Mwachieni Nchimbi, mnakomaa kutafuta watu ubaya kila siku , mtu akisema ukweli mnawinda shingo yake
Toka mmemkamata Nchimbi kuna nafuu gani mliyo nayo mpaka sasa?
Halafu wasira na wewe jitokeze maana una maneno ya shobo sana, kikohozi tu kinakuweka kitandani?