@gabyconscious Imagine waasisi chama enzi hizo waliogopa influence ya jamaa ndani ya chama huu mwaka alishinda ili ilibidi wamshawishi amwachie Mkapa kwani yeye alikua bado kijana ana nafasi ya kugombea in future
@rollymsouth Pressure kubwa maslahi madogo vs pressure ndogo maslahi makubwa huwezi sikia wananchi wa kawe wanapiga kelele mbunge ajiuzulu kwa sababu ya tatizo la barabara for years ila timu ikifanya vibaya game 5 tu mfululizo kelele zake sio poa
@mduduJnr Sometimes sio hata kuuwawa, wanawake wa kaskazini hata njombe na mbeya usipokua smart na responsible overtime wao ndio watarun familia na kutake the children's attention kumwacha mzee neglected,inferior and lonely ataanza kufa inside then magonjwa ya uzeeni yanammalizia
@CarolNdosi mara nyingi misemo na methali hutumika tu pale unapotaka kukazia ujumbe flani mfano hiyo hapo unaweza kuitumia kwa wanafunzi ukutaka wacontrate na masomo lakini huwezi kuitumia kwa mwajiriwa unamuelekeza awe na miradi ya kujiongezea kipato