Rafiki/Mdogo angu Pascal (Meja) aliuwawa kwa Risasi Octoba 29 Magomeni akitokea Kariakoo kurudi Nyumbani Kimara, Polisi walishuhudiwa wakiondoka na Mwili wake.
Kwa siku 2 sasa tumefika Mortuary za Hospitali zote tumeambiwa mwili wa Pascal haupo, Haya maumivu siwezi kuyaelezea💔