@officiaIzuchu Kuwa mwanachama wa ccm ni kosa? Au kuwa chama pinzani ndio sahihi ? Nadhani ni upendo binafsi kwa maslahi ya maendeleo ninayo yaona inawezekana ww unayaona lakini hautosheki unataka tz igeuke urop sekunde ninadhani hamna uzalendo wanigeria wanatamani wawe wtz
@diamondplatnumz Bado watu wanalakusema kuhusu upendo unaotoka kwajami? Ma tuzo yanakustahili dunia inakutazama kama mfalme wa Africa hakuna mvuto wa pesa ila ni mapenzi yake Mmungu kwa jamii inayo kuzunguka atakae kuiga kwa kukudidimiza hatofanikiwa na ataishia kusema anamzizi wa babu.
@diamondplatnumz Ndio maana hata soka la hapa kwetu haliendelei sio kwamba wachezaji hatuna maroho yetu yana ukatili wa maendeleo bila mtu binafsi kujitoa nakupigania lake kama hivyo mond hata hii kutajwa tu Grammy tungeisikia nchi jirani . wasanii wakubwa wamepata mtikisiko kwani awe diamond
@diamondplatnumz Kinacho nishangaza ni manung'uniko mlio nayo yy kaomba kura kwa kila shabiki yake mfano ww ni chama pinzani unaduka mtaani unao ishi nao ni ccm kwa hiyo ccm wasije kununua kitu dukani kwako? Acheni ubaguzi anacho kiomba akihusiani na mnacho kisema najua shabiki wa mond hana hayo
@JAMVILAHABARI @fatma_karume Ubaya wenu mnatukana hata wazazi wenu mjibu kwa busara tu ukiona hauwezi unampotezea kila mtu anayo haki ya kutoa anavyo ona ila asitukane hakuna anae pata faida. Mwenye faida na hasara ni alie ondolewa sis ni vyambo tu
@BenMembe Kama ni hivyo hawezi kugundua hata tukiwaweka madarakani hawatoona maonez haina haja wa kuwachagua ni walewale tu kinacho tafutwa ni maslahi yao