Huyu demu tumepanga naye date. Nikamwambia anitumie pesa ninyoe, ninunue na outfits za kwenda nazo kwenye date nashangaa eti kaniblock. Kwa iyo alitegemea niende kwenye date mchafumchafu?
Wachambuzi wanadai mbuzi wa mchongo hatakiwi kuanza tena any game kama Portugal wanataka kufika kwenye mtoano ๐
Kifupi mbuzi wa mchongo ni abiria kwenye timu.
Sisi kama mashabiki wa baller namba moja toka Yesu kristo azaliwe hizi ni happy news ๐คฃ
Kama humshabikii kuna mawili:
-Kaitesa sana timu yako kipenzi AU
-Kamzidi vitu vingi mchezaji wako kipenzi
THE GREATEST OF ALL TIME, Lionel Andres Messi๐๐ฅ