Ili kufikia lengo la Taifa la kuwa nchi ya uchumi wa kati ifikapo mwaka 2025 kupitia viwanda, ni muhimu kuwekeza katika mafunzo kwa vitendo pamoja na viwanda vodogo na vya kati. #DataRevolutionTz
Katika kupambana na maadui wakuu wa tatu; Ujinga, Magonjwa na Umaskini; Umoja na Upendo ni namna pekee inayoongoza safari yetu. #WeAreOne#BaloziWaAmani#TuWamoja
Moja wapo ya majukumu ya Vitongoji ni kujadili taarifa ya utekelezaji wa mikakati ya kupambana na umaskini sawa na Ibara ya 146(2c) "Kuimarisha demokrasia katika eneo lake na kutumia demokrasia kuharakisha maendeleo ya wananchi" #JuaKatibaTz#SautiMojaTz
Temeke Municipal Council has good 104km & poor 121km of storm water drainage (DIDP 2010). Poor drainage system leads to floods & different diseases thus hinders socio-economic development. #DataRevolutionTz