Ni miaka mi4 sasa toka ututoke ๐ Mioyo inatuuma sana sisi tuliokupenda ๐, Endelea kupumzika kwa amani comrade JPM ๐๏ธ๐๏ธ We are missin' you BABA..... Umetuacha na kutuachia watawala na sio viongozi ๐
@BillyTronix1 Huyo mjomba ana mpira wa watoto wa King Charles siku akiamu anakupigia kazi kweli kweli siku akiamua kukuudhi anakuudhi kweli ๐ wakina Rashid hao