Rais wa Marekani Donald Trump amesema kuwa hakuna nchi wala viongozi wa Kiarabu au Israel waliomshawishi kubadilisha uamuzi wa kuishambulia Iran, bali alifanya uamuzi huo mwenyewe baada ya kuona dalili za mabadiliko ndani ya Iran.
Tembelea YouTube ya Zone Media kwa taarifa zaidi
Timu ya Taifa ya Morocco imefanikiwa kutinga fainali baada ya kuibuka na ushindi dhidi ya Nigeria katika mchezo wa nusu fainali uliomalizika kwa sare ya 0–0 hadi dakika 120.
Katika mikwaju ya penalti, Morocco walionyesha ubora wao kwa kushinda 4–2.
#ZoneMediaUpdates
Saudi Arabia, Oman, Kuwait na Qatar zimepiga marufuku Marekani kutumia anga au maeneo yao ya kijeshi kuanzisha mashambulizi dhidi ya Iran.
Nchi hizo zimeuarifu utawala wa Marekani kuwa hazitaki kuvutwa kwenye vita vya kikanda.
Rais wa Marekani Donald Trump Jumatano alisema ameambiwa na kile alichokiita “vyanzo vya kuaminika” kwamba mauaji ya waandamanaji nchini Iran yamesimama au yanaelekea kusimama, na kwamba hakuna mpango wa kutekeleza hukumu za kifo au kunyonga waliokamatwa.
Staa wa Muziki nchini Tanzania @diamondplatnumz anazidi kufanya vizuri baada ya video yake mpya ya #YATAPITA kukamata namba moja #TRENDING kwenye mtandao wa YouTube huku namba mbili ikiwa ni Audio ya wimbo huo.
#ZonetvUpdate
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Angellah Kairuki amewataka walimu kote nchini Kufuata taratibu zilizoainishwa kwenye Waraka namba 24 wa mwaka 2002.
#ZonetvUpdate
Kocha Etienne Ndayiragije ambaye amewahi kuifundisha Taifa Stars na klabu za Mbao FC, KMC, Azam na Geita Gold, leo Jumatano Januari 25, 2023 amesaini mkataba wa miaka miwili (2) kuifundisha timu ya Taifa ya Burundi ‘Intamba mu rugamba’.
#ZonetvUpdate
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amewasili Nchini Tanzania hii leo akitokea Ubelgiji na kupokelewa na Viongozi na Wafuasi wa Chama hicho katika Uwanja wa Ndege wa J.K Nyerere Dar es salaam.
#ZonetvUpdate
Rasmi staa wa Muziki nchini Tanzania @diamondplatnumz ameachia Video ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la #YATAPITA
Video hiyo imeachiwa leo saa 4:00 asubuhi
#ZonetvUpdate