandawazi si rahisi sana mtu huyo kutuzwa Nobel.
Kwa kawaida, Ngugi Wa Thiong’o si mtu wa kuwasifusifu hao watu wa Magharibi, Ulaya, ambao wao wanataka vitabu ambavyo vinavyoonyesha jamii nyingine kama duni na kwamba jamii nyingine zinahitaji kukombolewa na mataifa ya Magharibi. Yeye si mtu huyo na kwa sababu hiyo hawawezi kumpa tuzo hiyo.
Nafikiri kufikia sasa amekuwa kama wanavyosema katika Kiswahili ‘wabaharia wa Pemba kufa maji mazoea’ si mara ya kwanza amepigiwa upatu atashinda tuzo ya Nobel ya Uandishi ya Fasihi hashindi, kwa hiyo akishazoea.
Kuna wakati tumekutana naye Ujerumani baada ya kuipoteza hiyo tuzo na nimeona kwamba hiyo haimshtui sana kwa kweli si kwamba linamhangaisha kwamba hakupata hapana. Athari yake kwa uandishi ndani na nje ya Afrika itabaki, si hoja kama kapewa na watu hawa ama hapewi.”
Tuzo ya mwaka 2017 ilimwendea raia wa Uingereza Kazuo Ishighuro mwenye umri wa miaka 62.
Hapo saaaasa....Nasubiri sana Mzee Yussuf otherwise Melody Saturday itabidi ukae kwa bench...In loving memory of my dearest friend #Walibora who looooooved Taaarab ...#RushaRoho @MelodySinzore1 @RadioCitizenFM
The great author died because many people mistook him for an ORDINARY Kenyan. It is a crime to be ordinary in Kenya. The St. John's Ambulance and #Kenyatta National Hospital Crew thought #Walibora was another Mlala Hoi.That is how most poor people die in Kenya.
#Ripwalibora

Ripoti ya daktari mpasuaji ilisema mkono wa kulia wa Walibora ulikuwa umevunjika na alivuja damu kwenye ubongo.
#tukonews #Walibora #KiswahiliNiChetu
https://t.co/wkMsPzAtP4
.@StJohnKenya said it had reviewed all its call and GPS logs and none of them placed any of its rescuers near the accident scene on Friday, April 10.
#tukonews #Walibora
https://t.co/7xp2NFgDLm
The stories about Ken Wilibora's mystery death are saddening, so sad that he will never have a chance to speak out on what really happened , But one thing is for sure, if there were people who involved in the action.......
May they never find peace😥
#RipKenWalibora
Ngiri nayo ingekua ya pomet😁
#Covid_19
#ChinaMustExplain
#ChinaMustExplain
#TogetherAtHome
#TooHotToHandle
#walibora
Imagine wanyama wangekua na tribe, Nyoka ungekua mkikuyu coz haina matako. 😂 😂 😂
Best way to celebrate #Walibora
Some of Ken Walibora books that you should read to understand why it is such a bigger loss, bigger than the Loss of Daniel Arap Moi. #RipKenWalibora
Thread...
1. Ndoto ya Almasi

"Binadamu wana hulka tofauti ukikonda wakuita sindano ukinenepa wakuita nguruwe" Rip Legend Ken Walibora #walibora
#walibora #RipKenWalibora Umenilea. Umenikuza. Mwalimu wangu. Upole wako. Utu wako. Mwenyewe ulisema CHEMA HAKIDUMU! Na umethibitisha. Lala salama mtoto wa mwalimu.
For those who read Ken walibora's book you would instantly fall in love with Swahili
RIP legend 😭😭 death is so cruel
You will be missed but you left an impact in our lives
@KenWalibora
@kotdigital
@KOT_Loyals
@kot
#legend
#walibora
#WALIBORA: It took ten years to publish my first book http://t.co/xNUTiU79Qh
#WALIBORA: It took ten years to publish my first book http://t.co/xNUTiU79Qh
Last Seen Hashtags on Sotwe
gayarabul
Seen from Turkey
INDONESIASADAR
Seen from Indonesia
minichatt
Seen from Canada
gay gooner
Seen from United States
ทาสเท้า
Seen from Australia
arab filter:native_video
Seen from Bahrain
女同
Seen from United States
Indonesia
Seen from Indonesia
YorBriar
Seen from Chile
chainsawmanmakima
Seen from United States
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.8M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.5M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.9M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.3M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.5M followers

Bill Gates 
@billgates
65.3M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.7M followers

X 
@x
60.7M followers
















