🚨 REPOST AGGRESSIVELY. Don't scroll past. Let the whole world see what is happening in Nigeria. Their voices may be silenced, but ours must not be. 💔🇳🇬🙏🏽
88 children, students, and teachers abducted in OYO and BORNO on the same day. This cannot become normal. Every child deserves safety, every teacher deserves protection. Bring them home.
#BringThemHome #SecureOurSchools #ProtectNigerianChildren #EndKidnappings #NigeriaIsBleeding #EnoughIsEnough 💔🇳🇬🙏🏽
Agenda wa wanaharakati kulipwa imekufa kifo cha asili kama ile ya udini😂😂😂😂kwamba Sativa analipwa kusema alitekwa akapigwa risasi anahitaji watu kuwajibishwa??
Kwakuwa tuko duniani;
Na kwakuwa kuna haki ya asili, haki ya Mungu na haki ya duniani;
Na kwakuwa, kwa wengine, kisasi ni haki;
Na kwakuwa hakuna lililo au litakalofanyika hapa duniani likafichika kamwe;
Hivyo, basi, tunaitazamia haki na aibu ya watesi wetu kwa shauku kuu!