Ogopa sana account za kuanzia 2019 kushuka chini.
Ogopa sana account zenye followers 500 kushuka chini.
Ogopa sana account ambazo hazipost chochote kwenye timeline yake.
Ogopa sana account zinazorepost na kubookmark tu wao hawachangii chochote.
Mwisho kabla hujapost hio content yako kwa ajili ya engagement angalia haitokuletea shida wewe au mtu mwingine.
“Kumtafutia mtu kazi sio kumtumia tangazo la kazi aombe bali ni kumwambia tarehe flani aende kwenye interview au apeleke vyeti Jumatatu aanze kazi”
Sijui nani aliandika hii tweet ila aliandika ukweli.