Top Tweets for #zonetvupdate
Staa wa Muziki nchini Tanzania @diamondplatnumz anazidi kufanya vizuri baada ya video yake mpya ya #YATAPITA kukamata namba moja #TRENDING kwenye mtandao wa YouTube huku namba mbili ikiwa ni Audio ya wimbo huo.
#ZonetvUpdate

Rasmi staa wa Muziki nchini Tanzania @diamondplatnumz ameachia Video ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la #YATAPITA
Video hiyo imeachiwa leo saa 4:00 asubuhi
#ZonetvUpdate

Magazeti ya Leo January 21
https://t.co/vRjUAfw4tU
#ZonetvUpdate

Magazeti ya Leo January 8 2023
#ZonetvUpdate

Wasanii wa muziki kutoka nchini Nigeria @burnaboygram @temsbaby pamoja na @asakemusic wanatarajia kutoa burudani katika Tamasha la #COACHELLA litakalofanyika huko California Marekani, kuanzia tarehe 14 hadi tarehe 23 April 2023.
#ZonetvUpdate

Kuhusiana na sakata la mchezaji @feisal194_ na klabu ya @yangasc baba wa mchezaji huyo amesema kuwa maamuzi yote ya shauri hilo yatatolewa na Shirikisho la Soka Tanzania ( @tanfootball ) baada ya kufikishwa kwao.
#ZonetvUpdate

Msanii wa Muziki wa Bongo Fleva @anjella_tz Ameiaga Rasmi Lebo ya @kondegang
Hadi hivi sasa Uongozi wa Lebo ya @kondegang Haujatoa Taarifa Rasmi ya kuachana na Msanii huyo.
#ZonetvUpdate

Mandonga aja na Ngumi mpya
#ZonetvUpdate
Kiongozi Mstaafu wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Benedict XVI (95) amefariki dunia, Vatcan imetangaza.
Alijiuzulu nafasi hiyo mwaka 2013, akiwa Papa wa kwanza kufanya hivyo tangu Gregory XII alipojiuzulu mwaka 1415.
#ZonetvUpdate

Staa wa Muziki nchini Tanzania @marioo_tz amesitisha show yake nchini Uganda kutokana na sababu zilizo njee ya Uwezo wake
#ZonetvUpdate

Kuhusu wimbo wa #Chitaki@diamondplatnumz amefunguka na kusema kabla ya wimbo huo aujatoka watu wengi walipendekeza utoke @mbosso,@zuchu @iamlavalava @jux na wengine wengi ndani ya Wasafi walipendekeza Wimbo huo utoke haraka japo #DIAMOND hakutarajia
#ZonetvUpdate

Ni December 30, 2022 mtu wangu wa Nguvu
Magazeti ya Leo
#ZonetvUpdate
Ronaldo kupitia ukurasa wake wa instagram amendika✍️ (In swahili ujumbe unasomeka)"Salamu zangu za Rambirambi kwa Brazili yote, na hasa kwa familia ya Bw. Edson Arantes do Nascimento. "Kwaheri" tMfalme Pelé
#ZonetvUpdate

Mkongwe wa soka Nchini Brazil Edson Arantes do Nascimento Pele amefariki dunia leo akiwa na umri wa miaka 82 Sao Paulo Brazil baada ya kusumbuliwa na kansa kwa muda mrefu.
REST IN PEACE FUNDI WA SOKA
#ZonetvUpdate

Kutoka kwenye Insta story ya @harmonize_tz ameshare kipande cha Video akiwa location kuandaa Video ya Wimbo wa #BESTFRIEND kutoka kwenye Album yake ya mpya ya #MADEOFUS
Video hiyo iko tayari na muda wowote itaachiwa.
#ZonetvUpdate
Kocha wa Vipers SC Mbrazil Roberto Oliveira ameachana na klabu hiyo kwa makubaliano maalumu.
Taarifa kutoka ndani ya Klabu imethibitisha kujiuzulu kaa kocha huyo.
#ZonetvUpdate

mwanafa amesema Katika Waandishi wa Hip Hop wa Kizazi Kipya, Anavutiwa zaidi na Muandiko wa @maarifabigthinker katika Lines zake lakini pia amesikiliza Wimbo Mmoja wa @kontawaa na ana kila sababu ya kumpa muda tena kumsikia zaidi
#ZonetvUpdate
Kionjo cha wimbo mpya wa @diamondplatnumz
Umetayarishwa na Producer @s2kizzy
Vipi unaupa asilimia ngapi wimbo huu?
#ZonetvUpdate
Babalevo na Mwijaku wametia neno kuhusu wimbo wa Dula Makabila
#ZonetvUpdate
Last Seen Hashtags on Sotwe
minichat
Seen from Venezuela
MixKing
Seen from United States
türbanlıporno
Seen from Turkey
BigTitsPorn
Seen from Israel
充满好奇心的猫
Seen from Colombia
WednesdayMotivation
Seen from United States
lesbian twins
Seen from Philippines
nikitakinka
Seen from United States
bokep smp
Seen from United States
nakedflash
Seen from Mexico
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
240.6M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.7M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.5M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.9M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.4M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.8M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.4M followers

Bill Gates 
@billgates
65.2M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.1M followers

CNN 
@cnn
61.7M followers

X 
@x
60.6M followers
