Top Tweets for #wanachuoni
📱🕹📱KUWATUKUZA WATAWALA NA #WANACHUONI NI SABABU YA KUTENGEMAA KWA DUNIA NA AKHERA..
Amesema Sahal bin Abdillahi rahimahullāh :--
لا يزال الناس بخير ما عظموا السلطان والعلماء، فإذا عظموا هذين أصلح الله دنياهم وأخراهم ، وإذا استخفوا بهذين أفسد دنياهم و أخراهم.
((Hakika Watu
TOFAUTI KATI YA #NYASIA ZA MAULAMAA WA #SUNNA NA MAULAMAA WA KIKHAWAARIJ (#KIGAIDI)💦📚
Mlinganisho kati ya #wasia wa Ahlul-Haqq (Watu wa haki) na wasia wa Ahlul-Baatwil (Watu wa batili):
A)_WASIA WA #WANACHUONI WA SUNNA 🛡🔰
🔹 Wasia wa Anas bin Malik na Maswahaba wakubwa – Radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yao wote:
Anas bin Malik رضي الله عنه amesema:
> “Watu wetu wakubwa miongoni mwa Maswahaba wa Mtume ﷺ walitukataza na kusema:
Mtume wa Mwenyezi Mungu ﷺ amesema:
> ❝Msiwalaani #watawala wenu, wala msiwadanganye, wala msiwachukie. Mcheni Mwenyezi Mungu na vumilieni, kwani mambo yatabadilika hivi karibuni.❞"
📚 Imepokewa na Ibn Abi ʿĀṣim katika As-Sunnah (2/488), na Ibn ʿAbdil-Barr katika At-Tamhīd (21/287), na Abul-Qāsim Al-Asbahānī katika At-Targhīb wat-Tarhīb (3/68) — kwa isnadi (mnyororo wa mapokezi) mzuri.
B_),,,,,,,WASIA TOKA KWA MAULAMAA WAPOTEVU WA MAKHAWÀRIJ(#KIGAIDI)🚷❌️
---
🔸 Wasia wa Mrāfidi Ibn Saba’ Yahudi(BABA WA MASHIA) – Mwasisi wa fitna za kigaidi #DUNIANI :
Katika fitna iliyoanzishwa na Khawārij wakati wa ukhalifa wa Amīrul-Mu’minīn ʿUthmān bin ʿAffān رضي الله عنه, ambayo ilisababisha kuuawa kwake shahidi:
Ibn Saba’, huyu mhalifu, aliwausia wafuasi wake kwa kusema:
> "Anzeni #kuwatuhumu watawala wenu na jitokezeni kwa anwani ya kuamrisha mema na kukataza #maovu; kwa njia hiyo mtayateka mioyo ya watu na muwaiteni kujiunga na jambo lenu.”
📚 Tārīkh At-Tabarī (3/340)
--- 🗞🔰🛡
Hitimisho:
Haya ni maelezo ya wazi ya tofauti kati ya wasia wa watu wa haki — waliofuata mwongozo wa Mtume ﷺ — na wasia wa watu wa batili — waliopandikiza fitna na chuki dhidi ya viongozi wa Kiislamu kwa jina la "Amr bil Maʿrūf" na "Nahy ʿanil Munkar", lakini kwa lengo la kueneza uasi na kuvunja umoja wa Ummah.
@BinKombo3
@AbdallahAl91947 @khilafah8 @Rahim_Meghji @Matallahkhamis @HabiibYahyaa @IsaRouhan13797 @BlackWolfBeast

Kutoka kwa Abu Huraira(r.a), Mtume(s.a.w)alisema:
“Hakika Allah hutuma kwa ummah huu kwa mwisho wa kila miaka mia moja mtu atakayehuisha Dini kwa ajili yake”.(Abu Daawood (4291)
#Mujadid
#Wanachuoni
Je ni nani mujadid wa karne ya 13? @ShabaniHamimu4 @20qnana @Daliamoh9
Kila mtu anatakiwa alazimiane na sifa maalum kulingana na wadhifa wake katika maisha na katika jamii, kukosekana sifa hizi ni sababu ya ufisadi mkubwa katika ardhi na ni sababu ya kuharibika kwa jamii
#AfricaTV2 #WemaWaliopita #IbrahimIbnAdham #Wafalme #Wanachuoni

Kusoma zaidi tembelea #website yetu ya https://t.co/4KszcLdwTH
#Madrasa #islamicftz #masomo #quran #uislam #Islam #afrika #chuo #elimu #jamii #afrikamashariki #sheikh #wanavyuoni #wanachuoni #elimubilamipaka #islamicftz

Hali ya kupungua kwa wanachuoni ni hatari kubwa kwani watu wataongozwa na wasiojua na watu wakapotea.
Tuchukue tahadhari kwa kusoma na kuwa na viongozi wenye elimu na waaminifu,na kuwasomesha watoto wetu elimu.
#hatari #elimu #fatua #dini #uislamu #wanachuoni #sheria #islamiftz
Last Seen Hashtags on Sotwe
sleepyfeet
Seen from Turkey
ميقا
Seen from Egypt
rodcontreras
Seen from Guatemala
tattooed #trans
Seen from India
yenisilah
Seen from United States
nolimit filter:videos
Seen from Turkey
karamangay
Seen from Turkey
Momson() +filter:native_video
Seen from Poland
kadikoytravesti
Seen from Turkey
vrep
Seen from Argentina
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.2M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
111.9M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107M followers

Rihanna 
@rihanna
98M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.2M followers

KATY PERRY 
@katyperry
88.4M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
82.3M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
73.8M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
71M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.1M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Bill Gates 
@billgates
64.3M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
63.9M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
61.5M followers

X 
@x
60.8M followers





