Nakuru inahitaji police commissioner ako na experience kudeal na wezi Kama johnstone wanyama mwenye alikuwa Kondele. Huyo jamaa alikuwa anakupea fare urudi nyumbani ukipatikana kwa makosa.
Kuna jamaa najua alipewa fare arudi kwao Mwihoko badala arudi nyumbani akakula hiyo pesa na kuendelea na wizi. Because he was my neighbor I started distancing myself with him.
Siku moja ilikuwa tu jioni I saw a group of policemen kwa ploti. Nikashangaa rada ni gani. Nakwambia huyo jamaa alinyeshewa marisasi mbele ya familia yake. This is what we need in a Nakuru especially huko Mwariki na Shabaab.
Chivayo was a ball knower though! Dying with your wife so that you can be sure nobody is kn@cking her while you are gone, epic. Even death couldn't do them apart! Crazy!