@royalmediatz Mwanzo alionya Tanzania isiingilie uchaguzi wa Zambia sasa anasema hatuna rasilimali alipokuwa anatoa onyo kulikuwa na hizo rasilimali, sasa mwenyekiti na mkurugenzi wa ile tume ya mbogamboga wanafanya nini huko kwa jirani au siku hizi watu siyo rasilimali tena.
@millardayo Yaani hadi mishipa imemtoka agenda ambayo kwenye bajeti 2026/27 haikutengewa hata cent, kwahiyo ni agenda ya kwenye majukwa yenu na kwenye ilani ili kuendelea kuwahadaa watanzania wakati hakuna mpango wa kuitekeleza hiyo agenda. Hii nchi jamani sijui watanzania mnawachukuliaje.
@Jambotv_ Kwani yeye ana uwezo amefanya nini kwa watanzania hadi leo tunaagiza kila kitu hadi chakula na ardhi tunayo yenye rutuba. Huo ni uchu wa madaraka we unaongoza vibaya halafu anayekukosoa unasema hawezi. Si tuwape kwanza kwani nyie mlijulia chuo gani ambacho CDM hawakusoma.
@swahilitimes Kwahiyo Lissu asitake kufutiwa kesi ya mchango atake maridhiano na nani? Maridhino kwa sababu ya kesi ya uhaini? Mbona hajawahi kusikika akiongea hayo. Hivo mbogamboga huwa wana shida gani kiakili? Lissu anataka DPP afute hiyo kesi ya bure ya kumpotezea muda amesema mahakamani.
@JonMrema@shebbykadumee Kwahiyo nyie mnataka maridhiano siyo kuwajibika kwa waliouwa vijana wasio na silaha wala hatia. Mi ninadhani hilo ndo la kwanza
@barakawamb Sasa kuchoka kura ni kosa la ugaidi na hao waliochoma kura wako wapi sasa kama yeye aliwaagiza, mbona waliochoma kura hawako kwenye shitaka hiyo ni kesi mahakamani au ni kusutana kwa umbea ati kama hakuchoma sasa alisemajewa huo ni umbea, charge sheet haisemi kuchoma kura.
@Skinny36479503@NNgabu_ CHADEMA hawakusema Lissu aunde tume, walisema tume iundwe na jumuhiya za kimataifa siyo mtuhumiwa anaunda tume ya kumsafisha. Kwanini kwenye TOR hakuna kipengele cha kuchunguza nani alitoa amri ya kuuwa watu wasio na hatia. Hebu tuangalia TOR za tume ya Mwai Kibaki
@NNgabu_ Tusipotoshe, CHADEMA walisema tume iundwe na jumuhia za kimataifa kwa sababu serikali ndiye mtuhumiwa namba moja wa mauwaji ya raia. Haijalishi wajumbe wanatoka wapi ukweli serikali ambayo ni mtuhumiwa haiwezi kujiumdia tume yenyewe. Hiyo ndo hoja ya msingi ya CHADEMA.
@swahilitimes Wajifunze huo wizi wa kura na kupata pesa za ruzuku ndo mbinu ya CCM na mnaona wajanja kweli mnadhagua refa halafu mnaingia uwanjani kucheza. Ila mboga mboga ni futuhi ya 5G
@BabaMwita Hapa hatuzunguzii ujambazi wa kuuwa wauza madini tunazungumzia mauwaji ambayo yalifanyika mitaani watu wanawindwa kama wanyama wakiwa mitaani kwao na vyombo vinavyotakiwa kuwalinda. Hivi wakati ule serikali iliwahi kuwapongeza wale wauwaji maana sasa hivi wauwaji wamepongezwa.
@HildaNewton21 Hii ni futuhi kama futuhi zilizotangulia hakuna jipwa unatafuta Rais rafiki akuchagulie wale wanaaomsikiliza, sisi watanzania tunataka uchunguzi ufanywe na watu huru kabisa walikuwa na urafiki na watawala. Wateuliwe na jumuhiya za kimataifa hatutaki report zinazobadilishwa.
@Jambotv_ Vyama gani hizo project alizosema Polepole kwani ni vyama vya siasa viko sehemu gani hapa nchini maana tunaona CDM tu ambacho chama cha upinzani hivyo vyama vya project za mboga mboga vinapingana na CDM ndo chama chao cha upinzani Kwanini anaita vyama vya upinzani wenzake.
@swahilitimes Kwani Chacha mambo ya CHADEMA yanamuhusu nini huyo Mbowe alishajuikana agenda yake anatakiwa kuwaomba radhi CHADEMA kwa kuanzisha G55 akidhania atadhoofisha CHADEMA. Kuna watu walisema baada ya uchaguzi CHADEMA kitapotea sasa hivi sijui wako wapi.
@Sisimizi3 Kwanini tnapotezea pesa na muda wetu kuhusu hizi tume kwani hatukuwasikia Polepole na Gwajima kabla ya uchaguzi kwamba tulitakiwa kuridhiana kwanza nani alikataa maridhiano kabla ya uchaguzi huyo ndiye aliyesababisha watanzania wakauwawa na polisi. Sasa wawajibishwe,
@Sisimizi3 Yaani Uganda na Namibia ndo mataifa makubwa ya Africa na mataifa Madogo ni yapi. Majaji wanatakiwa kutoka kwenye nchi zenye demokrasia siyo hapo Uganda mpinzani anataka kufia mahabusu hao majaji mbona hawana uamuzi wowote wanatumiwa na musaba
@Sisimizi3 Ndiyo atakwenda kueleza mahakamani kama alivyofanya msiba kwani nani amemwambia siasa ni kusingizia watu. Hilo litakuwa fundisho kwa wengine. Kumbe mtu akikutuhumu kwa uwongo ukaenda mahakamani unakuwa mbinafsi kumbe ubinafsi mzuri sana.
@Royaltv_plus Kama wote mlishiriki kwenye uchaguzi Rais akapata asilimia 98 na wote mkakubaliana kuwa uchaguzi ulikuwa huru na wa haki sasa mnaridhiana nini maana CHADEMA ndio waliaosema hakukuwa na uchaguzi. Kama waliosema hakukuwa na uchaguzi hawana umuhimu basi hakuna haja ya maridhiano.
@Jambotv_ Hizo zinajulikana ni project za nani wala haishangazi waseme chochote mbona walishiriki uchaguzi na sasa wanahangaika na maridhiano na waliokataa uchaguzi. Mh Heche haendi popote yupo hadi kieleweke.